mtangazaji wa Clouds 88.4 Zamaradi akiwa hoi bin taaban kwa kazi za kufanyia intavyuu mamia ya vijana waliojitokeza kuwania nafasi moja ya atakayekuwa mtangazaji nambari moja wa kituo kipya ya CloudsTV kinachotarajia kuanza kazi karibuni. intavyuu hizo zilifanyika kutwa nzima ya jumamosi kiwanja cha Leaders Club Kinondoni jijini Dar
foleni ya kufa mtu toka saa tatu asubuhi hadi machweo
vijana wakijiandikisha kabla ya intavyuu
waliojiandikisha wakisogea kwenye hema la intavyuu
zamaradi akiongea na vijana kwenye foleni ya mwisho ya intavyuu. foleni zilikuwa tatu. ya kwanza kupatiwa namba. ya pili kusajili jina na wasifu, ya tatu ni hii
watangazaji B-12 na Adam Mchovu wakiwa katika kuintavyuu vijana kwenye hema namba mbili
watangazaji Ncha Kali na nanihii wakifanya intavyuu kwenye hema namba moja
mmoja wa vijana akifanyiwa intavyuu
baadhi ya crew wa CloudsTV









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hii ni dalili ya "unemployment" kubwa bongo..........

    ReplyDelete
  2. Sio dalili tu ya unemployment, but dalili kwamba bongo tumeendelea katika recruitment and selection, naona watapata cream, lol.

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana Clouds TV kwa hatua hiyo. Agalizo: Nilitegemea usahili huo ungefanywa na wataalam zaidi katika fani ya utangazaji wa TV na sii vijana wa mjengoni ambao katika dimbwi kubwa la fani ya redio wanaelekea kufikia ukomo sijui hiyo TV itakuwaje. Jengeni misingi kwanza.
    Tunategemea mambo mapya na ladha mpya. Vile vile watangazaji wa redio ingekuwa bora wakafanya usahili wa redio.B12 na tv wapi na wapi?????

    ReplyDelete
  4. Kwa Bongo hii ni formalities tu.Atakae chukua kazi tayari anatafuta nyumba ya kupanga karibu na studio.
    Sio vizuri kupotezea watu muda!

    ReplyDelete
  5. Mtangazaji bora wa TV atachaguliwaje na wasiojua taaluma na maadili kazi ya utangazaji?

    ReplyDelete
  6. Mtangazaji bora wa TV atachaguliwa na maDJ wa RADIO!!!!!! tena wasio na taaluma wala maadili ya utangazaji???????

    ReplyDelete
  7. bora annons mmeaza toa mada...

    nimejiuliza kwa utaalamu/utaaluma gani hawa matozzz wanainterview watu????

    TV na radio??????
    khaaa

    ReplyDelete
  8. nimependa sana maoni ya annon hapo juu kwamba what training do this young men have in tv to sit and judge people who will work in cloud tv....kwanza kosa la kwanza ulilofanya na wengi tumefanya humu ni kuassumme kwamba hawana elimu ya tv.una uhakika wa hilo?????

    cha pili ni kwamba wao kama clouds tv, what are they looking for??? do we know??? lets not try and force them to conform to our wishes.....when walianza clouds fm, tuliitwa kama maannon na kulizwa kuhusu criteria au education ya walioanza clouds fm..wengi wao were from school, kama kumbu kumbu yangu hasnt failed me...bt where is clouds fm today.....one of the leading exciting urban radio stations....yes it has mapungufu yake kama a media house but nahisi that is part of its appeal.....sasa kwa wewe ambae unataka professional people to run things.......how many people are qualified in what they do huko unakofanya kazi.......wewe mwenyewe probably you learnt on the job my friend......so tuache kuwa so quick kuwa judge hawa vijana...they are building a tv station ambayo kwa muonekano wa majudge na vijana waliohudhuria auditions hizi...is a youthy tv station na kwa my experience, kama you are removed from the youth culture, hata uwe na degree ngapi, you can not pick what will work....a tv presenter wa tv station kama ninavyo hisi clouds tv will be, requires personality, kitu ambacho school does not teach......na ukiwa na a producer, mtu wa nyuma ya pazia, anyone can be made a star na utampenda tuu.........i listen to this radio station licha ya kwamba maybe i am not mlengea wake but i see the spirit of youth in matangazo yake na vipindi so i am not worried najua tv will be ok.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...