NAMBA 200
NAMBA 300

NAMBA 400
NAMBA 500



NAMBA 600

NAMBA 700
NAMBA 800
NAMBA 900

NAMBA 2000
NAMBA 3000
NAMBA 4000
NAMBA 5000
NAMBA 6000
NAMBA 7000
NAMBA 8000
NAMBA 9000

NAMBA 10,000
HAWA NI WAREMBO 17 WANAOWANIA TAJI LA REDDS MISS ILALA 2009.
GLOBU YA JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA KILAJI BOMBA CHA REDDS KIMEANDAA ZAWADI NONO KWA AJILI YA MMOJA WA WASHIRIKI WA MISS ILALA ATAYEIBUKA KUWA NDIYE MWENYE MVUTO ZAIDI KATIKA PICHA YAANI REDDS-MICHUZIBLOG MISS PHOTOGENIC 2009.

KATIKA KUFANUIKISHA HILO IMEONELEWA KUWA NI VYEMA TUKUSHIRIKISHE NA WEWE MDAU KWA KUTIA BARAKA ZAKO KATIKA KUMCHAGUA MREMBO HUYO MWENYE MVUTO. UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUTAJA NAMBA YA MREMBO UNAYEONA ANA MVUTO WA PICHA YAANI MISS PHOTOGENIC.

MREMBO ATAYESHINDA KWA KURA ZENU NA KUCHANGANYA NA ZA MAJAJI ATATANGAZWA SIKU YA IJUMAA WAKATI WA FAINALI ZA REDDS MISS ILALA 2009 ZINAZOFANYIKA KATIKA VIWANYA VYA KARIMJEE KUANZIA SAA MBILI USIKU.

BOFYA SEHEMU YA 'MAONI' HAPO CHINI YA UKURASA WA PICHA HIZI, KISHA NENDA 'POST A COMMENT'AMBAPO KITATOKEA KIBOXI AMBACHO NDANI YAKE UTAMTAJA UNAYEMONA ANAFAA. KAMA SI MEMBA WA BLOGGER BOFYA ''ANONYMOUS" KISHA BOFYA ''PUBLISH' KAMA WAKATI WA KUTOA MAONI.
UPANDE WA WADAU HAKUNA USHINDANI, TUNACHOOMBA NI KURA YAKO TU. MWISHO WA KUPIGA KURA NI IJUMAA SAA KUMI JIONI.
TEMBELE TOVUTI YA REDDS MISS ILALA UPATE MAJINA NA WASIFU WA KILA MREMBO KWA KUBOFYA

GLOBU YA JAMII INATOA
SHUKRANI KWA USHIRIKIANO WAKO

















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 191 mpaka sasa

  1. NAMBA 800 NDIO BOMBA

    ReplyDelete
  2. NAMBA 900 NDO MWENYE MVUTO KATIKA PICHA.

    ReplyDelete
  3. NUMERO 500 NA HIZO DIMPLE MIE HOIIIIIIIII!!!!!!!!UMENIMALIZA WEWE MTOTO.

    ReplyDelete
  4. mshiriki mwenye nambari 8000 anastahili kuwa Redd's-Michuzi Blog miss Photogenic

    nukta.

    ReplyDelete
  5. 9000 noma

    ReplyDelete
  6. no 600, she is photogenic

    ReplyDelete
  7. namba 600 ina mvuto wa wa hali ya juu mtoto jicho lips kipua kizuriii na rangi ya chocolate flani duh lazima ashinde tu piga ua

    ReplyDelete
  8. Namba 800 ndio bomba zaidi.Kila la heri uliyeumbika na ukawa na kila kitu nitakatacho kwa mrembo. Hongera #800.Utaenda mbabli mama maana "Beauty is somehow objective." Wengine watakuona pia. Praise your who created you with every good attribute a man can be attracted by.

    ReplyDelete
  9. Namba 600 Bomba zaidi....... naomba picha yake plz

    ReplyDelete
  10. Hello Michuzi..I just posted my poll vote choosing number 800.that was wrong. My choice is 8000. I am sorry for that. I wrote Beauty is somehow objective. Please accept my real choice. I had mistakenly taken that number 800,however I meant number 8000. Please earmark my poll.thanx.

