Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dk .Margaret Chan akitoa maelezo kuhusiana na tiba bora na namna ya kuzuia Ugonjwa wa malaria mara baada ya kutembelea kituo cha Afya cha Ifakara leo wilayani Bagamoyo, Pwani.Katikati ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof. David Mwakyusa.
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dk. Margaret Chan akimsalimia Bi.Eliza Marius na mtoto wake Pius Marius katika wodi ya watoto katika kituo cha Afya cha Ifakara leo Wilayani Bagamoyo
Mkuu wa kituo cha Afya cha Ifakara kilichopo wilayani Bagamoyo Dk. Salim Ahmed akitoa maelezo kwa ugeni kutoka WHO kuhusu huduma zinazotolewa na kituo hicho leo wilayani Bagamyo. Picha na mdau Aron Msigwa wa Maelezo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mkuu wa wilaya hapo umekosea kwani Ifakara ipo wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro. ni ufafanuzi tu

    ReplyDelete
  2. wee ndio hujui anony wa apo juu,. ni kuwa Ifakara centres zina ofisi hata mjini dar na zinaitwa ivo ivo ifakara centres, ni ufafanuzi tu!

    ReplyDelete
  3. Ni Dr Salim Abdulla. Si Dr Salim Ahmed

    ReplyDelete
  4. anony wa 3 nashukuru kwa kurekebisha jina la Uncle yangu

    ReplyDelete
  5. jamani IHI oyeeeeeeeeeeeeee!!!! jamani institution yetu ipo juu sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...