
ambayo ni globu dada ya globu ya jamii, imeandaa clip za baadhi ya matukio katika jumba la Big Brother Africa IV akiwemo kanumba ili kukata mzizi wa fitna. ili kuona kama hayo yasemwayo ni kweli ama uzushi....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
siamini kama watanzania wanaweza kuwa na maroho mabaya hivi. nilidhani ni kwa majirani tu kumbe hata kwa wasanii wetu ambao wamejitoa kuliwakilisha taifa...kanumba USIKONDE NA USIBABAIKE. NIMEANGALIA CLIP ZAKO YAAAANI UMEONGEA VIZURI NA UMEELEWEKA NA ZAIDI YA YOTE UMEUMIA AKILI KUTOA MAONI YAKO AMBAYO HATA WENZIO WAMEYAKUBALI..ACHANA NA MASKINI WA MWILI NA ROHO. ukiangalia kwa undani watu wanokusimanga hiyo ni hulka ya watu aina hii, watu hawa wana roho za umaskini na tafiti zimeonyesha nakutumia sasa hivi makala ya utafiti. watu hawa hata majumbani kwao wako hivyo hivyo kamwe hawana jema kwa kila mtu wana roho za uchungu kwa kushindwa maisha. Kama wamefanikiwa wengi ni matapeli tu hawajui the real path of success...WELL DONE MY MEN...
ReplyDeleteSIAMINI WATANZANIA WAMESHAKUWA WAJINGA KAMA WAZUNGU NA MAMBO YA KUABUDU WATU WENYE UMAARUFU WA KUTENGENEZA...NDIO KANUMBA HAJUA ENGLISH..SO WHAT; WHO IS HE AND WHO ARE ARE WE DO JUDGE..!!!
ReplyDeleteFIND SOME WORK TO DO.
asalaam aleikum michuzi: 8 TOXIC PERSONALITIES ZINAPATIKANA HAPA:
ReplyDeletehttp://shine.yahoo.com/channel/life/8-toxic-personalities-to-avoid-461078/
au just google: 8 toxic personalities
Jamani usiibanie nataka sana kanumba aione ili asichanganywe na watu wa maroho mabaya ningekuwa na email yake ningemtumia au wewe michu saidia basi
.....HATA MSEMEJE... SHULE.. SHULE.. SHULE..
ReplyDeleteHIVI MNATUFANYA SISI NI WAJINGA, HIZO CLIPS NI ZA WAKATI ANAAGA,ZILE ZA MWANZO MMEBANIA ILI KUMSAFISHIA JINA, ZILE NDIO TUNAZITAKA MAANA HATA SISI HUKU INDIA KUNA WALIOZIONA THROUGH SATELITE SASA MNALETA MCHEZO WA KITOTO, KANUMBA ASINGIZIWE KWA KITU GANI ALICHONACHO, MTU ANAULIZWA "WHAT IS THE LEVEL OF YOUR EDUCATION" ANASEMA "I PUPILED AT SHINYANGA SECONDARY SCHOOL" HIVI KWELI MPO SERIOUS JAMANI, ISSUE HAPA SIO ACCENT YAKE ISSUE NI KUWA HATA KUELEWA MASWALI ALIKUWA HAELEWI, ANAULIZWA HIKI ANAJIBU KILE, LET THE GUY LEARN HIS LESSON, HE NEEDS TO GROW UP AND FACE THIS LIKE A MAN, MASUPASTAA HOLLYWOOD WANACHORWA MPAKA UCHI NA WANALALA USINGIZI, SEMBUSE YEYE NA UCHAPIAJE WAKE, GIVE ME A BREAK, THE GUY WAS A HUGE EMBARASSMENT, TO MAKE MATTERS WORSE ANARUDI KULIA LIA BADALA YA KUCHUKUA CRITICISM KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUJIFUNZA, MICHUZI UMENIDISAPPOINT ULIVYOKUWA BIASED NA ISSUE HII, KAMA WEWE LUGHA HAIPANDI MUACHE MWENZIO AKASOME MSITUFANYA CHAKUBANGA HAPA,ETI KUKATA MZIZI WA FITINA, AMECHAPIA AMECHAPIA HAKUNA ALIEMUONEA, HII NDIO WAKEUP CALL NA WENGINE WAJIFUNZE, WE SAW THE WHOLE SHOW MICHUZI MSITUFANYE SISI NI WATOTO WA CHEKECHEA.
ReplyDeleteMdau India.
Hivi nyie hapo juu mnaoshika shavu kwa majonzi eti Kanumba pole, pole kitu gani kwa kukosolewa au, sawa hizo clips kaongea lakini hapo alikuwa anaaga, zile alizokuwa anaulizwa maswali ndio mziweke watu wajudge wenyewe sio kutubabaisha hapa, hizo kila mtu aliongea anavyojua lakini Kanumba alichemsha wacha jembe liitwe jembe jamani?
ReplyDeleteMichuzi hizi njaa acha sasa, unaanza kumfagilia Kanumba huu ni ufisadi, we fagilia tu ukweli utabakia pale pale, the guy is empty period. Sio kuwa hajui kiinglish ila hata swali la chekechea hawezi kulielezea, kuna vijana wengi maarufu bongo wangeenda kutwakilisha sasa anatumia migongo yenu kujisafisha, kimeshatokea iliyobaki akubali amechemsha.
