Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Mahrabaaah! Hii ya leo kali! Hongera sana dada, hiyo ni siku yako!

    ReplyDelete
  2. Jamani Bi harusi alilewa au ndo excitement ya maisha mapya????????? Du!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. mipopo kwa sifa too much basi mibongo nayo utaiona ikianza kuserebuka meyenu maana wabongo hatuchuji kila kitu cha nje kizuri

    ReplyDelete
  4. na ushangube wangu lakini nimeolewa haloo haloo!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. jamani mimi nimependa staili ya miondoko yao sio kila kitu cha nje kizuri lakini pia sio lazima tufanye yale yale kila siku kama hayo munaita ma bluzi au kutembea pole pole kuingia kanisani.

    kila wakati na mambo yake mwaje ajirushe anavyo penda kipenda roho hula nyama mbichi. ni siku yao wacheze wanavyo penda ilimradi sio uchi.

    kama nikipata badati ya kua yangu itakuwa tofauti. itakuwa scripted kama taarifa ya habari

    ReplyDelete
  6. mmemuona fresh huyo mpiga vicha lakini,mdadi 120

    ReplyDelete
  7. Dalili tosha kuwa bwana harusi hatamweza bibi harusi,Bibi harusi anaonekana kwa party ni mbaya sana,Bwana harusi alivyokuwa anaruka ruka na baadae kutoweka anaonekana ni mlugaluga.

    ReplyDelete
  8. Jmn! Hata kama ndio siku yake lakini ndio awatingishie kadamnasi yote mpaka wakwe zake? Angesheza tu ila kukatika angereserve.Kiuno chenyewe mh - poole bwana harusi pole!

    ReplyDelete
  9. Wooh. this is funny, especially nyimbo yenyewe maneno yake.. The song is about a husband who is married hawezi kupeleka pesa nyumbani amesahau wazazi wake kwasababu mke ni high maintenance, he couldn't even go to the funeral when his mother dies. alafu inamuona bi harusi anavyocheza!!! can you imagine wazazi wa mume kama ni wa ghana wanafikiria nini " "tumepatikana"

    ReplyDelete
  10. je kitandani?

    ReplyDelete
  11. subiri ikipita miaka 20,waonyeshe hao maharusi hiyo video waliyo record kisha uone reaction yao itakuwaje. maana unayofanya leo yanaingia ktk historia yako,wakati mwingine hutayapenda!hahahaha

    ReplyDelete
  12. kama bwana harusi hakukimbia kitanda usiku wa harusi hiyo basi nae kachanjiwa. hapo ili udumu inabidi ua-apply katerelo kwa kwenda mbele la sivyo utaonekana unamptozea muda dada waa watu!!

    ReplyDelete
  13. swali la kiuchambuzi:
    mbona bibi harusi hajavaa chupi halafu yuko kwenye lile jua la usiku???
    hebu chunguzeni vizuri

    ReplyDelete
  14. miongoni mwa mambo ambayo huwa nayaomba sana, ni maisha marefu kwa anko michuzi. manake bila hii blogu box litakuwa halipandi vizuri huku!

    ReplyDelete
  15. mh bibi arusi huyu ni full mjani acha tu!

    ReplyDelete
  16. asanteni kwa maoni yenu,
    napenda kuwajulisha kuwa fungate ilikuwa bomba na bibie analipa sana.
    TAHADHARI; Ninamiliki bunduki, kaa mbali na my wife wangu mita50.

    By bwana harusi

    ReplyDelete
  17. MMH really no comment,full excitement,ukifuatisha watu na ukitaka kumsikiliza kila mtu hutakaa ufanye lako.as long as huvunji heshima mtu na wako binafsi aaah katika bibe wewe ndio malkia wa siku hito ati! Ukicheza watasema na ukikaa kama maji mtungini watasema,lipi bora waseme ili hali nafsi yako ipo kwatu.Uncle Michuzi Big Up sana.

    ReplyDelete
  18. Mhh mziki ulipata mchezaji! Bi harusi mbunifu sana, angalau alichagamsha ukumbi! Ujumbe: Usisikilize ya waosha vinywa la muhimu nikuchunga penzi lenu lisivamiwe na mangurubange.

    ReplyDelete
  19. Nashangaa bado hamna muosha kinywa aliesema "kaka michu huyu bibi harusi nimempenda naomba email yake"

    ReplyDelete
  20. i like this, bibi harusi kachangamka kweli, inanikumbusha harusi ya rafiki yangu isabell from ireland aliyakata mayenu kwenye harusi yake! kila mtu akabaki macho tu! was very nice wedding. bibi harusi watarajiwa muige mfano hapo! enjoy your day

    ReplyDelete
  21. kuchangamka siku ya harusi muhimu lakini bi harusi huyu anachaza vibaya kimatusimatusi unaweza kuchangamka lakini kwa kucheza vizuri be harusi kakaa kishamba to be honest

    ReplyDelete
  22. Bi harusi kibwengo!!!!!

    ReplyDelete
  23. She is kinda changu fulani hivi.

    ReplyDelete
  24. Anonymous Fri Sep 04, 06:43:00 PM umetoa true enterpretation.
    Demu shankupe-Hajatulia kabisaaaaaaa

    ReplyDelete
  25. I'm in love with a stripper

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...