Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hivi wakuu yule jamaa aliyekuwa anaitwa Mayenu aliishia wapi? Maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona. Halafu kulikwa na mtu mwingine anaitwa sharp sijui naye yuko wapi. Hawa jamaa walikuwa hivutio wawapo katika kazi zao

    ReplyDelete
  2. Kwa hili sebene lazima dereva uchanganyikiwe! Trafiki bongo mpoooo..?

    ReplyDelete
  3. lohhhh kulikoni huyu jamaa yuko vitani ama uraiani?

    ReplyDelete
  4. kali kwweli kweli bongo waige tehe tehe tehe ha ha ha

    ReplyDelete
  5. kila nikimtizama nabaki mdomo wazi

    ReplyDelete
  6. Huyu ukimleta bongo lazima madereva wa taxi wamgonge
    Yule Mkama shap nasikia sasa hivi ni marehemu sijui kweli, mwenye data atuelezee

    ReplyDelete
  7. Thubutuuu! fanya hivyo ndani ya Dar down town kama daywakas hawajakuvunja kiuno katika harakati za 'kula vichwa'!

    ReplyDelete
  8. mambo hayo, bongo wakimuona hivyo watasema apelekwe kwa mganga, kumbe kasomea songombingo za trafic control

    ReplyDelete
  9. anafanya watu watabasamu na kupunguza hasira kusubiri kwenye foleni,safi lakini ni hatari kwani ni destruction kwa madereva.

    ReplyDelete
  10. Kweli mdau Bennet wapi Mkama Sharp ni siku nyingi sana huyu jamaa hasikiki mwenye dataz upande wa jeshi la Polisi atujuze!

    ReplyDelete
  11. Kaka michu, mbona huku mie sioni hiyo picha ya kashange feri. Please do something nami nifaidi.

    ReplyDelete
  12. Kashangae feri indeed.This is so entertaining.LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...