Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Malaria Bwana Ray Chambers mara baada ya kufanya mazungumzo jijini New York Marekani leo jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mie nachanganyikiwa sana mapigo ya pamba za mh JK and i think the butler got to be fired.

    ReplyDelete
  2. Mr. President, please leave sweater and sport coats to others who don't have your title. Don't try to be casual while the event doesn't call for it.

    ReplyDelete
  3. hii protocol ya kuvaa fulanaz za ngazingazi imetoka wapi?

    ReplyDelete
  4. Duuuuuuh utafikiri mkongoman si mchezo.

    ReplyDelete
  5. Ndio mzee naona Muheshimiwa akipiga picha na wazungu kila kukicha!!Nyumbani huku hata usimamizi wa kupanda miti tu unamshinda..lakini yupo tayali kulaumu wazungu wanaharibu mazingira,ili asikike kasema,migari mibovo inatembea mimoshi jiji zima linanuka..yeye anasubiri miaka yake iishe atafune kiinuwa mgongo.tumekwama wapi sisi jamani.

    ReplyDelete
  6. jamani hiyo dress code ya jk hapana..

    ReplyDelete
  7. protocal ya fulana za ngazi ngazi zimetokea kwa m michudhi

    ReplyDelete
  8. jamani kaa na nyie mmezidi. Kwani ze fulanaz ina kosa gani. mbona huyo mzungu hiyo tai naye kachomekea. Kwani utavaeje shati nyeupe na tai madoamadoa kama hayo. nadhani ilikuwa baridi sana ndo maana kavaa hiyo sweta.
    P.E.D

    ReplyDelete
  9. Is New York cold enough to wear sweater already?

    ReplyDelete
  10. Bado anaaga? Wezake wameshafika home na kuattend michezo ya shule ya watoto wao....Come home we need you

    ReplyDelete
  11. MIKUTANO HII HAITASAIDIA KUUA MAZALIO YA MBU TANZANIA NA HIVYO VYANDARUA SI UFUMBUZI WA KUTOKOMEZA MALARIA BALI NI BIASHARA KWA WALIONEEMEKA WAKISHIRIKIANA NA VIONGOZI KUKWAMISHA MAANGAMIZO YA MAZALIO YA MBU ILI VYANDARUA VYAO VISIVYO NA UBORA WOWOTE VINUNULIKE. UJANJA WANAOTUMIA NI KUDAI KUWA VIMEWEKEWA DAWA INAYODUMU MIAKA MITANO, WAKATI CHANDARUA CHENYEWE HUDUMU MIEZI MIWILI TUU.

    ReplyDelete
  12. hahahaaaaa tih tih tih

    sina mbavu...ze fulanazzz

    ReplyDelete
  13. hivi mjomba wetu kifua kikubwa nafanya mazoezi??

    ReplyDelete
  14. hv mjomba wetu anafanya mazoezi ya kubeba vitu vizito kifua kikubwa??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...