ni wiki ya tatu sasa na kiplefti yetu iliyopo mtaa wa azikiwe street jijini dfar bado tu kufunguliwa rasmi. redio mbao zinadai (mh...u yale yaleeeee...) kwamba anasubiriwa mhandisi amalize likizo mwezi ujao mwisho aje atoa maelekezo nini kifanyike. waziri mkuu yupo tayari kukizindua kiplefti hichi wakati wowote kikiwa tayari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Polepole mkuu, kibarua chako kule DN kinaweza kuota nyasi kwa kelele zako. Wenyewe wauchapa usingizi, weye wawaamsha?

    ReplyDelete
  2. Na kweli haya ndio maendeleo yaliyopatikana kutokana na nguvu mpya na ari mpya

    ReplyDelete
  3. Iyo ndi BONGO kila sehemu ukigusa sio,Labda kwenye Mdomo tu.

    ReplyDelete
  4. "You know we need special machine to deal with this, so my dearest kuweni wavumilivu wakati mambo yatakuwa poa karibuni" MSEMAJI WA NANIIII...."

    ReplyDelete
  5. Sawa baba kawaida yetu uvumilivu ila ipo siku uvumilivu utakwisha hilo kumbuka.

    ReplyDelete
  6. NAMBA 500 ANA MVUTO KATIKA PICHA MISS ILALA

    ReplyDelete
  7. NAMBA 500 ANAMVUTO KATIKA PICHA
    MISS ILALA
    BY SOBIANTA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...