Mtalii na mtafsiri wake hotelini
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have
Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here
Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao. Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home. Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.
Mtafsiri: Lets get out of here, I think this man is crazy, he want to call the police!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hii imeniacha bila mbavu

    ReplyDelete
  2. haichekeshi kabisa

    ReplyDelete
  3. not funny at all? kwanza pronunciation ya snacks sio snake

    ReplyDelete
  4. Ebwana we umenichekesha sana leo nikamuita mme wangu na kumsomea nae kacheka mbaya na watoto nao wamesogea basi nyumba nzima hatuna mbavu inaonekana wewe ni mtundu sana ningependa tena siku nyingine utu letee kali kama hii

    ReplyDelete
  5. MWANALIBENEKESeptember 04, 2009

    HAHAH HAHAHA HAHAHHA HAHA AHAHAHA HHAHAHAA........................................................


    HUYU MTAFSIRI ANAFAA SANA

    ReplyDelete
  6. Nyongeza:

    Mtalii: Do you have eggplant soup?
    Mkalimani: Je, kuna supu ya mmea wa mayai?

    ReplyDelete
  7. nimecheka sana kwani hata mie yashanikuta, nilitoka sweden na mme wangu kuja TZ. shemeji yangu akwamwambie mmme wangu kwuwa he was so happy to see him and you know your wife she is Big wife(mke mkubwa) to me as well,wakati mie ni mwembamba sana mme wangu alishangaa akawa ananiangalia mara2 likini hakuelewa, then baadae nikamweleshe mambo yakaishe but was funny

    ReplyDelete
  8. duh!inaelekea huko nyuma utundu wako ulikuwa mkubwa sana na wengi huenda walikuwa wana kulala mikia sana tu kwa utundu wako!ila badaye utapungua tu ukipata majukumu!hehehe so funny!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...