    ReplyDelete
  11. namba 8000 iko poa sana hiyo ndo winner

    ReplyDelete
  12. 1. 500
    2. 8000
    3. 200
    4. 600

    ReplyDelete
  13. NAMBA 600

    ReplyDelete
  14. Kama ni tatu bora basi
    1. Namba 3000
    2. Namba 600
    3. Namba 8000

    ReplyDelete
  15. Namba 8000.

    ReplyDelete
  16. Namba 600, macho yake bwana!

    ReplyDelete
  17. number 8000

    ReplyDelete
  18. wajemeni namba 900 anauzika

    ReplyDelete
  19. NAMBA 600 BOMBA

    ReplyDelete
  20. Mbona namba 6000 umempendelea??! umetuonesha mpaka kiuno wengine wala...

    ReplyDelete
  21. NAMBA MIA 600 NI KIBOKO YA WOTE

    ReplyDelete
  22. 600 ANATISHA HILO HALINA UBISHI

    ReplyDelete
  23. 8000 yupo bomba na anaonekana ni pacha na kama hata anavyoweka pozi

    ReplyDelete
  24. Mjomba Michu 8000 kiwangoooooooooooo

    ReplyDelete
  25. 600 na 8000

    ReplyDelete
  26. hapa kazi ipo kweli kweli

    mie nampigia kura namba 500

    ReplyDelete
  27. mm ningependelea ashinde namba 6000 then akifuatiwa na namba 600 asanteni sana mdau UK

    ReplyDelete
  28. 3000 ndio photogenic,amerelax

    ReplyDelete
  29. 300 na 500 wana matiti mazuri kwelikweli!! yani saa 6 mchana kweupeeee. jioneeni wenyewe

    ReplyDelete
  30. jamani angalieni mtu anayetoka kwenye pix vizuri 3000 ni chiboko

    ReplyDelete
  31. Namba 8000

    ReplyDelete
  32. Heshima yako Mkubwa wa Kazi!
    Hiyo totoz ya Numero 500 ni balaa, ila wasi wasi wangu sio Enika wa Baridi kweli?

    ReplyDelete
  33. 7000 hana smile nzuri

    ReplyDelete
  34. 8000 she should win shes stunning.

    ReplyDelete
  35. Huu utaratibu sio mzuri kwa sababu kila anayetoa pendekezo anashawishika na wale waliomtangulia (prejudice). Bora ingelikuwa ni siri na maoni hayo hayaonyeshwi hadi siku ya kutangaza.

    ReplyDelete
  36. Namba 8000 hana mpinzani. Ingekuwa bora zaidi kama ungeonyesha umbo zima siyo uso tu maana urembo unaanzia miguuni....

    ReplyDelete
  37. Namba 600 Ndo MSHINDI....Anavigezo Vyote!

    ReplyDelete
  38. namba mia nane kiboko yao usimbanie 800

    ReplyDelete
  39. jamanni Nr. 8000, check smile imetulia.....anafaa kuwa miss....ajitahidi tu kwenye kujibu maswali na kupandilia viwalo....

    ni mzuri kila mtu amecomment.....haki yake...

    mdau
    Sweden

    ReplyDelete
  40. NAMBA 600 ni kiwango

    ReplyDelete
  41. number 500

    ReplyDelete
  42. namba 700 poa

    ReplyDelete
  43. Duh, ningekuwa jaji sijui ningefanyaje, kwa sababu watoto wetu hawa wote ni wazuri jameni. Naomba kuwasilisha

    ReplyDelete
  44. MIMI NAMCHAGUA NO 3000 KWANZA AMEPOZI HANA MACHO MAKALI YAKO COOL HATA PICHA YA TANGAZO ATAVUTIA SIO KAMA HUYO 8000 .

    ReplyDelete
  45. namba 8000 is photogenic. she is hot and cool.big up cutie!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  46. NAMCHAGUA NO 3000 MACHO YAKE YAMETULIA SIO MAKALI AMEPOZI VIZURI SANA KATIKA KUTAZAMA ATAFAA MATANGAZO YOE TA REDD'S LAKINI HUYO 8000 ANA MACHO MAKALI SANAAAAA

    ReplyDelete
  47. namba 3000 na namba 500.
    Waingie fainali.. then tuulizwe tena.

