President Jakaya Kikwete introduces Tanzania's baskteball super star Hasheem Thabeet to guests at a dinner hosted by Doctors for Africa Organisation held in Beverly Hills, California in his honour during his US trip earlier this year and weeks before Hasheem got drafted for the NBA where he went to play for the Memphis Grizzlies.

The towering players is expected to jet into Dar tomorrow Saturday ahead of his two-week mid-summer holiday. Touch down is at 3 PM local time. His arrival is eagerly awaited by fans and friends and already two parties have been prepared for him. The first one is to be held at the Kempinski hotel's Level 8 hall on Saturday night, and the other will be on Monday at the residency of acting US Ambassador Larry Andre at Oysterbay - both parties by invitation only.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. huyu kijana nakumbuka kumuona kwa mara ya kwanza water front kwenye harusi ya marion elias aliyekuwa anafanya kazi ITV, alikuja na rafiki yangu mmoja anaitwa Rahma, siji hata yeye sasa hivi yuko wapi sijamuon longtime ile mbaya!!! ni aunt yake kama sikosei, nilikuwa sijawahi kumuona mtu wa mrefu kama yeye ndio ilikuwa my fisttime; dah umefika mbali kijana just keep it up!!
    Angel!!!

    ReplyDelete
  2. Wee Michuzi Midevu Kaa Washawasha Hebu Tupe Matokeo Ya Starzz..Nyau wee

    ReplyDelete
  3. MDAU number 1 hapo juu...
    Rahma yupo pakstani anasoma shule pale Al-Khair University Punjab pakistan. ameolewa na bwana mmoja anaitwa Valentino mbilinyi ninayo namber yao ya simu kama unaitaka. Naikumbuka hiyo siku ya arusi ya Elias nilikuwepo kama unakumbuka nilivaa suti ya njano na viatu vya pink back in tha days

    ReplyDelete
  4. hongera Hasheem, tunakutakia kila la mafanikio, hawo pepo wachafu wa naopenda ulevi wakupate iliupeperushe bendera ya TZ, na familia yako

    ReplyDelete
  5. THANKS NIMEKUKUMBUKA
    ULILEWA SANA MPAKA UKATIA AIBU MDAU

    ReplyDelete
  6. Michu eeh, wadau tunaomba ututafutie wasifu wa huyu Hasheem, I mean his profile.....plzzzzzzzz

    ReplyDelete
  7. Ugomvi wangu ni uleule...kama mtu unaandika kizungu basi hakikisha unaandika kizungu sanifu...huu mpango wa kutumia "tense" zisizostahili mahala pake ni aibu kwa muandishi...kwa mfano...ni matumizi ya "in", "to" na "at"...huwezi kusema "I saw Michuzi at Oysterbay"...bali unatakiwa kusema I saw Michuzi in Oysterbay...au "I am going to Oysterbay"...au "He lives in Oysterbay".

    Jambo la muhimu kabisa nafikiri ni sisi watanzania kujivunia lugha yetu ya kiswahili na tuondokane na kasumba ya kuchanganya lugha...na kwa bahati mbaya mara nyingi huwa watu wanachapiachapia na kupoteza maana halisi ya ujumbe wao. Amkeni jamani jua limekuchwa.

    ReplyDelete
  8. huyu jamaa wasifu wake ni mrefu kuliko watz wote au yupo zaidi yake jk kawa kama mfupi

    ReplyDelete
  9. Hongera Hasheem,nimekuwa nikimfuatilia toka yuko college kwa kweli im very proud kumuona brother akifanya mambo makubwa.pia nina maoni kwa hasheem nimekuwa nikiangalia summer league na jinsi anavyoperform kwa kweli inanitia wasiwasi itakuwaje kwenye NBA maana hata wataalam wanasema hawakuridhishwa na performance yake na remember hiyo ni summer league ni vijana wa college sasa sijui itakuwaje atakapokuwa face to face na SHAQ na HOWARD? kwa kweli unapokuwa 7ft 3inch na una average 4 rebound per game in summer league is not a good news.cha muhimu ndugu yetu atumie muda mwingi kwenye gym sio kwenye facebook,tunamuombea mafanikio mema maana katutoa wabongo kwa sana.GO HASHEEM GO!!

    ReplyDelete
  10. wasifu wa Hasheem kwa wewe dada uliyeuliza:
    HASHIMU NI MTOTO PEKEE WA MZEE THABEET, NI MWEUPE ANA KITAMBI KIKUBWA TU NI MFUPI SANA SHULENI KULE MAREKANI WALIZANI NI MBILIKIMO AMETOKEA ESKIMO LAKINI AKAWAMBIA YEYE NI MMATUMBI. ANAPENDA KUCHEZA SOKA NA GORORI, ALIPOKUWA SEKONDALI ALIWAHI KUWA MKIMBIAJI BORA WA MITA 100, ANAPENDELEA KULA WALI NA DAGAA IKICHANGANYWA NA BAMIA, NI MTUKUTU NA MPENDA WATU YAANI MTU WA WATU. MICHUZI USINIBANIE NIMEAMUA KUMJUBU HUYO BINTI ANAYEPENDA KUJUA WASIFU WA KAKA HASHIMU. ASANTE MUNGU IBARIKI BULOGU YA MICHUZI

    ReplyDelete
  11. Wewe msanifu wa kingereza wewe ndio unachemsha.....english kama kiswahili ndugu yangu...kina mapana na marefu ...Hapo hamna kosa lolote.....ni wewe tu uliyekariri kingereza cha watu...sijui lufafanua lakini hapo inamaana at the residency ...yaani osterbay residency ya huyo acting balozi sasa sijui ulitaka aseme in the osterbay residency? hahahahahahaha Na kwa Kempinski ni hall linazungumziwa so at the kempinski hotel's level 8 hall haman taabu kabisa...


    Duh na huyo anayekumbuka mpka suit aliyovaa kwenye harusi fulani mbona kazi...huendagi kwenye party nyingi? au kiwalo chako ni hicho hicho? Na inamaana ulipendeza sanaa au ulikua unique sana kila mtu aliyeenda kwenye harusi hiyo akukumbuke...duhhhh


    All in all hongera Sana Hashimu .twakuombea Mola akusaidie na akujalie katika career yako hiyo.

    ReplyDelete
  12. Wabongo bwana kweli limbukeni hana siri...
    Jamani utawezaje kumwita Thabet SUPER STAR sijuhi umetumia vigezo vipi...mtu ajacheza hata msimu mmoja unamwita ST...vibaya hivyo mtamfanya ashindwe mpira.. MUHIMU KUMSHAURI AKAZE BUTI MAANA NBA siyo mchezo ile ni bahari kubwa ambayo ni rahisi kuzama....
    Mdau wa Kamachumu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...