Mgeni rasmi Pro Silvia Tamale akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maonesho ya tamasha la jinsia 2009,ambpo kwa asilimia kubwa bidhaa mbalimbali za Kitanzania ziliozokuwepo kwenye maonesho hayo zimetengenezwa kwa mikono.
Mkurugenzi wa TGNP Bi Usu Malya akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye tamasha hilo,mara baada ya kuzinduliwa rasmi na mwenyekiti wa taasisi hiyo ya TGNP,Bi Ruth Meena(haonekani pichani),tatu kulia ni mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale

mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale akiongea wakati wa uzinduzi wa tamasha
Mrisho Mpoto akiwachengua watu mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa Tamasha la jinsia lililozinduliwa leo katika viwanja vya TGNP Mabibo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyo unaemwita bi Ruth Meena ni Professor, uwe unauliza kabla ya kuchafua mazingira!!

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  2. Huyo mdada wa kushoto kabisa picha ya mwisho (chini) ni kama vile mke wa Bob Sankofa (wa Fotobaraza) au macho yangu?

    ReplyDelete
  3. we anony Tue Sep 08, 06:20:00 PM, kwani bi ni tusi? ndio nyie-nyie mliosoma bila kuelimika.

    ReplyDelete
  4. tamasha la jinsia ni nini? na linahusu nini?

    jinsia the same meaning kama kiingereza au ....naomba tuelimishane zaidi please

    off topic kweli hata mimi sioni ubaya wa mtu kuitwa Ms.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...