    ReplyDelete
  48. Hasira hasaraAugust 05, 2009

    #8000 no doubt.

    ReplyDelete
  49. Namba 8000 ana mvuto zaidi kiukweli!

    ReplyDelete
  50. No: 300 Pls

    ReplyDelete
  51. 1. 500
    2. 8000
    3. 600
    4. 900
    5. 300

    ReplyDelete
  52. Namba 700 ndio bomba

    ReplyDelete
  53. Namba 700 Ndio Bomba

    ReplyDelete
  54. 600 mwisho

    ReplyDelete
  55. 600 nimekubali.mdau fin

    ReplyDelete
  56. Namba 600, Bro Mithupu halafu naomba namba yake simu.

    ReplyDelete
  57. 600 funika ubishi tu,

    ReplyDelete
  58. 600 ni kiboko hamtaki ndio hivyo

    ReplyDelete
  59. 600,bila nguvu matokeo ndio hayo

    ReplyDelete
  60. 600 ni model,miss,photogenic

    ReplyDelete
  61. namba 500 wangu ana sura na ngozi mwororo,basi tupe siri ya urembo wako

    ReplyDelete
  62. KWAKWELI MAMBO MENGINE HAYAHITAJI UBISHI. NAMBA 8000 NDIYE MWENYE MWONEKANO KTK PICHA,UKIANZIA SURA,RANGI,POZI.

    ReplyDelete
  63. mimi pia nahisi 3000 ni mkali zaidi,atafaa sana huyo

    ReplyDelete
  64. Anaeweza kuwa katika international level ni 1)namba 8000 halafu 2)namba 3000

    ReplyDelete
  65. big up 3000

    ReplyDelete
  66. NAMBA 400

    ReplyDelete
  67. no 3000 bwana

    ReplyDelete
  68. wawaaaaaaaaaaaaa 3000

    ReplyDelete
  69. Namba 8000 ndio yenyewe haswa. Hapo hakuna mshindani.

    ReplyDelete
  70. ee bwanaeeeeeeee,warembo wote bomba ila 3000,kawazidi

    ReplyDelete
  71. Kwa taarifa yenu namba 3000 MTAMU MPAKA BASI!!! HIVI HAMJUI KUSOMA MAMBO KUPITIA SURA NYIE. KALAGABAO MTAKALIA HIVYOHIVYO WAJANJA WESHAONA!!

    ReplyDelete
  72. i select number 8000, guys lets be honest here..the lady is pretty, no corrogations on the face, beautiful skin, reception matters jamani,,, good luck dear wheather umeshinda or not ujue wewe ni mzuri tu..

    ReplyDelete
  73. namba 8000

    ReplyDelete
  74. 8000 bila mjadala

    ReplyDelete
  75. Nane kiduara kiduara kiduara

    ReplyDelete
  76. 8000 my choice

    ReplyDelete
  77. Namba 200 am sure game ni lako sister all the best.

    ReplyDelete
  78. 500. Ana pozi poa kweli. Hakika ni mrembo na picha yake imetulia

    ReplyDelete
  79. 500
    600
    8000
    Huyu binti wa 9000 ana hitaji matengenezo ya sura.Chunusi zinampunguzia point.

    ReplyDelete
  80. 600 balozi, mtoto anatisha! jicho, lips, smile ya kiuchokozi inafaa kamera kabisa!

    halafu mbona anafanana na mr blue?

    ReplyDelete
  81. michuzi jana usiku umeonekana LIVE kwenye TV hapa UK. HONGERA SANA UMETOKA MBAYA WANAOKUCHUKIA WASHINDWE NA WALEGEE.

