Home
Unlabelled
Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom hadi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii table anaefanya updation naona uwa amekula maji kidogo, nadhani itakuwa manual maana simba GF 10 GA 1 na GD 8????
ReplyDeleteMichuzi inasikitisha sana hv hii hapa kwetu ni ligi kuu au ligi ya mchangani???kweli ligi ina timu 12 tu ndio maana soka limeshuka tofauti na zamani hv TFF mnachoshindwa nn kuweka timu kama 20 hv kwenye ligi kama ligi za wenzetu???kumbukeni enzi zile tuna timu nyingi ligi ilikuweje tanzania embu linganisha na sasa inasikitisha sana!!naomba wahusika mrekebishe hilo weka timu hata zikawa 20 tanzania ni nchi yenye mikoa 21 kwa bara cha aibu mkoa wa dar es salaam pekee una timu karibia 5 na mikoa mingine ni kama timu 7 tu hapa kuna haki kweli?ndio maana hata timu ya taifa haifanikiwi sababu timu ni chache hivyo vijana wengi wa mikoani wanashindwa kuonyesha vipaji vyao nakuomba michuzi embu siku moja anzisha mjadala huu wa kwann ligi yetu ina timu chache na je kwa uchache huu tutaendelea?Enzi zile tuna timu nyingi kwenye ligi soka lilikuwa tamu sana maana nakumbuka tanga kulikuwa na coastal union na africansport,reli morogoro,lipul;i ya iringa,mbeya unawakuta mecco na tukuyu stars ukija tabora mirambo ukienda shinyanga rtc shinyanga ukishuka dodoma kurugenzi,ukienda kigoma Rtc kigoma,majimaji ya songea,bandari ya mtwara n,kila kwa sasa mambo hayo yote mazuri hakuna!ligi imekuwa kama ya mchangani dar tim u kibao mikoani hakuna timu mbaya zaidi hata wachezaji wengi hawadumu muda mrefu kama zamani maana tulikuwa nauwezo wa kutaja list ya timu ya mkoa wowote toka tukiwa wadogo ila kwa sasa wachezaji tunaoweza kuwajua kidogo ni wa yanga na simba tu!kweli enzi za mwalimu mambo yalikuwa shwari sana!TFF nawashauri muongeze timu angalau ziwe hata 20 ili ligi iwe inakuwa ndefu kama ya nchi nyingine pia tuwape wasaha hata mikoa mingine ya kuburudika na mpira!kama enzi hizo!
ReplyDeleteMbona kuna makosa katika GD ya Simba.. GF = 10; GA = 1 sasa GD itakuaje 8 au ndio staili ya siku hizi?
ReplyDeleteKwanza asante sana kwa kutuletea msimamo wa Ligi ya hapa hapa Bongo.
ReplyDeleteNimejaribu kufuatilia wapi naweza kupata kwa urahisi taarifa za ligi ya Bongo nimeshindwa na mbaya zaidi TFF website yao iko outdated kabisa.
Hata huo msimamo unamarekebisho.
Angalia GD ("Goal Difference") ya SIMBA na MANYEMA utaona walivyochemka. Na hiyo ni kwaharaka haraka nadhani kuna makosa zaidi.
Nafikiri ukosefu wa hizi taarifa kwa usahihi na kwa wakati muafaka vinachangia tuelekeze ushabiki zaidi kwa CHELSEA, MAN U, LIVERPOOL, ARSENAL, n.k, n.k.
Naomba mdau yeyote aliyekaribu na TFF aweeleze madhaifu haya.
Mahela yote ambayo TFF wanapata wanashindwa Kweli kutengeneza Website Na viwanja vengine mikoani? Kweli Ufisadi TFF Aibu kwenu. Mnajenga Viwanja vyenu tu vya kuishi Form ya Kuwa kiongozi wa Mpira jamani Uchaguzi ujao nitapata Wapi na mie nijaze? Kin'gwendu.
ReplyDeleteKila siku mnaambiwa TFF ni Yanga mnabisha. Angalia GD ya Simba hiyo. Wametia bao mfukoni.
ReplyDeleteSIMBA MOTO BATI.WAZEE MSILALAMIKE KUHUSU GD ZA SIMBA ILO GOLI MOJA WAMEWAKOPESHA YANGA MAANA WAKO KATIKA WAKATI MGUMU MAMBO YAKIWA SAWA WATARUDISHA
ReplyDeleteAnnon hapo juu (Tarehe Fri Sep 25, 10:12:00 AM,) nakuunga mkono kabisaaa!!!! hivi kweli timu 12 yaani dazani moja tuu! wakati mikoa kibao kabisa. Na mikoa ya tanziani ni mikubwa sana na ina wilaya kibao, hivi kweli hatuwezi kutafuta vijana wenye vipaji kila wilaya kila mkoa ambao wanaweza kucheza mpira kwa kipaji chao sio mpaka kipaji cha kulazimisha zis is ze ball yu kick here and zen you score, wapi na wapi??? vijana tu kama 25 hivi wakaunda timu b ya taifa,
ReplyDeletekwa kuongezea tu, naomba kama kunauwezekano wa kubadilisha vifupisho vya msimamo wa ligi viwe hivi, si utani wengi ukiwauliza vifupi vya kiingereza hivyo vinamaanisha nini wengi jibu kapuni.
C SA SL SW GF GW TM PT
Simba 5 5 0 0 10 1 9 15
C = Cheza
SA = Shinda
SL = Sale
SW = Shindwa
GF = Goli Funga
GW = Goli Fungwa
TM = Tofauti ya Magoli
PT = Pointi
ni hayo tu
P.E.D
Hello,
ReplyDeleteWazee, Simba mwaka huu ni wetu.Tumechoka kunyanyaswa na hao vijana wadogo wa Jangwani.Ni mwendo wa idadi ya mechi mara "tatu" na si vinginevyo.Ila hao wadogo zao na wana-twipusa wanatutia aibu...!!
GOOD LUCK.
usa.