Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Masoud kipanya hii kali nimeipenda!!
    Ila sasa Kaka naomba yule wa ubavu wangu mtarajiwa umuache kaka, we si una mke tayari inakuwaje tunataka kuzibiana riziki?? mi nikiibuka kwa mai waifu wako utajisikiaje kaka?? nitashukuru kama utakuwa umenielewa na kuheshimu hili kaka.
    ahsante.
    ni mimi nadhani unanifahamu au utakuwa umesimuliwa.

    ReplyDelete
  2. That cartoon is so apt, job well done!!

    Mdau wa Juu

    ReplyDelete
  3. Bonge la meseji. Mshikaji hana ligasi.

    ReplyDelete
  4. KP wewe ni msanii!! hongera sana

    ReplyDelete
  5. Udini jamani. Udini jamaniiiii unatumaliza. Chakusikitisha hao maaskofu na mashehe wanatumia kila nguvu walizonazo kuutetea udini. Waraka, Ilani za nini nyinyi maaskofu na mashehe? Kama ni ufisadi kwa maaskofu na mashehe umekita mizizi. sasa huu uchonganishi wa nini jamaniiiiii? Mnatupeleka pabaya sasa. JK kawanyamazia sijui kwa nini. Labda anajipanga kuwajibu. Nawasihi acheni hizo ilani na waraka. Na kama mnaendelea kuzilinda basi anzisheni vyama vya siasa. Navyo vikiwa vya udini sidhani kama vitasajiliwa. MSIIWEKE NCHI KATIKA HALI MBAYA. IMETOSHA. Kingunge kakemea mmemuita mkominist. IMETOSHA.

    ReplyDelete
  6. Masood good job. Ila nasikitika sana kwamba yawezeka JK hakuelewi. Na kama anakuelewa ni kwakuwa anafurahia picha yake uliyochorwa kwa mkono,vinginevyo natamani angepata mtu wakumfafanualia ujumbe mzito uliopo ndani ya "katoon" hiyo. Vinginevyo uwe unamtumia nakala na badala ya "Salve Rweyemamu" kuwa anapunga hewa bureeeeepele Ikulu! alitakiwa kuwa anamfafanulia machache. Big up masood lakini "wacha ukora usipende maiwaifu za watu"

    ReplyDelete
  7. SIKU ZOTE MASOUD AMEKUWA AKIMFAGILIA HANDSOME,ILA SAFARI HII AMEUONYEESHA UASILIA WA TANZANIA KWA SASA.INAWEZA KUMFUMBUA MACHO ILI AONE ANAVYOPOTEZA WALIOMTUMAINI!!!!MIMI NIKIWA MMOJA WAO

    ReplyDelete
  8. ...Raisi wetu yupo wapi hapo au ndo majukumu yote kamuachia Pinda yeye yupo safarini kikazi??! :))

    ReplyDelete
  9. SANAA NA MSANII vimekutana. Mzee wa mazingaombwe JK. Hii ndo tafsiri ya maisha bora kwa kila mtanzania, hasa mafisadi. Unauliza vichwa? Damu hiyo una uhakika ni yao, au kachinjwa kuku wa jirani?

    ReplyDelete
  10. Mtoa maoni ya tarehe Sep 02, 09:20:00 AM, huna uchungu na maskini wanavyoishi bongo na inaonekana umetoka familia tajiri ndio maana umeweza hata kuwa nje ya nchi na kuandika hayo JUU YA DINI KUTOA NYARAKA.

    Hata mganga wa kienyeji akitoa waraka pia ntausifu. Hali ni mbaya. Ni nyinyi wachache mnaofurahi na kuishi maisha bora Tanzania wakati wengine wanauawa kwa ufisadi.

    Huyo Kingunge akemee kama nani? Si ndiye mtoza ushuru wa stendi ya Ubungo na anaipa serikali nusi ya therusi na robo yake ya anachopata?

    Yeyote atakayeonesha nia ya kuikosoa serikali nampa 5 za nguvu.

    Bila kujali n dini gani ama kabila gani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...