ReplyDeleteWHAT GOES AROUND COMES AROUND, ULIMDHALILISHA MTOTO WA WATU SEPETU SASA NI ZAMU YAKO NA WEWE UONJE JOTO YA JIWE, ETI UMEINAMISHA KABISA KICHWA HALAFU MACHOZI YANAKULENGA LENGA KUMBE NA WEWE UNAJUA KULIA, NDIO UJIFUNZE TENDA WEMA UENDE ZAKO SIO KUDHALILISHA WANAWAKE WAKATI WALIKUWA MABIBI ZENU HALAFU UNAKUJA KUTULILIA KWENYE BLOG YETU TUKUFU, TOA UTOTO WAKO BWANA, HALAFU ETI MNATAKA KWENDA KUPELEKA MALALAMIKO SERIKALINI WEWE NA HUYO MPAMBE WAKO RAY, HUO UNAITWA UHURU WA MEDIA, HAACHWI MTU HAPA, ULICHEMSHA VIBAYA SANA SASA WATU WASISEME, HUJAONEWA WALA NINI NI FUNDISHO KWAKO NA HUYO RAY WAKO, HALAFU BORA MMETOA VILE VIBLOG VYENU MLIVOVIITA ETI SIJUI THE GREAT, KWA LIPI MLILONALO.
ReplyDeleteMichuzi haka kamchezo ulikokaanzisha katakuharibia bro, huyo wacha apewe somo, unampigia debe la nini? hatajifunza huyo walijisahau sana hawa.
ReplyDeleteKANUMBA UKIZIJUA WALAU HIZI PERSONALITY 2 UTAKUWA UMEPIGA HATUA:
ReplyDeleteDebbie Downers: These people can't appreciate the positive in life.
Judgmental Jims: When you see things as cute and quirky, they see things as strange and unattractive.
GOOD LUCKY...(ka google sasa: 8 toxic personalities)
wewe anony hapo juu uliyesema SHULE..SHULE...SHULE..., kama wewe shule ingekuwa imekusaidia basi ungejiamini na kuandika jina lako hapa.
ReplyDeleteBwana michuzi hii "clip" kama ulivyoiita, ya bwana Kanumba nimeiangalia na ni kweli huyu mjomba, ana umaimuna kiasi lakini umaimuna wake siyo mkubwa kama wananchi walivyomshambulia. Ukizingatia, rais kikwete mwenyewe pia kiingereza kinamsumbua.
Kanumba kujiendeleza hasa upande wa lugha ipo palepale,tusimpambe tumwambie ukweli hela anayopata kwenye usanii asilewe tu na kubadilisha mademu,KANUMBA JIENDELEZEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteNENDA BRITISH COUNCIL NI KWA FAIDA YAKO.gijo
Kanumba Steve Kanumba Steve I beg yooooooo go British council to learn more grammer english.Sasa hizo clip Bongo celebrity unampamba nini?toa ile ya kwanza diary room alivyokuwa anajiuma uma pole weee!Umedhalilika na wewe wacha yakupate!
ReplyDeleteHela unazopata Kanumba zinakutosha kujiendeleza ili ukifika na wewe mbele za watu uwe na confidence ya kujieleza. Niliangalia tukio zima lakini kusema kweli Kanumba was a kind of not confidently kumbe aliijua siri yake hata wenzake wakijitambulisha kwake alikuwa anawaomba warudie rudie hiyo ni aibu. Kwanza ukajifunze kuongea vizuri kiinglishi bila kugota gota and public speaking na kujenga confidence la kuongea mbele za watu pia. Nadhani umezoea zile camera za kurekodi movies zako lakini pale BBA hukunivutia kabisa. Ukishakuwa super star kama wewe lazima uwe na mshauri, meneja na pia designer wa kukushauri nini cha kuvaa na wakati gani sio pinki shirt. Kwa kifupi bado kijana ana mapungufu mengi tu yanayohitaji kufanyiwa kazi. Hapa hatuongelei lafudhi tunaongelea uelewa wa lugha, maswali na jinsi ya kuyajibu. Hakuna haja ya kutetea uozo alioufanya mwenzetu badala yake watu kama wewe Bro Michu, msaidie mpe counselling aukubali ukweli aende akasomee hata akitaka kuwa na mwalimu wake private na afundishwe usiku pia inawezekana, manake hapa tatizo celebrity anaona aibu kwenda tuition atachekwa na vimwana. Acha hizo !
ReplyDelete"..the guy is very very natural..... is not fake"
ReplyDelete" the real life is it.."
kind of Idd Aminianistic expressions!
Kwangu lililo kubwa ni kwa mbongo mwenzetu kupata nafasi ya kutuwakilisha bba. Jamani kuna watu maarufu wangapi Africa na wameachwa!! Kanumba alichaguliwa kwa sababu ya profile yake na si uwezo wake wa kuongea kiingereza. Kwa hili lazima tumpe pongezi mwenzetu.
ReplyDeleteKwa hili la lugha, pamoja na hatua nzuri aliyofikia Kanumba, bado anahitaji kujifunza zaidi mambo mbalimbali ya msingi likiwemo hili la kiingereza. Jamani sote tunajua hawa wasanii wetu wamejikuta tu wamo kwenye fani, mambo mengi bado hawajajifunza. Hata hapo walipofikia ni kwa sababu hao ndio waliopo, hakuna wengine. Ni lazima sasa wachukue hatua ya kubadilika. Waache umaarufu pembeni, wajifunze mambo ya msingi yatakayoboresha kazi zao. Ukiangalia hata hizi filamu zetu bado ni za kiwango cha chini na wasanii wetu hawataki kabisa kujifunza na kubadilika.
Tuache yote, kiingereza jamani ni muhimu. Kama ungependa siku moja kufanikiwa katika chochote unachofanya sasa basi ni lazima uwekeze katika kujua kiingereza. Watanzania wote tunajielewa si wazuri sana katika lugha hii, na hii ni kutokana na namna shule zetu zinavyoichukulia lugha ya kiingereza, lakini hii haimaanishi kwamba tuendelee kuzubaa. Tutaenda hivi hadi lini? Tunakosa kujiamini tukikutana na watu wa mataifa mengine kwa sababu tu ya kushindwa kuwasiliana vizuri kwa kiingereza.
