hoteli mpya ya kisasa imefunguliwa dar maeneo ya gerezani kona ya mtaa wa nkrumah na swahili, karibu na ilipokuwa co cabs ama zahanati ya shirika la reli na si mbali sana na kamata. hivyo mdau ukishuka dar wala usikonde. sema tansoma umefika



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2009

    Hoteli imetulia na mandhari nzuri ,ila tu hawa jamaa wa manispaa waneweka hizo taa za barabarani, mzee mithupu naona itakua kama kule unapokwenda kwenye vekesheni zako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    Safi sana,

    Anko nani hii, vipi hii TANSOMA hotel ina uhusiano na TANil SOMAiya ? ni mawazo tu.

    Mdau Kiwoso.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    Tansoma?? naona wawekezaji TanzaniaSomalia?????

    ReplyDelete
  4. dah inaonekana ipo poa sana ata unavyoicheki kwenye picha

    ReplyDelete
  5. Mkuu, nimejaribu kuisaka kwenye mtandao siipati, ebu tuwekee tovuti na namba zao za simu, maana mwezi ujao Inshaallah ntatua hapo jijini nikiwa njiani kuelekea kuleeeee kwetu watokapo Sangara na Sato kwa sana, na ntapenda kulala hapo japo kwa siku 2, maana eneo ni convinient sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2009

    Hahahah Anon wa 09:43AM umeniacha hoi una maana hizo ni hela za Pirates zinazotumika ku-invest sio.

    Bora ziwe hivyo, ila utakuta kuna kamkono ka muheshiwa hapo-mihela yetu wenyewe ya pale BoT na mabuzwagi n.k.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2009

    hapo bibi na bwana hutingi ndani kama huna cheti cha ndoa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2009

    ANON was 2:32 PM, ACHA USHAMBA! hutaendelea hata kidogo, sio kila mfanyabiashara ni mwizi au fisadi. BAADHI YAO NI WAFANYABIASHARA SAFI AND THEY WORK VERY HARD AND PRAY TO GOD!
    ANGEKUWA MZUNGU, MNGEMSIFIA LAKINI NI MWAFRICA MWENZENU, MNAMSEMA!
    WELL DONE TANSOMA, KEEP IT UP.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2009

    jina na tansoma halijakaa kama jina la hotel

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...