makamu wa rais akitembelea banda la maonesho la kundi la albino baada ya kufungua rasmi maonesho ya sabasaba mwaka huu. kulia kwake ni waziri wa viwanda na biashara dk. mary nagu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2009

    SWALI LA KIZUSHI: ninajua kuwa viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya biashara ni viwanja vya wazi na hivyo hakuna viyoyozi na kwamba huu ni msimu wa jotojoto hapo dar. picha za viongozi/watawala wetu wanaotembelea maonyesho (kama hii) zinaonyesha wakiwa wametinga suti ya ulaya. Je, hii suti haiwapi tabu kutokana na joto la Dar wakati, kwa bahati, sisi tuna suti mbadala ya kiafrika ambayo inaweza kuwapa nafuu na bado wakaonekana nadhifu? Au kuna sheria katika katiba kuwa ni lazima wavae kama Bw. Brown!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...