Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Makuka wakifurahia msaada wa madawati pamoja na Mwalimu mkuu wao muda mfupi baada ya kukabidhiwa msaada wa Madawati 70 na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania
Mkuu wa Vodacom Fondation Mwamvita Makamba akikabidhi moja ya madawati 70 kwa Walim Wakuu wa Shule za Msingi Makuka na Kilungule zilioko wilaya ya Kinondoni Bi Sara Mwaseba na Peter Kamwera ikiwa ni mwisho wa kampeni ya kutoa msaada ya madawati 400 yenye thamani ya zaidi ya shilingi M 32 katika shule za msingi za mkoa wa Dares Salaam
Wanafunzi na mwalimu wao wakifurahia madawati mapya
Mkuu wa Vodacom Fondation Mwamvita Makamba akikabidhi moja ya madawati 70 kwa Mwalim Mkuu wa Shule ya Msingi ya Makuka Bi Sara Mwaseba, iliyopo Ubungo kibangu wilaya ya Kinondoni ikiwa ni mwisho wa kampeni ya kutoa msaada wa madawati 400 wenye thamani ya zaidi ya shi M 32 katika shule za msingi za mkoa wa Dar




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hizi ndizo faida za FREE MARKET CAPITALISM. Vodacom endeleeni na mpango wenu wa kusaidia shule, hospitali nk.

    ReplyDelete
  2. Hapo sawa kabisa, maana tukiambiwa tuchangie shule inunue madawati tunakuwa wazito watoto wanakaa chini sasa ni bora tuchangie kupitia vocha za simu.

    ReplyDelete
  3. ONYO KWA WALE WACHANGIAJI PUMBA MPENI MOYO HUYU DADA AZIDI KUWAWEZESHA WADOGO ZETU MASHULENI NA SIO KUANGALIA MIGUU AU PISTO MANA LAST TIME MLIBEZI KWENYE MIGUU HAYA SEMENI SASA

    ReplyDelete
  4. Heee pisto zimefanyeje sasa?
    Mdau MBIJE,A-Kafanabo

    ReplyDelete
  5. nielekezeni nyumbani kwa Mzee Yusufu Makamba nataka kupeleka posa kwa ajili ya Mwamvita.

    ReplyDelete
  6. ameshaolewa na ana watoto wawili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...