Marehemu Mzee Alex Chiwanga

FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ALEX CHIWANGA YA BANANA-UKONGA DAR ES SALAAM INAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOJITOKEZA KWA HALI NA MALI KATIKA MSIBA WA BABA YETU MPENDWA..

PIA TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA AROBAINI YA BABA YETU MPENDWA MAREHEMU MZEE ALEX CHIWANGA ITAKUWA TAREHE 11.07.09 ,KWAHIYO KUTAKUWA NA MISA PALEPALE NYUMBANI KWAKE BANANA-UKONGA KUANZIA SAA 3 KAMILI ASUBUHI..


BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...