JK akisikiliza maelezo toka kwa Luteni Rose Katila ambaye ni rubani pekee mwanamke katika kikosi cha anga cha JWTZ wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya Jeshi la wananchi kwenye wuanja wa kikosi cha anga huko Ukonga jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. My God tumekwisha!! Bado tuna ndege za kivita zilizotumika vita kuu ya pili ya dunia. Ndio JK anaziita hizi "vifaa vya kisasa!!"

    Kenya wanatushinda kabisa- they have more morden fighter jets.

    ReplyDelete
  2. wee acha tu vifaa nyeti hawafionyeshwi hapa hao unaosema wanavifaa va kisasa wambie wachokoze nyuki ndio utaona kilichomkimbia idd amin dada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...