
Kama ni kijana, Umri wa Kati, mzee na upo Tanzania au nje ya Tanzania MK Music Galaxy ni chaguo lenu wote, Kuna miziki kama Bongo Flava, Bongo Dance, Taarab, Zilipendwa na Nyimbo za Injili.
Karibu kusikiliza ngoma za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.
Karibu kusikiliza ngoma za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.
Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.
Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000
Daima tupo Pamoja.
MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.
sijajua nani KIBAKI nani ODINGA, yupi anayetaki kubaki wakati raia wanampiga, mbuyu kabla hujawa mkubwa ulikuwa kama mchicha,
ReplyDeletehata jogoo alikuwa yai thay why hampati picha,
Kijana Geez-Mabov, wakilisha Dirty South Iringa!!!! Kijana vina vimetulia.
ReplyDeleteNani kasema Bongo hakuna HipHop?? Hiyo ngoma no.1 ni kali akuna tena. Hiyo ni beat ya wakali wote, Geez Mabovu, Fid Q na mzee mzima wa Ilala-Chidi Benz.
ReplyDeleteKweli masela hiyo ngoma no.1 hakuna tena, kali kishenzi yaani nilivyosikia tu, nilipiga kama mara 6 hivi..mabovu,chid benz, jmo na fid q wanatisha kinoma...Hii blogu ya miziki pia ni nzuri kishenzi kila kitu kipo kwa mpangilio na track zao zimekwenda shule, hakuna blogu kama hii bongo nzima. Big up.
ReplyDelete