Mdau katuletea taswira hii ya mlima ulioko Stetind kaskazini ya Norway ambao una urefu wa mita 1400 na kwamba watalii wengi sana hutembelea kipindi hiki cha kiangazi wakitokesummer wanatokea ujerumani,ufaransa na italy. Mdau anaeleza kwamba mlima ulifunguliwa rasmi na Mfalme Herald mwaka 2001 na anatukaribisha wadau tutembelee. Globu ya Jamii, ambayo haibagui na wala haichagui, inamwambia mdau kwamba inshaallah iko siku tutatia timu huko

Unaposema umefunguliwa rasmi ina maana haukuwepo?
ReplyDeleteSasa hiyo milima kwani kwetu hapako?ah mswahili bwana cha kukisifia kisicho chako yakhe!!!
ReplyDeleteWewe mdau wa Norway badala ya kutanganza Mlima wa nyumbani kwenu Kilimanjaro unatangaza milima ya nchi za watu huo sio uzalendo na hauipendi nchi yako.
ReplyDeleteKwahiyo unataka sisi wabongo tuje kupanda mlima huo wa Norway wakati wa kwetu uliopo nyumbani hatujawahi kuupanda!!!
Mdau USA
yakhe tukumbuke kwenda na makoti huko ati, wajua bardi kali mwe.
ReplyDeletemwacheni kila mtu antumi huru wake, kutangaza maoni ati kama weye wataka tangaza mlima wa bongo anza sasa ati. mie naja bdae uko pia.
MNA KISIFIA HICHO KICHUGUU!!
ReplyDeleteMIMI NATOKEA MBEYA, MJI WENYEWE UKO 1400 METRES ABOVE SEA LEVEL.
UKIENDA UPOROTO AU KITULO NDO ZAIDI YA 2000M ASL.
BY COMPARISON MLIMA KILIMANJARO NI ZAIDI YA 5000M ASL
WAAMBIE WA NORWAY WATAJAZA!!!!!
mnamwonea wivu!!!heheehehhe
ReplyDeletemwenzenu keshajilipua. anatangaza vya nchi yake sasa
ReplyDeleteWaambie anony julai 09 05:51,kwetu hizo heights ni kitu cha kawa,watu wanapanda daily.NA WEWE MLIMA WA NORWAY UNUSAIDIA NINI SISI?WAPI ZAMANI,sasa sisi tufanyaje?tuje tuspendi sauzandz ovu dolasi kwa view kama hiyo while i could just drive through Kitonga with a picturesque view almost the same weather minus the snow,we duwanzi kweli.ndo nyie mnawaambiaga wazungu kwetu kuna shida ukifikiri atasympathise nawe.
ReplyDelete