Heshima yako Mkuu wa Wilaya ya Nanihii!
Wapostie wadau hii link ambayo inaonyesha utambulishwaji wa Cristiano Ronaldo moja kwa moja sasa hivi kutoka Estadio Santiago Barnabeu.Link yenyewe ni kutoka Realmadrid.com.
http://www.realmadrid.com/cs/Satellite?pagename=RealMadrid/Page/iframePromociones&cid=

1202774982994&site=RealMadrid&language=en
Sio mbaya kama tukikubali dogo ana kiwango.
Usiku mwema.
Mdau,
UK
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...