anajulikana kama belle 9. ni kijana mdogo lakini anatesa sana kwa sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    ...I'm impressed;
    -mistari ina mantiki
    -Video inaendana na hali halisi
    -Tuna vijana wenye vipaji Tz(Producers)
    hauxtable.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    anajitahidi mtoto wa watu si unajua tena bongo!maisha kama jiwe atleast vijana wetu wameamua kubanana kwenye msiki.kanifurahisha alivyosema kabwaga kama mchele ili kuku wamdonoe mwe bongo kuna vijembe!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    wimbo mzuri lakini video mi nachoka,uyo aliyemuita twister kweli anafanana nae.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    Kijana amejitahidi mno ukilinganisha na wababaishaji ambao wapo miaka nenda miaka rudi na mashairi ambayo hata ukimuuliza mwenyewe aliyetunga hajui maana yake...! 1. Shairi linaeleweka 2. Maneno mepesi yenye maana halisi 3. Midundo imerandana na kupangiliwa vizuri. 4. Aanahitaji support toka kwa wadau. 5. Video kwangu naona ni mazingira halisi na hali halisi ya kibongo. Big up dogo ila usilewe sifa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2009

    Vijana wa kibongo wanajitahidi sana, wimbo mzuri umetulia na unaleta maana kwenye jamii. Video ni nzuri kwani hayo mdau wa hapo juu ndo mazingira halisi ya nyumbani kwenu kama sio Dar ni kijijini kwenu. Nimevutiwa na mandhari ya video hiyo imenikumbusha kijijini kwetu. Kila kitu natural. Great job dogo!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2009

    Video si ya muziki ni ya maigizo na kuonesha muimbaji na muimbaji.
    Imepitwa na wakati hizo videos.

    Tuige video za USA watu wana-dance na picha kali than picha za nyumba za vijijini na kuonesha vibintiz nk

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2009

    Tumechoka na USA USA hatuli tukashiba USA. TZ ndo kwenu usipakatae mbweteka tu US. Mnakera.
    Mdau Leeds

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2009

    Kwasababu tupo Marekani haina maana tu waigilizer hawa watu.Nimefurahi kuona mtu anaye weka mziki wa origin yetu.Good job be who you are and be proud of it

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2009

    NI vibaya kuiga utamaduni wa wengine inatakiwa tukuze utamaduni wetu wa nyumbani, wee mdau hapo juu unasema tuige utamaduni wa USA, kwahiyo unaama awe na bibintiz wenye kuvaa vichupi kwenye video yetu. Huo sio utamaduni wetu na ni kinyume na maadili yetu.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 29, 2009

    nakubaliana na mdau hapo juu.ni wakati sasa video za bongo kuonyesha wasanii wakidance na sio kutuonyesha vijiji/vichaka kila kukicha.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 29, 2009

    Nyimbo nzuri sana, sautyi nzuri sana , mistari mizuri sana, ila video sijaipenda,ingawa mnadai ni hali halisi.
    Muonekano wa huyu jamaa ni hatari ,Sauti nilivyo kua naisikia nilidhani bonge la handsome boi fulani nikapiga picha kama Suma lee fulani , kuja kumuone nilikuwa shocked, nadhani angejitayarisha vizuri na nadhani angependeza zaidi kubadili hiyo miwani (anaonekana kama a geek) na pia angekuza nyele na dhani angependeza maana akitoa miwani ni balaa , ila nakua Big Up kijana ngoma yako kila nikiwa baafuni naiimba , inanipa raha .

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 29, 2009

    huyu kijana nimemkubali,basi wamsaidie atoe video version mpya nzuri ya kisasa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 30, 2009

    je kama ndo shooting yake ya kwanza ulitaka asiuze sura? ebo ati yu esi ei inahusu? fanya shooting yako na wewe ndo uweke majumba magari na vibinti acha hizo limbukeni wewe ukute mwenyewe ubunifu 0 kazi kushoboka tu mbona r kelly beyonce ni wauza sura wazuri tuu hao husemi au kwa vile wako yu esi ei??? kama umechoka kuangalia vichaka zima tv au badili channel otherwise ingia studio toa kitu then utuwekee mandhari unayotakawewe, wimbo safii full kiburudisho
    mdau CANADA

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 30, 2009

    Hawa talented kids wanahitaji sponsors. Very creat!!

    Mdau Canada

    ReplyDelete
  15. Hivi ni lazima kila anayejiita "mwana-muziki" wa bongo aimbe kuhusu mapenzi? Just curoius, wadau naomba data...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 30, 2009

    we unayeuliza swali la kizushi ati ni lazima wasanii waimbe nyimbo za mapenzi ebu tuwekee mistari isiyohusu mapenzi watu waingie studio acha waimbe mapenzi ndo yanafanya dunia izunguke na asilimia 90 ya nyimbo humu duniani ni malovee tu fanya utafiti
    mdau CANADA

    ReplyDelete
  17. Ahsante sana Mdau canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...