Wengi wamesema kiingereza ni lugha yetu ya pili, lakini mi naona kiingereza ni lugha ya pili tukiwa hapa nyumbani, lakini tukitoka nje, kiingereza ni lugha namba moja, ndio lugha yetu ya kuwasiliana na watu wasio wabongo hivyo ni lazima tulielewe hili na tujitahidi kujifunza kwa bidii zote ili tujiamini zaidi. Tusisubiri serikali maana yenyewe inasisita kuamua kuipa kipaumbele lugha hii. Tuchukue hatua sisi wenyewe kwani maisha ni yetu sisi.
Tukiendelea kuzubaa na kujidangaya, wakati na matukio kama haya ya Kanumba yatatuumbua. Tubadilike.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.KWENYE HIZO CLIP MBILI HAKUNA SEHEMU ALIOCHEMSHA KAMA WATU WANAVYOZUNGUMZIA. MIMI NILIJUA UMEWEKA KIPANDE CHA "I AM CLOSING" YANI "AMEFUNGA RAMADHAN" HIKI KIPANDE NDIO SIAMINI KAMA NI KWELI NDIO NILIKUWA NATAKA KUKIONA.LAKINI HIVYO VIWILI HAPO SIONI KOSA LAKE KAJITAHIDI KUTOKANA NA UWEZO WAKE.
ReplyDeletewe matunguli sijui matangalu chukua time shule yes shuleeeeeeeeee na wewe uliyeishia darasa la nne kwani unaona anon wangapi humu ndani hadi ujidai we ndo muamuzi wa hiyo comment ya shule ati nitaje jina kwani unanijua je nikiweka jina fake we ndio mbu mbu mbu mmoja ukanumba unakusumbua kama sio ukihiyo skuli skuli skuli huo ndo wimbo wako wa taifa
ReplyDeletematunguri
ha ha ha wot kynd f a celebrity z he?ukishakuwa supastaa lazima ujue kwenda na huo mzigo wa mwiba...kanumba umetuaibisha,watu wakiwa kwenye mfungo huwa wanasema they r `fasting` but ww mtu mzima ukasema ur `closing`..wot a shyt..
ReplyDeleteDA EBWANA BRO MICHUZI MI NNA MOJA TU LA KUCHANGIA. KAMA KANUMBA ANATUMBUA KUWA NI PROFESSIONAL AACHE KULIA LIA NA AKUBALI ANAPOKESEA YEYE MWENYEWE ANATAMBUA, ATAKAPOKUBALI ANAJIFUNZA. HII ITAKUWA KAMA REHAB (ENGLISH) COURSE. TATIZO KUJIFUNZA MTU ANAONA SOO, UGHAIBUNI WATU WANAENDA SHULE MPAKA UMRI WA MIAKA 60. AACHE KULIALIA WANATANZANIA WANAJALI NDIO MAANA WANAHOJI MOJA AWAOMBE RADHI WATANZANIA AMBAO WANAMUUNGA MKONO MAANA MAELEZO YAKE YA KITOTO. PILI AKUMBUKE HATA WALIOHOJI NI WANAOMUUNGA MKONO. BONGO TUNATAKA UFANISI NA UWAKILISHI WA HALI YA JUU. ASIKONDE BIG UP KANUMBA!
ReplyDeleteThere is no time for sporty sporty (hakuna muda wa mchezo mchezo) ahahaa.
ReplyDeleteNikikumbuka nacheka, nikisahau nalia!?
Sijui hapo ndo mnataka kusema nini.. taratibu wabongo mnakuja kasi. mmelikoroga wenyewe inabidi mnywe.
taratibu.
= = =
Buffalo, (nimekaa Sauzi pia)
New York
mzee wa libeneke kweli nimegundua kuwa watanzania tuna matatizo tena sio kidogo, namsifu kanumba sana tu, kwani lugha kitu gani bwana. mi naishi hapa ujerumani,karibu asilimia 95 ya wajerumani hajui kabisa kuongea kiingeleza, kwa maana hiyo wanajali lugha yao.angekuwa kanumba hajui kiswahili kweli ningemponda lakini english..., what is matter is communication that all nothing more. lakini adivice kwa kanumba sasa amukuwa star hivyo ni muhimu kwa yeye kujua lugha kwani bongo english kozi kibao na pia kwa ghalama nafuu tu. hata hivyo shule, shule, shule, tu.
ReplyDeleteUncle Michu pole kwa kujaribu kuzima moto wa hisia za wananchi. Namshauri kanumba kama anataka kubaki the great atumie watu/wasaidizi kumshauri na kumfanyia kazi zake. Ma-star wote duniana wanatumia consultancy.
ReplyDeletekama yupo tayari tuwasiline nimfanyie editing ya hii page yake wewe mwenyewe soma alichoandika, unaweza kusema I was given Birth ukimaanisha nilizaliwa tarehe...?
http://www.kanumba.com/Biography.html
Kaka michuzi naomba nichukue chance hii kuweka mambo sawa.
ReplyDeleteMoja ni ukweli usio fichika kwamba Ray and Kanumba ni watu kwanza kuhusika kwenye mapinduzi ya filamu. However, let me set a record clear this individual are not super latented compare to others.
Kuhusu kanumba kuchemsha kwenye kingreza. I think he need to learn a lesson and move on. Ushauri ni kujifunza kingereza sababu ni ukweli usio fichika kwamba kipaji chako kinakuwa na labda huko mbeleni unaweza kutamba africa nzima. Sasa kama utamba wakati kingereza chenyewe ni cha BARAKA IS UNDER THE TABLE, then mzazi kazi unayo.
Rekebisha machache, naamini wewe sio Maimuna kiivyo.
