Dina Marios
Gea Habibu 'VIP'
Zamaradi Mketema
Wakiwa wanafanya vyema katika kipindi cha 'Leo Tena' kinachorushwa na Clouds kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana, wadau hawa hakika wako juu na wameshaweza kulazimisha watani wa jadi waige mapigo yao ili kujihakikishia usikilizaji wa kutosha. Habari zao kamili zinapatikana kwenye toleo jipya la jarida la KITANGOMA ambalo lipo mitaani sasa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2009

    wal'ahiiiiii...

    totozzz

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2009

    Moshi tunalipate?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2009

    hongera kwa kazi nzuri , sote tunawakubali , na nnapendeza

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2009

    Huu unafiki wa kuwaita kina Otlong'ongo au akina Masakuu[WAKENYA]watani wajadi siupendi.
    Kwani Wakenya wanatakiwa kufahamu vile viujanja vyao vya wizi wa hapa na pale tulisha vigundua na sasa wawe wazi na kuomba misaada tuta wasaidia.
    Mdau hapo juu ametoa maoni na kuandika watani wa jadi wewe weka Wakenya tuu kwani bila hivyo hatofahamu.Mbona huku tuna waambia huko nyumbani mnashindwa nini??,Kumbukeni watanzania hakuna jumuiya ya africa mashariki bila Tanzania.
    Huu ni wakati wa kuwapa ukweli bila kuficha waliyotenda yametosha.Mdau[USSR]

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2009

    Nawapa BigUp kwa sana! mnakubalika! Ila mmeniudhi radioni hamsikiki cku mbili hizi kwanini hamtupi habari kulikoni? au ndio mambo ya mjengoni hayo?? Pili nampongeza Zamaradi kwa kazi yake nzuri na kumaintain mwili unaendana na umri wake lakini shoga zangu Gea na Dina kwakweli punguzeni shkamoo! yani mnaonekana wakubwa wakati watoto wadogooo! mtafikiri mna miaka 35 huko kumbe ata 30 hamjafika acheni kula mabia na manyama yatawaharibia shepu. lakini nyie ni wazuri mashosti.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2009

    Clouds FM mnadai radio kubwa, mbona hampatikani 'live streaming' ktk mtandao wa intaneti?

    Kwa hatua Clouds FM iliyofikia, uongozi wa Clouds wafanye kweli radio hiyo ipatikane 'online'.

    Mdau
    Toronto, Canada.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2009

    Zamradi umetulia mama, ukobomba kinoma..lakini huelekei kama wewe unaweza mipasho kama kipindi chako kilivyo..

    Gea Habibu VIP upo bomba ha ha ha haaa lakini unaelekea kwa mipasho wewe ni noma kama kipindi chako umefanania kweli...

    Mamaa dina kiuso kizurii, ila huelekei mipasho jamani Dina.

    Watoto wooooote nawafagilia hakika metulia kinoma. Hasa Zamradi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2009

    Kudadeki, kipindi kinaanza saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana! Hiyo lazima ipelekwe Guiness Gook of Records.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2009

    sipendi maongezi yao, yamekaa kipashupashu sana

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2009

    Asante kwa taswira hizi muhishimiwa. Sisi wa enzi za RTD na ile Idhaa ya biashara tulizoea kusikia sauti murua na nyororo tu, kuwaona wenye hizo sauti ilikuwa ni mpaka ufanye 'study tour' pala RTD. Sasa heroes wangu kwenye clouds FM ni Gerald Hando, Barbara Hassan na PJ. Kipindi chao ni uniqie sana. Wengi tulifikiri Kipindi kile kingeharibika sana baada ya kuondoka akina Kabwe, Princess Fina Mango na mzee wa vipaji lukuki KP, lakini Gerard, Barbara na PJ wamedhihilisha kwamba No one is indespensabe! Ukiweza saidia sura zao Michu pleaseeee..

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 04, 2009

    Hawa kina dada kweli wako juu na hicho kipindi chao cha hekaheka na sisi wa huku mbali kwa wazungu tulikuwa tunakisikiliza kupitia dullonet lakin toka tarehe 18 juni tulipowekewa kwa mara ya mwisho kipindi hicho hakijawekwa tena sasa jamani mbona munatubania hata mambo ya nyumbani amandio munataka tufe na hizi stress za kazi za PUNA AFE LAKINI MZIGO WA BWANA UFIKE?wacheni hizo tuwekeeni tusikie za uswahilini.... by Mzee minuso Rinkeby

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 04, 2009

    wahooo! yie wazuri tu ila we Dina marias mi mashavu yako tu

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 05, 2009

    aaaah! Kweli vipindi vyao vinalenga jamii,lakini wanaongea kama vile wapo Bar! wajaribu kutumia lugha inayojali zaidi utamaduni wa Mtanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...