Wadau tazameni jinsi Mungu alivyo mkubwa kwa kubofya katika link ya hapo chini, muone jinsi alivyomuokoa Mtoto wa Nyati asiweze kuliwa na kundi la Simba.
Haya ni kati ya maajabu meengi yanayotokea huko Mbugani. Watanzania Tujenge mazoea ya kutembelea Mbuga zetu, kuna mengi huko ya kujionea na mengi ya kujifunza pia.
Nawasilisha.
BY Mdau Groningen,
Uholanzi.
Hakuna kinachoonekana hapa.Kuna mtu kachemsha.
ReplyDeleteHIYO NI SAHIHI KABISA. UNAWEZA KUIPATA KWENYE KISIMA CHANGU CHA MWAWAZO MAKALA ISEMAYO KAMA DAKTARI ANAPONYA KWANINI NAYE AFA?? ( IF DR HEALS WHY DO THEY HAVE TO DIE )http://www.answerbag.com/q_view/467309
ReplyDeleteSIKU YAKO YA KUFA DR HAWEZI KUFANYA KITU HATA HIVYO HASTAILI KUJILAUMU KWAMBA HAKUFANYA ILI AU LILE. NA KAMA SIO SIKU YAKO UTAONA MTU ANAJITITTUA MOCHUARI
mdau wa uholanzi tuwasiliane niwekee namba yako hapo mimi nipo mitaa hiyohiyo
ReplyDeletemdau umechemsha link hujaiweka vizuri inatupeleka kwenye youtube yote na sio video husika nextime jifunze kutuma link....mdau mwingine wa uholanzi nawakilisha. alafu kaka michuzi nimekualika futari ijumaa hujafika basi nakualika pilau ya eid
ReplyDeletehuyo madau kachemsha labda clip yenyewe ni hii hapa
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=r8ZHJZFIAAg
Jaribuni hii pia inaonyesha mtoto wa nyati akisulubiwa na simba wengi hatimae mama yake anamuokoa.
Search topic hii The escape of the baby Buffalo
ReplyDeletekidhungu janga la taifaa...If dr heals why do they have to die...changanya wingi na umoja katika sentensi moja ouch.....
ReplyDeleteThanks, mimi nimefungua na nimeona video na sauti imesikia, inasikitisha maisha ya porini si mchezo, Mungu kamsaidia baby Nyati.
ReplyDeleteTHANKS MDAU ACHANA NA HAO WAZUSHI.