Mchumi wa Lafayatte
mwisho wa shule na hivyo vingereza vyenu nini kama si pesa tu na maisha bora...!! sasa wangapi shule na vingereza vyenu vimewapa pesa..wengi jua linawawakia tu na hakuna hata anayegeuka mkipita..Mwacheni Kanumba atasoma baadae atakapoamua yeye si kwa pressure zenu..hajasoma katumia kiswahili na talent anapeta..longo longo tu lazima muwe na uwezo wa kugeuza kiingereza kuwa hela na si kututambia tu humu kwenye blog....kanumba peta mwanangu duniani hakuna mgao wa hela kwa wanaojua kiingereza bali kuna kutumia litlle resources you have to get money and win life..all the best Kanumba...
ReplyDeleteDumisane mad!kwikwiwi longtime faza
ReplyDeleteMufinza
ishu hii haikuanzia hapa kuna kumbukumbu safi tuu hapa kwa michuzi ya mwaka jana tarehe 7 december 2008 wadau peruzini huko mtakuta upuuzi uliyojiri enzi zile unaendelea hadi sasa yani ununda mtupu tena ikibidi tuilete hiyo hoja hapa ili tujadili upya ili mjifunze hayo maigizo yenu vizuri na muache pozi za kijinga za kujidai mko juu kumbe mko kawaida sana wanaowashobokea hawajui nini maana ya movie wamezoea maizo na ngonjera na hakuna mtu anayewaonea wivu mkubali kukosolewa ili mmjue ni wapi pa kurekebisha sio kazi kujifanya wajuaji weee mwishowe ukanumba unawaangusha na kuwaaibisha
ReplyDeletemiss michuzi ukerewe
ENGLISH NIKITU GANI HASA CHA UMUHIMU KIASI KWAMBA KILA MWANA ADAMU WA DUNIA HII ANAPASWA KUA NACHO?WATANZANIA ACHENI UPUUZI ENGLISH NI LUGHA YA TATU YA STEVENKANUMBA,NA NIMEFUATILIA VIZURI TU HAKUNA ALIPOCHEMSHA....KUDADADEKI ZENU,MDAU GREECE
ReplyDeleteMmh, mimi na Kanumba hatuchekani.
ReplyDeleteHivi kwa hapa Dar sehemu gani naweza kupata tuition ya nguvu ya kuongea kiingereza kizuri kabisa na pia nikapata uwezo wa kumsilikiliza mzungu (mmarekani au mwingetreza)na nikamwelewa bila wasiwasi?
Nahitaji msaada katika hilo.
Ningelimsema na kumtuhumu sana kama Kanumba angekuwa anapigwa chenga na Kiswahili, maana hii ndiyo lugha yake ya kuzaliwa.. Lakini kama kashindwa Kiingereza ama Kifaransa hata Kihispania ama Kirusi basi hilo si kosa lake maana lugha ambayo si yako unajifunza siku zote utakuwa mwanafunzi, upuuzi kumcheka anayejifunza.... (dRU)
ReplyDeleteAsante kwa wote mliotoa maoni hapo juu, lakini tujue ya kwamba unapokuwa celebrity lazima uwe na watu pembeni ambao watakuwa wanakupa mawazo, wanakushauri, wanasoma magazeti(mtandaoni pia) na kila kitu wanajadili na baadaye watatuliza mambo au wanakupa ushauri ili ufanye nini. Kanumba naye anaye producer and advisor wake,Mbogela hapo juu obosue nini, ukisoma vizuri katika hiyo webpage uliyoiweka mwishoni Kanumba anawashukuru watu wengi including advisor/adviser, nanukulu “ ----my executive Producer and my Advicer Mr. Mtitu G. Game" kwa mr Mtitu angejaribu kumshauri kanumba kabla ya kanumba mwenyewe kujaribu kutuliza mambo.
ReplyDeleteUkiangalia pande za Ulaya ambako nasikia celebrities ni wengi, wengi wao wanao personal assistants na advisors, sio akina beckham wanasoma magazeti yote na kujibu kila kashfa. Mbona ingekuwa tabu sana.
Kwa ushauri wangu, ni kwamba asikate tamaa, aajiri advisor mzuri ambaye atamshauri nini afanye ili kutatua tatizo dogo au kubwa limpatapo. Ndio hata ukisema akasome English British council, kama hatakuwa na mshauri mzuri, si watu watatafuta kashfa nyingine.
Nimemwonea huruma Kanumba, ni hayo tu.
Mkulima
uncle michu kwenye website yake kunatueleza kama anajua kiingilishi au hajui. hata mimi niliesoma ngumbaru najua was inaenda na ing yeye hajui hilo na hataki kukubali kuwa hajui bado anashikilia msimamo wake wa kusema anaamini kaongea vizuri what a shame!!!! kanumba my brother go back to school kapige msasa kiinglish chako hujui matumizi ya past, future na present tense na ubadilishe hiyo biograph yako inakutia kitanzi iandike kiswahili
ReplyDeleteWow...kweli wabongo hawana dogo. Naelewa brother Michuzi hapendi watu wamseme rafiki yake ila sometimes you just have to take the heat when the truth prevails.
ReplyDeleteKanumba ni kweli mayai hayapandi...basically ni zero, nope, sifuri.
Sasa hapa tusioshe tu vinywa bali tukosoane ili tujue the next step itakuwaje.
Ukweli ni kwamba kwa wale wanaotaka ku-act na kukuza career nje ya Tanzania, they have no choice lazima yai lipande tena vizuri. Holywood and bolywood hawaongei kimatumbi.
Sasa bila kumtetea Kanumba, mimi nafikiri anachotakiwa kufanya sio kujitetea na kujaribu kuonyesha anajua wakati hakuna kitu...mwambie haende english course akajipige msasa wa maana..
Otherwise, acting career yake itaishia Kariakoo
Hi! mr Michuzi!
