siku kumi za mwisho za Ramadhaan zina fadhila khaswa na kubwa kuliko siku zozote nyingine ambazo Muislamu inampasa aongeze twa'aa na vitendo vya ibada kama kuswali, kufanya dhikr na kusoma Qur-aan.
Kuendele kusoma mawaidha haya:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. WAJAMENI HIYO NI ACCENT NDO IKO VERY THICK . ILA KAJITAHIDI KIBONGOBONGO, ACHENI UFALA WA KUMPIGA MAWWE KAMA KAFUMANIWA, MWE WABONGO MLIVYOKUA MNALALAMIKA HIVYOOOOOO , MI NILIDHANI HAJUI KABISAAA HAWAELEWANI NA WENZAKE MBONA SI HAO WAMEMUELEWA KASEMA NINI?

    ReplyDelete
  2. asante tutajitahidi Allah ndio anajua kila kitu

    ReplyDelete
  3. Asaalam aleykum
    Kwanza naona kuwa huyo jamaa hapo juu kapotea njia
    Pili naomba kuwajulisha wadau kuwa kwa tabia za blog na email utumizi wa harufu kubwa moja kwa moja ni jambo la kukera maana yake ni kuwa wapiga kelele,YOU ARE SHOUTING, its not a law set in stone but an accepted etiquette,ofisini ukipeleka email in upper case, watafuta kutupwa pakachani.
    Turudie habari za Laylatul Kadri
    Hakika huu ni muda mtukufu sana kwa binadam wote na sio waislam tu au waliofunga tu. Wakati huu ni wa kufunga account yako na aliyekuumba, muombe msamaha na muombe akuongoze na inshallah utafanikiwa
    Ramadhan mubarak
    wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...