President Jakaya Mrisho Kikwete cuts the tape to officially open Jambo Spinning Mill in Usa river, Arumeru district, today. On his right is Jambo Spinning Mill Director General who is also Meatu member of parliament Hon.Salum Khamis Salum.
President Jakaya Mrisho Kikwete holds a cotton fibre produced at Jambo Spinning mill.Left is Jambo Spinning mill Director General Salum Khamis Salum.




Jambo Spinning Mill director General Salum Khamis Salum leads president Jakaya Mrisho Kikwete in an inspection tour of the factory.
Jambo Spinning Mill director General Salum Khamis Salum leads president Jakaya Mrisho Kikwete in an inspection tour of the factory.Photos by Freddy Maro.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. mheshimiwa rais, unaonaje ukifuta cheo cha waziri wa viwanda?

    ReplyDelete
  2. WAHUSIKA WAMFAHAMISHE RAIS NAMNA YA UVAAJI WA DUST MASK. PLEASE!

    ReplyDelete
  3. Kazi kweli kweli Director General na Ubunge. Mkapa akiwekeza kwenye Makaa ya mawe mnachonga, Nyerere aliposema chagua moja kati ya siasa na ufanyabiashara - mkachongaau wakachonga vile vile ooh alikuwa mjamaa.

    Kesi ya ngedere na tumbiri hakimu nyani, haki ya mnyonge nani ataitetea?

    code of ethics, conduct za wanasiasa wa tz ni zipi? jamani anayezijua anihabarishe.

    ReplyDelete
  4. Hiki ni kiwanda cha CCM nini? Mbona kila kitu cha kijani hata huo utepe why green and yellow? inamaana sisi Chadema haturuhusiwi tumia bidhaa zake.

    ReplyDelete
  5. Siku hizi kila mfanya biashara ni Mbunge pia kweli sikio la kufa haliskii dawa! Kulikoni huko Bungeni kunani?

    ReplyDelete
  6. Anony wa kwanza Umenena

    ReplyDelete
  7. Hizo dust masks zilipwelea? Mbona wengine hawakupewa? Au wao ni DUST PROOF?

    ReplyDelete
  8. Jamani kweli hiki cheo cha waziri wa viwanda kinatia shaka. Sasa kama waziri mwenyewe mwenye dhamana ya viwanda hajui kanuni za afya na usalama kazini(O.H.S) atahakikisha vipi kama huko viwandani afya na usalama ipo poa? Nasema hivi maana huo mraba wa njano unamaanisha hutakiwi kuuvuka kuikaribia mashine, lakini muangalie yeye anakopita. Kazi kweli kweli, japo raisi kasema uwaziri hausomewi angetafuta basi japo mtu mwenye japo ABC kuhusu wizara anayopewa. Nakumbuka kuna waziri wetu mmoja wa elimu aliwahi kuulizwa swali na mwanafunzi kule Iringa akajibu kuwa ``Mimi sina utaalam na masuala ya elimu, nitawauliza wenzangu``. Mambo ndio yaleyaleeeeeeh!

    ReplyDelete
  9. Waswahili bwana mna matatizo sana, nyie kwenu hakuna lolote jema la kusifia. Sasa hata kama ni mbunge au rais, huyu mtu kapambana kajenga kiwanda. Hata kama ameiba, kama angepeleka hela Swiss si ndo ingekuwa balaa zaidi. Sasa kajenga kiwanda, kaajiri ndugu zetu, ananunua pamba na makorokoro mengine, you cant imagine the indirect employment ambayo hicho kiwanda kinaleta hapa Tanzania. Kazi kuponda tu. Tafadhalini jaribuni kuangalia mambo kiundani na sio kishabiki tu.
    Tunawahitaji watu kama hawa Tanzania, na rais kutembelea kwenye ufunguzi ni kuonyesha how important huyu jamaa alichofanya kwenye uchumi wa Tanzania.
    Au mnataka awe mzungu ndo kafungua ndo mfurahi??? Mswahili mwenzenu basi awe anaajiriwa tu na kuwa mtumwa siku zote????

    ReplyDelete
  10. WAWEKEZAJI HAWA WANAJIDAI KUWA WAO NI CCM DAMUDAMU ILI WASAMEHEWE KODI TU KAMA ILIVYO KWA WALIOWATANGULIA NA WATASAMEHEWA, TANZANIA POA.

    ReplyDelete
  11. conflict of interest


    poor third world

    ReplyDelete
  12. Kwa nchi zilizoendelea, hii kitu ya kuwa na vyeo viwili haipo. Alitakiwa au kuachia cheo cha Director General wa hicho kiwanda na kubaki na ubunge wake ili kuhudumia wananchi. Au kujiuzulu ubunge na kuendelea na kampuni yake.
    Conflict of interest hapa ni kubwa mno, na sioni yeye kama msomi kwa nini bado atake itu viwili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...