Jacqueline Kibacha a.k.a Pretty Poet has been nominated for a BEFFTA (Black Entertainment Film Fashion and Arts) Award in the Art Category for Best Spoken Word Artist.
A Red Carpet Awards night will be held on
October 17th at the Hilton Metropole, London.
see the website
for more details, please visit
or
itsprettypoet.blogspot.com
to hear Pretty Poet at work.
Get ready,
details on how to vote coming soon...
Thank you for the info. If you go through the list carefully will also see ALI KIBA is one of the nominees under the MUSIC category: best international act.Click: http://www.beffta.com/nominations.pdf .Kindly let others know about this through your blog. Thank you!
ReplyDeleteMdauz!
jamani Ali Kiba nae amekuwa nominated for best international act...mumuweke na yeye...
ReplyDeletembongo wetu wa ulaya sijui mara ya mwisho alikanyaga lini home land jua kali nadhani ndiyo maana sauti yake haikuathirika na jua...hongera huko huko uliko
ReplyDeleteTanzania ina wengi wenye vipaji nje.
ReplyDeleteNi kitu cha kujivunia sana na hawa tunapotangaza na kutambua mchango wao.
Yuko mdada mmoja mwenyeji wa Tanga ambaye details zake sinazo vizuri ila anamiliki NGO moja ndani ya mkoa wa Tanga ni mcheza filamu mkubwa sana na amecheza filamu nyingi na mastaa wakubwa wa hollywood.
Am still looking for her details na yeyote anayejua news zake please zianikeni
Yuko juu sana huyo mdada ila hatambuliki
Hongereni akina Kiba, Thabeet and many more
You are good
Namjua huyo mdada unayesema
ReplyDeleteAliwahi kucheza picha moja na mastaa kama akina Michael Douglas. Anatoka mkoa wa Tanga na ni mcheza movie mkubwa sana
Alikiba anashindana na Beyonce na Akon?
ReplyDeleteThe boy is great wajameni
Jamani huyu demu siyo aliyeolewa na K-Singo aliyekua Kwanza Unit? au nimemchanganya [kumradhi kama siye].nafikiri ashawahi kuja US.
ReplyDeleteWel done Ali Kiba...pigani upate nafasi ya kuimba pia....hicho hicho kiswahili.....na msianze sema...Ooohh kiswahili..nani anajua...nd'o wakijue hivyo...Kama amabavyo siko hiyo watakapomjua Ali Kiba...I'm sure sasa hivi wanajiuliza nd'o nani huyo...Sasa kukuon tu haifai...warushe roho na zako kubwa...ibakie kwenye ubongo wao.Make sure you live a mark...Remember ,that kid singing on Michael Jackson's Memorial?Shaheed Jafargholi...he left everybody asking who he is...Go boy...It's only you(and God) who can stop your success...others will only delay it.Good Luck...Wheather you go home with ana award or nothing it's a win win situation for you.
ReplyDelete