    ReplyDelete
  82. 600 bab kubwa

    ReplyDelete
  83. 600 wangu

    ReplyDelete
  84. 600 hapo tu

    ReplyDelete
  85. 600 macho tu

    ReplyDelete
  86. 600 niponipo kwanza

    ReplyDelete
  87. MICHUZI NA WENGINEO,
    ACHA KUCHEMSHA BRO, ILI MTU UWEZE KUJUA KAMA MTU YUPO PHOTOGENIC AU LA LAZIMA UWE NA PICHA ZAIDI YA MOJA NDIO UTAJUA. HIZI PICHA MOJAMOJA ZINAWEZA KUKUDANGANYA SANA.. TUNAOMBA PICHA ZAIDI YA MOJA KATIKA POZI MBALIMBALI ILI TUWEZE TOA MAAMUZI KWA UHAKIKA, NAONA HAPA NI KUBAHATISHA TU
    -MZOZAJI

    ReplyDelete
  88. 600 hapo je utakubali

    ReplyDelete
  89. 600 unywele

    ReplyDelete
  90. 600 bakora

    ReplyDelete
  91. 600 muashok

    ReplyDelete
  92. 8000 na hiyo 600 iko juu...The rest is history

    ReplyDelete
  93. mbona wote wana nywele za ki-sri lanka?

    ReplyDelete
  94. mwaaaaaaaaaaaaaaa #3000

    ReplyDelete
  95. 3000 kitu aisee

    ReplyDelete
  96. 3000,NDO HABARI

    ReplyDelete
  97. 3000KATULIA SANAAAAAAAAAAAAA,TU

    ReplyDelete
  98. GO GO GO 3000 GOOOOOOO,U R WINNER BABY

    ReplyDelete
  99. aka n0 3000 babukubwa

    ReplyDelete
  100. 800 must be a comedian

    ReplyDelete
  101. Namba 6000 ana komwe kama Tyra Banks muangalieni huyo!!

    ReplyDelete
  102. #6000 picha nzuri kupita zote.

    ReplyDelete
  103. najua nitaonekana mzushi lakini jamani kaka michu haya mashindano ya umiss yamezidi sana hapa bongo kila kukicha kuna mashindano ...mimi naomba unanzishe topic kuwauliza wadau mawazo yao kuhusu haya mashindano ...maana tumeshaya choka mara mis kimara mara miss sinza ..miss jamatini haya mashindano yana umuhumi gani katika jamii mpaka yafanyike kila kukicha ? Naomba kupata upeo wa watu wengine kwenye hii topic
    Mdau
    Upanga

    ReplyDelete
  104. Namba 300 kama ukishindwa umisi njoo nikuowe niko AZ, USA.

    ReplyDelete
  105. YANI HUYO NAMBA 600 KIBOKO YA WOTE

    ReplyDelete
  106. 600 UKO JUUUUUUUUUUUUU KAMA BLOG YA MICHUZI HILO HALINA UBISHI

    ReplyDelete
  107. NAMBA 600 WA UKWELI ATAYEBISHA BASI HUYO MJEURI

    ReplyDelete
  108. NAMBA 600 WA UKWELI ATAYEBISHA BASI HUYO MJEURI

    ReplyDelete
  109. 600 WE MKALI BWANA

    ReplyDelete
  110. Namba 400

    ReplyDelete
  111. 600 unamvuto bwana wa picha

    ReplyDelete
  112. Namba 600 umewafunika wote hao

    ReplyDelete
  113. ni 500 tu...600 anaweza ingia.

    ReplyDelete
  114. TOP 3 MUHIMU

    1) 8000

    2) 600

    3) 200

    ReplyDelete
  115. 8000 period

    ReplyDelete
  116. wote vituko na wazee waliokomaa ilala kuna hasara yaani hapo kidogo

    # 8000

    ReplyDelete
  117. mmmmhhh atleast kodogo 8000

    ReplyDelete
  118. mimi najua madem...namba 500 na 8000 au ndiyo wanavutia...mdau cashmoney.

    ReplyDelete
  119. 1. 600
    2. 8000
    3. 500

    ReplyDelete
  120. TUFANYE HIVI KURA MOJA ZIKIONGOZANA ZAIDI YA NNE IHESABIWE NI MOJA

    ReplyDelete
  121. 700 mtake msitake 700

    ReplyDelete
  122. ASIPOPITA MMOJA WA HAWA, NAOMBA MNITAFUTE MNINYONGE KABISAAAAAA......