ReplyDeleteKUWEPO KWA KANUMBA bba NI JAMBO LA KUJIVUNIA SAANA,PIA HONGERA KWAKE KWA HILO NA TAIFA ZIMA...ILA ANAPOSIMAMA KIDEDEA KUUPINGA UKWELI KWA SISI TULIOONA TUNAZIDI KUMUONA NI MJINGA TENA KWA KIWANGO CHA AJABU JAPO KUJUA KIINGLISH SIO KILA KITU BRO...ILA ANYAMAZE KWA HILI NA AFANYIE KAZI YALE ALIYOAMBIWA HAIJALISHI KUWA AANAUMIZWA NA UKWELI SEMA WASEMAJI HAWANA LUGHA OFFICIAL YA KUTUMIA KWA HILI...mE!
lugha nzuri aliitumia kwenye ile clip ya jana kuwa aliongea kulingana na uwezo wake mpaka mwisho..kwani lugha anayoijua si ya kuchati kama pale ndani bali ni ya kuwasiliana na mtu mmoja mmoja tuu....
ReplyDeleteWatanzania acheni hizo!! Ni kweli tujifunze kiingereza lakini tusimshambulie mwenzetu pale anapokosea!
ReplyDeleteLa kushangaza tunarusha madongo wakati hata kiswahili au kiingereza, vyote hatujui. Inakera sana. Hivi ni kiingereza gani tunazungumzia hapa? Mtu umesoma primary zetu (tunazozijua) an kwenda sekondari za kata, na vyuo vyetu ndio hivyo tena, unazungumzia kiingereza kipi?
Angalia haya maneno ambayo watu wameandika wakimlaumu Kanumba, wakati hata wao hawajui hicho kiingereza.
"TZ we still need this language to exhale " akimaanisha "need to excel".
"cerebrity" badala "celebrity"
"more grammer english" akimaanisha sijui nini, labda English grammar.
Tubadilike watanzania !! Kukosolewa ni sawa, lakini kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio, angalia boriti kwako mwenyewe!
mzee wa chumvini, hapo salamu kwako. yule mwehu wa Dubai.. sijui Bepari!?
ReplyDeletena wakina Masaki, Mchaichai, Esmarade na Dogo McZobiZobi!?
wasalimu sana?
Tukirudi kwenye Topic, Bro Mithupu umefanya la molea kuleta vigezo, tunaishi kwenye 'youtube' generation, kila mtu akilipuka amenaswa kwenye luninga.
anyway ni hayo tu. Cafe inafungwa sasa inabidi ni sain out. lol
alwatan.
= = =
Buffalo (DarHotBoards iko huku, lol),
New York
Tatizo la watanzania mnatukuza sana kiingereza. Kumbukeni kujua lugha hiyo siyo kila kitu na bahati mbaya sana wengi manaoongea na kuponda hamjatembea na kuona hao mnaowaita wazungu ni jinsi gani hawapendi kizungu chao. Ukikutana na wazungu mfano wa Ulaya ya mashariki ukiongea kiingereza mbele yake anatamani akimbie maana hata yeye hajui. Achilia mbali hao hakuna watu wasiopenda kiingereza kama wafaransa, na ukikutana nao wanakushawishi ujifunze kifaransa badala ya kiingereza.Nchi kama vile china hata Rais wao hajui kiingereza lkn maendeleo ya nchi hiyo mnayaonaje ama kuyasikiaje??? kana kwamba hiyo haitoshi America ya kusini kuna nchi kama vile Argentina, Brazil, mexico, Ecuador na nyingine nyingi zinazungumza lugha ya kispaniola na unaweza kukutana nao unamuongeresha hicho kiingereza ambacho ww mtanzania unakiona cha maana anakutizama kwa dharau na kuondoka. Mfano mwingine Marekani wanatumia Lugha mbili hicho kiingereza na kispaniola hata kama utaenda madukani unaulizwa kama unaongea spanisha ama kiinegereza. Huu ushamba wa vichwa vyetu kudhamini kiingereza badal ya lugha yetu ndiyo inatufanya tukimbize watoto wetu shule za kenya kwa kuamini wanafundusha vizuri kumbe kipimo kinakuwa ni mtoto kuongea kiingereza, kitu ambacho siyo sahihi. Tafadhali ukoloni mambo leo ni pamoja na kutukuza cha mwenzio wakati chako unaacha kinakufa. Kwanza Kanumba namsifu kwa hatua aliyofikia anajitahi anajua hata Lugha zaidi ya moja, Lugha yake ya asili, kiswahili, na kiingereza. Hao waiingereza wenyewe Lugha yao ni kiingera tuu!1 NANI MKALI KATI YAO NA KANUMBA??? KAMA NI MAWASILIANO ANAWEZA TAFUTA HATA MKALIMANI AMSAIDIA ILI MRADI ANA PESSA ZA KUMLIPA.
ReplyDeleteWasomjua msomi Kanumba kafika mpaka mlimani eti mnasema hajamaliza hata STD 7 nyieeee!Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba. I was given birth on january 8th 1984. I originate from Shinyanga region in Tanzania. I am Sukuma by Tribe. I completed my Primary Education in Bugoyi Primary School in Shinyanga. After Completing my primary education i started my secondary education right away in Mwadui Seminary Secondary School in shinyanga where by i shifted to Dar-es-salaam Christian Seminary Secondary school here in Dar-es-salaam when i was still in form II and complete my O-Level Education there. Thereafter i moved to Jitegemee Sec. School to complete my A. Level Education.
ReplyDelete"...they were begging to my costume..""kwii!!kwii!! haya Kanumba "the Great" mie nakushauri tu uende ukasome kakozi ka kiingereza na uache kuigiza kuongea kwa lafudhi ya wapopo "Wanigeria" maana naona tangu uigize nao ile movie ya Dar to Lagos basi na accent yako imebadilika kabisa heeeei!!!
