wadau kibao wamekuwa wakihangaika kuzitafuta zilipo ofisi za daily news na habari leo kwa sasa. kwa takriban mwaka wa nne sasa ofisi hizi zipo jengo la TSN ambapo chini kuna benki la Federal Bank of Middle East (FBME) mtaa wa samora avenue, si mbali sana na picha ya bismini ama sanamu ya askari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    Kwani daily news waliondoka pale ilikokuwa printpak zamani? naomba kuuliza/kutoa hoja

    ReplyDelete
  2. Direction za bongo mikosi.Enzi za Mwalimu kila nyumba ilikuwa na namba kama vile huku majuu kulivyo sio sasa hivi.Ukitaka kupata maelekezo ya sehemu(address) ndani ya Dar utachoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...