kwenye hafla ya kumkumbuka profesa haroub othman
ukumbi wa nkrumah hall mlimani dar.
kuna wadau wameomba mjadala wa kama inaswihi ama la kwa wanaharakati kama Che Guevara kuenziwa kiiivyo katika zama hizi, wakidai kwamba wengi wa watu hao sera zao zimefeli...
ZIMBABWE WALIKUWA HOI BIN TAABAN SASA WAMEANZA KUTUACHA KWENYE MATAA MAMBO YAO TARATIBU YANAANZA KUNYOOKA.INATUFUNDISHA NINI HII WATANZANIA? SOMA MWENYEWE:
ReplyDeleteRegional landscape: Good reasons to believe that worst is over for Zimbabwe
ROELOF HORNE
PUBLISHED: 2009/07/28 07:02:59 AM
ONE advantage of hitting rock bottom is that things are bound to get better from there. The authoritative Washington publication, Foreign Policy, recently rated Zimbabwe as the second-worst failed state in the world (after Somalia). But after watching 10 years of economic destruction in Zimbabwe, there are at last clear signs of a turnaround. The news flow from Zimbabwe does not always help to form a balanced view — between the shameful propaganda of the state- controlled media and the jaundiced eye of perpetual doom-mongers, there is a story that is not being told. Having visited Harare recently, here are some observations.
n The demise of the Zimbabwe dollar has solved many problems. I have a Z100-trillion note in my wallet. I also have last year’s company results for one of the bigger banks reported in quintillions of dollars (that’s 18 zeros!). The comparative column is blank: all zeroes, as the 2007 numbers, having been eroded by hyperinflation, are too small a fraction to count. Towards the end of last year, prices were going up 100% a day, so owning any cash or having a positive bank balance was ruinous. Employees were queuing for days to get their salaries out of bank accounts while faced with restrictive (government-imposed) daily withdrawal limits.
So what happened to the Zimbabwe dollar? The population spontaneously abandoned it late last year, turning to barter, fuel coupons and (later) foreign currency instead. By the time the transitional government announced the demise of the Zimbabwe dollar, it was simply blessing what had already become the norm. The change to US dollars (in Harare) and the rand (the rest of the country) had two important results. It launched a business revival and stopped hyperinflation (by stopping the printing presses, thereby limiting the amount of money chasing goods and services).
n Business is booming. Business leaders are almost absurdly optimistic about conditions in Zimbabwe. This should be seen in the context of conditions last year: business time and personal time was consumed by one thing — keeping afloat in a fast deteriorating environment. Apart from banking, stock, pricing, energy and staff problems, they....
Soma zaidi kwenye link hii:
http://www.businessday.co.za/articles/Content.aspx?id=77014
Angalau sera ya Uzalendo bado inafaa hadi sasa ingawa viongozi wengi hasa wa Afrika hawaifuati.
ReplyDeletesera za kina che zilikuwa ni kukataa ubeberu, kukataa kutawaliwa na kudhibitiwa(au kuwa dominated) kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. walikuwa wanakataa hali hii tuliyo nayo sasa, ambayo tumeikubali sasa, kwamba mali za asili kama madini yetu vinawafaa wageni kuliko sisi, walikataa mipango ya maendeleo ambayo inatokea washington na london badala ya dodoma na dar es salaam, walitaka kujipangia mambo yao wenyewe. Tulipuuza, tukasikiliza zaidi wanavyotuagiza "wakubwa", matokeo yake tumekuwa maskini zaidi.
ReplyDeletedmk
watu hawamjui vizuri huyu guevara,google views zake kuhusu watu weusi.Ubaguzi mtupu!
ReplyDeleteDodoma na Dar ilikuwa hivyo miaka yote at least sasa unaweza kupata Deo kupunguza kikwapa na chupi za mtumba zinapatikana kila mkoa.
ReplyDeleteLimbukeni mbeba mabox
INASHANGAZA KUONA WATU WANAMPAPATIKIA HUYU MUUAJI MKUBWA CHE GUEVARA. AMECHINJA WA-CUBA WENGI SANA, UNATAKIWA UONGEE NAO ILI UELEWE NINACHOSEMA.
ReplyDelete