UNAWEZA KUFUATILIA MAZUNGUMZO
YA JK NA WANANCHI KUPITIA
RADIO MARIA
LINK NI
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nilikuwa sijawahi kumsikia jk akiongea lakini sasa nimemsikia na kutokana na uzoefu wangu wa kutambua mambo, ni kwamba jk ni mswahili saaaaana na hakuna lolote la maana litakalozungumzwa kwenye kikao hicho.
ReplyDeletekwa kweli mjomba anavyojibu maswali ananisikitisha sana totally yupo nje ya reli,mbona hajibu maswali jamani?hii interview angeconduct larry king, TIDO ameshindwa kucontrol interview kbs au anamuogopa?
ReplyDeleteasante sana michuzi nipo nje lkn nimeipata interview,thank you michu,thank you michu,thank you michu,thank you michu..
---------KAMPENI, KAMPENI, KAMPENI, KAMPENI, KAMPENI ZA UCHAGUZI ZIMESHA ANZA, JK HACHA HIZOOOOOOOOOOOOOO. HAUJAZUNGUMZA NA WANANCHI KAMA RAIS WA NCHI BALI UMEZUNGUMZA NA WATANZANIA KWA KUWAOMBA KURA YA 2010 AHAAAAAHAAAAAA----------------------------------
ReplyDeleteDah, mi nimeikosa wajameni. Please post clip anko Michu kama utakuwa nayo!
ReplyDeleteHEH INANIFURAHISHA SANA KWA UPEO WANGU HII NI KAMPENI KUELEKEA MWAKA 2010 HAKUNA JIPYA HAPA NDUGU ZANGU WATANZANIA, KERO ZA WANANCHI ZINAJULIKANA TANGU MIAKA AROBAINI ILIYOPITA.RAISI ALIKUWA WAPI SIKU ZOTE MPAKA KUIBUKIA SASA KAMA SIO KAMPENI BAADA YA HALI YA HEWA KUCHAFUKA.HATA LEO HII UKUMUHULIZA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ATAKUTAJIA KERO YAKE. KAMA CHAMA FULANI KINATAKA KWELI KULETA MAISHA BORA NI KUACHA SIASA ZA KUKUMBATIANA,IYO NDO SUMU YAO KUBWA.UTAMADUNI WAKULINDANA NDIO UNASABABISHA WATENDAJI KULALA,KURA RUSHWA N.K.NA MWISHO KABISA SIWEZI KUTOFAUTISHA HILI TUKIO NA KAMPENI.
ReplyDeleteNAOMBA BWANA MICHUZI USINIBANIE MAONI YANGU.