Home
Unlabelled
JK afungua barabara ya masasi hadi mangaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HONGERA MWENYEKITI,
ReplyDeleteCCM YAENDELEA KUTEKELEZA ILANI YAKE YA UCHAGUZI KWA WATANZANIA WOTE.
MH. RAIS, ENDELEA PIA KUONGOZA SERIKALI ITEKELEZE MAJUKUMU YAKE KWA KUONGEZA KASI SAWIA NA UBORA WA VIWANGO VYA HUDUMA YA UMMA.
NASI WANANCHI,
TUISAIDIE SERIKALI KWA KUTOA TAARIFA SAHIHI NA MUHIMU JUU YA KERO ZETU NA TUWAJIBIKE KIKAMILIFU KWENYE MAJUKUMU TUNAYOPEWA ILI TUWE NA NGUVU YA KUIONGOZA SERIKALI. SERIKALI NI WATU..
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MAINA ANG'IELA OWINO.
MICHUZI EBU TUONYESHE HIYO BARABARA NI YA KIWANGO CHA LAMI AU KOKOTO TU MVUA KIJA BASI TUNARUDI SQUARE ONE, SHOW US THE ROAD, WE WANNA SEE IT IF IT IS A TARMAC ONE
ReplyDeletesijui sisi kigoma zamu yetu lini? hatuna umeme,maji, wala barara.sijui serikali inampango gani na sisi, tumesahaulika kabisa, tukumbukwe. tunamuomba Rais afanye ziara mkoa wa kigoma aone hali halisi, mana huku hataki kuja kabisa kama sisi sio WATANZANIA!! just imagine kucharge simu hapa UJIJI kwa wenye generator ni Sh 300,kucharge tu! any way.
ReplyDeleteBARABARA HII YENYE KUFADHILIWA NA JAPANA GHARAMA YAKE NI BILIONI 15 KWA KILOMETA 17(BARA BARA YA LAMI) KULINGANA NA DAILY NEWS YA LEO,
ReplyDeleteBARA BARA YA KUMALIZIA KILOMETA 16 ZA DODOMA MANYONI GHARAMA YAKE BILIONI 32!!!(BARABARA YA LAMI)
BABA KIKWETE ANGALIA HAPO KWA MAKINI!!