ReplyDeleteNow i'm Shooting the movie"The story of my life", thereafter "SHAUKU" and "HEROES OF THE CHURCH". All of them directed by aNIgerian Director Femi Ogedegbe from Nollywood.
ReplyDeleteDon`t forget BBA kwenye new movie is very important bwa Steve!
WADAU SAMAHANI KWA KUCHELEWA KUCHANGIA. WAKULAUMIWA KATIKA LUGHA NI MH. RAIS WA KWANZA TANZANIA. NA TUKUBALI UKWELI KIINGEREZA IWE LUGHA RASMI KUPITA KISWAHILI KWANI TUSIJIDANGANYE ETI JAPAN, GERMAN, FRANCE NO HATUJAFIKA KIWANGO HICHO. HATA CHINA WANAJIFUNZA KIINGEREZA NA WAINGEREZA WANAJIFUNZA KICHINA. TUACHE POLITICS KUJUA LUGHA NYINGI NA DEAL KATIKA DUNIA YA LEO.
ReplyDeleteKANUMBA KANUMBA KANUMBA KANUMBA, LUGHA LUGHA LUGHA LUGHA, HAYA SASA BASI JAMANI TUMESIKIA KANUMBA HAJUI LUGHA. CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA MIMI NINAYEANDIKA HAPA NASOMA MASTERS BRAZIL MAPROFESSOR KIBAO WANAONIFUNDISHA HATA MIMI TANZANIA NAONGEA VIZURI. ILA SASA KWA UPANDE WA KANUMBA NI KWAMBA KAMA HUJUI HUJUI, ILA SIO UNAULIZWA UNAJIBU ETI "AM CLOSING" HICHO SIO KINGEREZA NI SAWA NA MTU KUSEMA "NILIKUJA NIKAKUKUTA HAUPO" KAMA HUJUI NYAMAZA SIO KUONGEA AU IS BETTER TO SAY SOORY MEANS HUKUELEWA SWALI TUSIONE AIBU KAMA HUJUI KINGEREZA JAMANI SIO LUGHA YETU. wA DENMARK WANAKUA BONGO KWENYE MIRADI KUFANYA KAZI NA WA TZ LAKINI HAWAJUI KING WANACHANGANYA KIDENMARK NA KING WAPI NA WAPI. KANUMBA MWENYEWE ANGECHANGANYA KISW ILI KUONEKANA YUKO JUU THEN WAKIMUULIZA WAT DO YOU MEAN? HAPO ANAKUWA AMESHAKUMBUKA KING. TATIZO WABONGO SIO KWAMBA HATUJUI ILA SOMETIMES TUNASAHAU KUTUMIA NENO SABABU TUMEZOEA KISWAHILI. ILA UKIPEWA MUDA UNAKUMBUKA HAPA NATAKIWA KUSEMA " AM FASTING" SIO CLOSE, ILA YOTE KUMI MIMI SIKUONA HIZO CLIPS HIVI NI KWELI MBONA KAMA SIAMINI KAMA FORM SIX ANAWEZA KUONGEA HICHO KING CHA NAMNA HIYO. KAMA NI HIVYO BASI KANUMBA HATAKIWI KUTETEWA, ANGEKUWA DARASA LA SABA YES TUNGEMTETEA, BUT FORM SIX UNASEMA AM CLOSING. SHAME ON HIM.
ReplyDeleteKanumba alisema:" the real life is it"...hiyo siyo broken??? anyways i dnt care abt language coz English is so complicated.
ReplyDeletewell! i jst want him to learn other cultures, as a celebrity when u go smwhere u have to know their customs and traditions. Nxt time wkt anatoa zawadi inabidi angalie.
A pink color is for ladies especially little girls and gays. Just check the reaction of the participants after receiving a shirt, they just cnt talk about it since are in the competition.
I am not so much concerned about the language, Kanumba dont worry so much about the English language. We have our own language Kiswahili.
Nyie celebrities ndio mnafaa mkitangaze, Kiswahili kinakua sasa. na wakenya wanataka kutuibia.
But naomba kafanye marekebisho katika ile website yako "www.kanumba.com". andika tu kiswahili, kwasababu English umechapia saaaanaaaa tu. hata mtoto wa grade five hawezi kuandika hivyo. use ur strong side, if u thnk ur weak in smthng never use it. tumia tu Kiswahili.
Kanumba ni smart, ur a good actor. Nobody is perfect. Kila mtu amegewa hiki na amenyimwa hiki. but wote tujitahidi kujifunza.
Mbona Saida Karoli watu walikuwa hawamshambulii sana? u knw why? she was using her strong side. so ongea English hata kwa kuchapia, poa tu usijali. hata wazungu huku nasoma nao wanachapia.
Mzungu mmarekani, hawezi kusema "she doesnt", anasema "she dont"...wachache ndio wanasema "she doesnt"...well! ktk lile jumba la BBA, nimesikia participants kadhaa wakichapia kama wa Mozambique wkt anatoa speech ya revolution.
So english itself is complicated...be strong Kanumba, but better use swahili in writting. talk in english bt write in swahili. u knw talk is cheap bt writting unajitafutia balaa kama balaa uliyojitafutia ktk website yako. Rudi uandike upya tena kwa kiswahili
Nyie wabongo mmezidi ushamba sana. Yaani mtu kuongea kiingereza ndio mnaona ameendelea au ameukata? Hii yote bado ni sumu ya utumwa na ukoloni ndio inawawasha. Mbona wazungu hawaoni ufahari wowote kuongea lugha za kiafrika? Mbona wengi tu wanaoongea kiingereza hawajulikani na wengine wako mashambani wanasota miguu peku? Ni ushamba, utumwa na wivu wa kijinga. Elimikeni kwani elimu sio kuongea kiingereza….
