Home
Unlabelled
kashangae feri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi wakuu yule jamaa aliyekuwa anaitwa Mayenu aliishia wapi? Maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona. Halafu kulikwa na mtu mwingine anaitwa sharp sijui naye yuko wapi. Hawa jamaa walikuwa hivutio wawapo katika kazi zao
ReplyDeleteKwa hili sebene lazima dereva uchanganyikiwe! Trafiki bongo mpoooo..?
ReplyDeletelohhhh kulikoni huyu jamaa yuko vitani ama uraiani?
ReplyDeleteMovie.
ReplyDeletekali kwweli kweli bongo waige tehe tehe tehe ha ha ha
ReplyDeletekila nikimtizama nabaki mdomo wazi
ReplyDeleteHuyu ukimleta bongo lazima madereva wa taxi wamgonge
ReplyDeleteYule Mkama shap nasikia sasa hivi ni marehemu sijui kweli, mwenye data atuelezee
Thubutuuu! fanya hivyo ndani ya Dar down town kama daywakas hawajakuvunja kiuno katika harakati za 'kula vichwa'!
ReplyDeletemambo hayo, bongo wakimuona hivyo watasema apelekwe kwa mganga, kumbe kasomea songombingo za trafic control
ReplyDeleteanafanya watu watabasamu na kupunguza hasira kusubiri kwenye foleni,safi lakini ni hatari kwani ni destruction kwa madereva.
ReplyDeleteKweli mdau Bennet wapi Mkama Sharp ni siku nyingi sana huyu jamaa hasikiki mwenye dataz upande wa jeshi la Polisi atujuze!
ReplyDeleteKaka michu, mbona huku mie sioni hiyo picha ya kashange feri. Please do something nami nifaidi.
ReplyDeleteKashangae feri indeed.This is so entertaining.LOL
ReplyDelete