    1) 500
    2) 8000
    3) 600
    4) 200

    ReplyDelete
  123. Namba 500 ni mrembo , anavutia pia anaonekana makini kichwani

    ReplyDelete
  124. Kuna mpuuzi mmoja anampigia kura # 600 kila sekunde, anyway mimi chaguo langu ni huyo André 3000 and i wish she can be squared off with # 500 in final

    ReplyDelete
  125. namba 500

    ReplyDelete
  126. wewe kinakuuma nini na wewe piga kura mara zote ukiweza hujui mahusiano yetu.600 ni msumari unawachoma

    ReplyDelete
  127. Namba 500 safi kwenye picha

    ReplyDelete
  128. 500 na 2000 washee zawadi

    ReplyDelete
  129. # 600 wa nguvu

    ReplyDelete
  130. Mimi naona number 900 ni mzuri sana, tena ana kialama kando ya pua kushoto, hicho kinaongeza uzuri na utamu vilevile, Lakini Michuzi mbona unapenda sana videm? angalia usije ondoka mapema, sisi tunakula kwa macho tu.

    ReplyDelete
  131. NAMBA 500, YANI DIMPLES ZIMENIACHA HOI,SIJUI NITUKUPATAJE NIKUPE MKONO WA HERI

    ReplyDelete
  132. Namba 700 mtoto bomba ile mbaya

    ReplyDelete
  133. Namba 600 anavutia sana

    ReplyDelete
  134. Wote wametoka bomba ila # 600 kazidi na mwenye macho na atazame!

    ReplyDelete
  135. 8000. Nani anabisha? pili 500 tatu 600. Ni hayo tuuu bana.

    ReplyDelete
  136. 8000 bombaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  137. NAMBA 600

    ReplyDelete
  138. NAMBA 3000

    ReplyDelete
  139. NAMBA 6000

    ReplyDelete
  140. Namba 8000 kama mdoli vile wwe dah mpk ninapata mfadhaiko

    ReplyDelete
  141. Namba 8000 ni kiboko yao..

    ReplyDelete
  142. Baada ya kusoma na kuangalia hizo picha zoooote kwa makini sana, nikajisemea mwenyewe kwamba hapa wasichana kiboko warembo wa kutupwa ni number 8000 ya kwanza na ingekuwa kunakuchagua na wapili basi angefuatia number 500, number 500 kwa tabasamu lake lile limenivunja mwili, na number 8000 huyo amenimaliza kila kitu.Ni mtoto mwenye mvuto wa sumaku hasa.Akinitaka tuwasiliane Stanley2008mwinyi@yahoo.com niko USA. Kwa hiyo # 8000 ni number moja anafaa kuwa miss michuzi Ilala.Nilipofuatilia maoni ya wengine pia nikashangaa wakiwa wamempendekeza huyohuyo kwa kura nyingi zaidi kuliko wote, nami nikafurahia kumbe uchaguzi wangu ni Imara. Bro Michuzi number 8000 ndiyo itakupambia Ukumbi tafadhari usibadirishe pendekezo la mtazamo huu.Number 8000 hoyeeeeeeeeeeee, niandikie basiii email yangu hiyo.
    ahsanteni.

    ReplyDelete
  143. 500 na 600

    ReplyDelete
  144. 900 ni mzuri sana ni black beauty nimeshangaa sana wadau wanaangalia weupe tu hii kasumba iishe jamani hata miss world weupe wako wengi sana hamuonagi!

    ReplyDelete
  145. namba 200

    ReplyDelete
  146. wajameni hamna macho kwa uzuri nini..? hata mie mdau wa kahama machimbo naona japokuwa na vumbi la macho, Aisee namba 900 ni photogenic balaa sasa usiombee awe self asured ndio dahh.

    ReplyDelete
  147. namba 200

    ReplyDelete
  148. Number 8000 is more photogenic!

    ReplyDelete
  149. tuliyempendekeza number 8000 ndo kashinda kweli ni mrembo. hata sie tunafaa kuwa majaji bwana

    ReplyDelete
  150. Thanx mr michuzi! Kura kutoka moscow hous № 15 floor 5. I see № 8000 is the best.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...