ReplyDeleteasante Kanumba kwa kutupa wengine week ya kicheko maanake majibu yako kama ni ya kweli basi wengine hapa mbavu hatuna.
ReplyDeleteHow can you say, I'm closing au I will open in the evening? or I dont have time for sporty sporty? Na ile itverview yako uliposema wanakuambia umevaa top badala ya shati, I'm sorry I cant help it but just laugh!
Hii ni siku ya huzuni na furaha kwa walimu TZ, huzuni kwa kuonyesha matunda mabaya ya kazi zao na furaha to have a reference point.
JAMANI ACHENI KANUMBA AAMBIWE UKWELI, ACHENI KUMSUGAR COAT WAKATI ANAHITAJI AJIENDELEZE TENA KWA FAIDA YAKE. BRITISH COUNCIL WANAFANYA KAZI NZURI TU YA KUSAIDIA WATU NA ENGLISH COURSES TENA JIONI MUDA AMBAO NI CONVINIENT KWA WATU WENGI NA SI KANUMBA TU.MFANO MZURI NI TEDDY KALONGA ALIKUWA MMBOVU WA LUGHA KANUMBA AFADHALI LAKINI ALIANZA KIDOGOKIDOGO NA SASA YUKO MBALI. LET TRUTH BE TOLD ALWAYS WATANZANIA TUMEZIDI KUSIFIANA UONGO UONGO.
ReplyDeleteAfadhali hata yeye, kuna wale waliokwenda zile "International school za kanyaboya wakiongea ni aibu tupu. Kuna wengine wanaishi kwenye nchi zinazotumia inglishi na wao pia wakiongea ni aibu tupu.
ReplyDeleteHabari ni kwamba elimu ya Tanzania inamsaidia mtu kujibu maswali ya mitihani tuu.
Namshukuru Kanumba kwa kusikiliza maoni ya wadau, kaifunga page yake nadhani anaifanyia kazi mara moja, kwa mtindo huu nategemea kukutana naye pale british council wiki ijayo kujifunza, I am Kanumba, I am 25 year Old, I was born in Shinyanga, and last week I travelled to J'burg, khaaa! Karibu kaka Tupo wengi huku British Council
ReplyDeleteMichuzi please naomba utoe hii ambayo ni Kanumba bio. Halafu semeni wenyewe au yeye aeleze kama anajua umombo au hapana.
ReplyDelete"Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba. I was given birth on january 8th 1984. I originate from Shinyanga region in Tanzania. I am Sukuma by Tribe. I completed my Primary Education in Bugoyi Primary School in Shinyanga. After Completing my primary education i started my secondary education right away in Mwadui Seminary Secondary School in shinyanga where by i shifted to Dar-es-salaam Christian Seminary Secondary school here in Dar-es-salaam when i was still in form II and complete my O-Level Education there. Thereafter i moved to Jitegemee Sec. School to complete my A. Level Education.
Growing up, acting has always been something that i really liked to do. Apart from that i also liked singing and that made me grave to be an artist while i was still in teens, still in school ie. i started acting in church a lot of people told me i had a talent so i decided to join Kaole Sanaa Group which delt with Acting. After joining Kaole Sanaa Group i met different Teachers from Bagamoyo and other College who helped me to build up my career of Acting for a period of 1 year, after that i got a special Training from University of Dar es salaam Under Doctor Nyoni for about 3 months therefore i was sure to go to work and indulge myself in Soap Operas/Series. i then took acting as my career. Little by little i got to win peoples' attention which made me work even harder and become successful.
After all the hard work that i kept in series i decided to play a part in movies so i took a step forward and associate myself in film industry. i happen to do a lot of movies that did very well in the market and i'm still doing movies up today and it just get better day by day. in addition to this i archieved a lot through my hard work that is prestigious awards, travel across different countries, working with people from different part of the world meeting different people and learn new things and experiencing different life.
I also got to get to work with Nollywood in Nigeria where by i did more than five movies with famous actors from Nolllywood, it was the wonderfull experience. I also got a chance to Visit The United States of America and there is where i got the experience of a lifetime i got visit Hollywood, Warner Bros Pictures, Universal Studios and Disney Land, i learnt a lot i met people who work there so i got to ask alot of Quaestions and gained a lot of knowledge.
Speaking about me as Steven Kanumba i'm a very down to earthguy i like hanging out with my friends and i like to associates myself with people, i love children with all my life, i'm just a simple guy, i'm not outgoing a lot, i love going to movies and just be chilled out and relaxed places. I'm not married for the time being but i am in a commitment in the name of God i hope that one day we will get married.
I would like to end with my most sincerly appreciation, first and foremost i would like to thank God Almighty for giving and Blessing me a beautiful talent cause apart from acting being my Job, it also happen to be something i love doing and when i am at it i do it with passion. I would also like to thank my whole family but special appreciation goes to the most beautiful woman in the whole world that happened to be my mother (I Love you Mom) would also like to thank Game 1st Quality Tanzania Limited and again special thank to my brother, my executive Producer and my Advicer Mr. Mtitu G. Game and His Wife. I Would like to thank all the Artist, Producers and Directors i have worked with. Also my special Thanks to my sister Sharifa Kalala in USA and Sanura Hussein in Denmark. Most Importantly, i would lastly like to thank all my fans from different part of the world, thank you all very much for supporting me, I LOVE YOU all and God bless you.
Nshimimana aka Dumisane umeacha kuiba majina ya watu na kurudia jina lako sio. Lakini unatafutwa bado, ngoja dawa yako ipo jikoni
ReplyDeleteohhhhhh...ndugu zangu mimi nilifikiri jamaa anashambuliwa tu kwasababu wabongo ni waosha vinywa ila kusema ukweli Kanumba ingilishi is completely noti richabo...
ReplyDeleteBila kuleta umbea si mnaita kuosha vinywa nenda kwenye website yake mcheck jinsi alivyochapia....
