warembo 30 wataochuana katika fainali ya Vodacom Miss Tz 2009 wakipozi leo kambini kwao katika hoteli ya Giraffe kabla ya uzinduzi rasmi wa mchakato wa shindano la kumsaka Redds Miss Photogenic 2009
meneja wa kilaji cha Redds, Kabula, akimkabidhi mmoja wa warembo, Miss Mwanza, begi la safari pamoja na nguo ambavyo alikabidhi kwa kila mshiriki
meneja wa kilaji cha Redds, bibie Kabula, akizindua rasmi mchakato wa kumsaka Redds Miss Photogenic leo kwa kuwapa mipango pamoja na zawadi. Zawadi kwa mshindi ni shilingi milioni moja, kabrasha (portfolio) la uoneshaji mitindo ama matangazo pamoja na mkataba wa mwaka mmoja katika kampuni ya wakala wa walimbwende wa mitindo (modeling agency).
wanakamati wa Miss TZ wakipanga mikakati ya kufanikisha zoezi zima la Vodacom Miss TZ pamoja na Redds Miss Photogenic 2009.


Miss TZ 2008/2009 Nasreem Kareem akiwapa somo warembo hao



meneja wa Redds, Kabula, akijadiliana na wanakamati wa Miss TZ mambo haya na yale


baadhi ya warembo wakiwa kambini hoteli ya Giraffe ambayo hivi karibuni imezindua sehemu mpya ya kupumzikia inayoelea juu ya bahari


baadhi ya warembo wakitoka sehemu ya mazoezi

warembo wakijidai na vifaa walivyokabidhiwa na Redds leo


















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. .....eti: inayoelea juu ya bahari,kweli kazi ipo na uandishi wa habari wote unapotosha jamii!!!

    ReplyDelete
  2. Mabinti wote wamependeza! kwa maumbile ya umodo mi naona Temeke, Kinondoni, na Pwani maana walau wana urefu wa kutosha, sijui kichwani vipi lakini maumbile yao haswa urefu unawapa points. Majaji muchague makalio makubwa tena kama akina Wema muone kama tutafika popote #X%@ zenu!!

    Mdau wa Juu

    ReplyDelete
  3. fainali itakuwalini anko nanihii au wadau nisaidieni ili turudi nyumbani kuangalia warembo wetu

    ReplyDelete
  4. Ningekuwa rais ningefutilia mbali mambo ya u-miss. sioni kama yanasaidia jamii zaidi ya kuendekeza ukahaba kwa wasichana wadogo kutosheleza tamaa zao. Mwl. Nyerere aliliona hilo akafutilia mbali!!!

    ReplyDelete
  5. Unc Hashem, wewe ni muumini ambae kwa kipindi iki cha mwezi mtukufu hukutakiwa kuwatembeza mabinti wakiwa watupu, ungeweza kuskip, mbona Jide amefanza ivyo inakuwaje wewe?? naogopa sana kila ninapofikiria siku ya hesabu, kwani kutakuwa na miujiza ya jabu.

    ReplyDelete
  6. mmmhh that kamiss mwanza is very beautiful atakimbiza vibayaa

    ReplyDelete
  7. muda wa mapedejee kukamata kuku wa kienyeji

    ReplyDelete
  8. michuzi it sims lyk that chick who once dubbed you ''Michuzi Maharage'' is gonna clinch this year's Miss Tz title. ila kasijichanganye manake kataishia, kupewa miss Redds. n' do u know that redds miss tz is specially given always to sex corruptionists in the miss tanzania camp?? all those who offer sex to influence miss tz decision makers end up crowned Redds miss tanzanians. go back to history you'll come to this realization. one of them went as far as offering sex to win the media, givin gud tym to one 'suspected' media owner. always decently written about but at the expense of her offering sex ha ha ha ha!! haya mwaya ngoja nisiendelee kumwaga mtama kwenye kuku wengi ila kaka michuzi usibanie hii let'em know the inside of it. if you allow this particular one, then i will come with little bit more of such hidden bombs.
    just information+advice.
    Former miss tz contestant.

    ReplyDelete
  9. Yaani Giraffe Hotel mpaka leo hawajaweka 'maboya' kwenye chelezo chao, au wanasubiri mpaka ajali itokeee!

    Michu waambie uongozi wa Girraffe Hotel kuwa blogu ya jamii imeshawahi kutoa 'tahadhari kabla ya ajali'

    Lakini ngoja kesho niwapitie na kuwalima faini kubwa kwa kutozingatia viwango vya Safety and Hazard standards za entertainment ktk maji.

    Mdau
    Health and Safety .

    ReplyDelete
  10. mmhhh...yaani kila kukicha kuna some kind of beauty pageant going on in Tz. Ingekuwa viongozi wanajishughulisha na nchi jinsi hawa organizers wanajishughulisha na hizi pageants tungekuwa mbali sana. I wish more effort was put towards health, education and overall well-being of the average Tanzanian instead of superficial competition. Beauty fades! sasa si bora kungekuwa na mashindano ya the smartest person in primary, secondary, high school, university etc. The winner would receive scholarships/win tuition for the rest of their education.I feel that is more useful and beneficial to society as a whole instead of these Who-looks-better-in-a kichupi-so-we-can-give-her-a-car and-fame-for-a-Year competitions.

    ReplyDelete
  11. Unc Hashem aache wakati ndio chakula chake. Mfungo ukae pembeni vimwana walambe. Ongea lingine aache hata pesa ataacha siyo kuangalia vimini

    ReplyDelete
  12. JAMANI MIJIBABA YOOOTE HIYO ATI KAMATI YA MISS TANZANIA!!!!??? KUNANI HUKO NA MABINTI ZETU?? MBONA HAKUNA AKINAMAMA???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...