Nina wasiwasi huyu mtu hana washauri wazuri kwani, I can't imagine someone would post such broken english online...
I understand the debate over the importance of english and its relevance to our daily lives as wabongo is valid and fair...but that doesn't discount the fact that this young man is struggling to communicate in a proper english.
bwana if it is someone to represent the coutry we have got beter than that bwana i was realy pissed off kweli kumuona huyo jamaa ndo amechaguliwa.jamaa yuko so fake you can even se him in his movies yaani yuko fake kiasi kwamba ina nauseate kweli.okay lakini hipefully we wil get someone good jumapili!!.MAY GOD BLESS TANZANIA
ReplyDeletemaji ndo yashamwagika...nadhani hata hao jamaa waliobaki BBA watakuwa wanaosha vinywa tu kwa saaana kuhusu huyo Mhe: Kanumba..kama hiyo historia fupi ya maisha yake kaiandika HIVYO KWELI basi hata huyo mshauri wake naye atakuwa KIHIYO PIA..
ReplyDeleteaniweiz,hakuna age limit ktk kujifunza hivyo yeye na huyo mshauri wake bado wana nafasi kubwa tu ya kurekebisha mambo ya mbeleni..
sijaona clips zaidi za huko BBA kuweza kusema kwamba "kaaibisha",lakini kwa hiyo biography yake hapo naweza kusema "AMEJIAIBISHA".next time aandike kwa kiswahili tu itatosha.
Kanumba what you think you are?, you are just normal personal like any one else,you are nothing man. People are strungle to looking a food to feed their mouth you want people to be proud of you just because you are in big brother.Get realy man that is reality. Life is not only watch you,is more than that, what about people in hospitals? people are not thinking them?, people are suffer all over the world by hunger, by floods,by nature disaster but they are not complain any thing,for me you is nothing get real. LONDON
ReplyDeleteBESIDE KWAMBA KANUMBA ANAHITAJI HASA KUJIFUNZA LUGHA HII YA KIMATAIFA ILI AWEZE KUIMUDU, PIA NIMEONA KUWA ANATATIZO LA UFAHAMU AMBALO NDIYO INAMTENGANISHA UKWELI HALISI KWAMBA ANAHITAJI SHULE AMBAYO SI YA KUGHA PEKEE BALI PIA YA KUMJENGEA UFAHAMU.
ReplyDeleteUKIFUATILIA CLIPS AMBAZO ZIPO HAPA UTAGUNDUA KUWA KANUMBA ANAHITAJI KUJIFUNZA ELIMU YA MAARIFA ILI AWEZE KUWA NA UWEZO WA KUFIKIRI KWA MAKINI NA PIA KUJENGA HOJA ZENYE UZITO NA MANTIKI. SIJUI ELIMU YAKE NI YA KIWANGO GANI LAKINI KAMA ATAJITAHIDI AJIWEKE KATIKA MCHAKATO WA KUTAFUTA ELIMU YA COLLEGE.
WE NEED MWAKILISHI WA WATANZANIA AWE NI MTU MAHIRI KATIKA KATIKA NYANJA ZOTE TUKIANZIA NA MAWASILIANO (LUGHA), UFAHAMU, ELIMU YA KUTOSHA.
SI VEMA WATANZANIA TUKAWAKILISHWA NA MWAKILISHI DHAIFU KWANI ANAONESHA KUWA WATANZANIA WOTE NDIVYO WALIVYO.
BBA INATUMIA LUGHA YA KIINGEREZA, BASI TULITAKIWA TUWAKILISHWE NA MTU AMBAYE ANAMUDU KUJIELEZA NA KUIFAHAMU LUGHA HIYO NA SI VINGINEVYO.
KWA VILE MALENGO YA BBA MENGINE HATUYAJUI INAWEZEKANA PIA HILI LA KUPELEKA MBUMBUMBU KUTOKA TANZANIA LILIPANGWA KWA AJILI YA KUTUDHALILISHA.
KWENDA BBA SI KOSA LAKO KANUMBA NI KOSA LA MULTICHOICE AMBAO NDIYO WALITAKA KUIONESHA DUNIA KUWA WATANZANIA NDIYO HAWA.
Nilisoma kwa umakini kabisa sakata la kanumba nilichodadisi ni kuwa watanzania walio wengi sasa tunavuliwa utanzania wetu na utamaduni wetu.
ReplyDeleteKiswahili ni lugha yetu tunayotakiwa kujivunia kuiongea. Mtambue kuwa kiingereza si lugha yetu, ni ya kurithi tu, wote mnaoponda, mlikuwa mnaongea kimatumbi na lugha nyingine kwa asilima kubwa, Hivyo basi sioni haja ya mtu kuponda, tunatia aibu, mzungu akichapia kiswasili watu hawapondi na ha mtanzania akichapia kiswahili ni sawa tu, lakini ni aibu kwa mtanzania kuchapia kiingereza.
Angalizo:
Kanumba tulio na upeo wa kuelewa maana ya lugha na njinsi lughu inavyokuwa ndani mtu binafsi tupo nyuma yako, tunatambua kuwa kiingereza si lugha yako ya kwanza, hivyo hupaswi kubabaika nayo.
Lakini pia ulipaswa kuonea kiswahili ili waweke mkalimani wa kiswahili.
Tujivunie uswahili wetu na hata mkiwa kwenye vikao vya kimataifa si umaarufu kuongea kiingereza, ungeeni kimatumbi waweke mkalimani, kwa kufanya hivyo tunakuza lugha yetu.
Viva Kanumba Viva.
Mimi ninaona Kayumba anatakiwa ajifunze kuongea English sawa sawa.Tanzania kwa ujumla sasa hatuna walimu wazuri wa kufundisha lugha ya kiingeraza.
ReplyDelete