Rais wa cameroun Mhe. Paul Biya na Mama wa Kwanza wa nchi hiyo walipokutana na Rais Barak Obama wa MArekani na mai waifu wake Michelle

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. Chantel, C'est premiere Mademe du Cameroon! Huyo mama wanamjua wenyewe sitaki kumshushia hadhi kwa vile ni first lady wa nchi. kipindi pope alipoenda huko TV hapa ulaya zilikuwa zinamuonyesha yeye tu na sio Pope wala Rais Paul Biya!

    Kifupi mzee mzima alijiokotea mitaa fulani na bahati mbaya her personality haijabadilika hadi leo!
    Kama unavyomuana ana kucha ndefu na rangi zimepambwa! Wigi kilo tatu na wanja ndo huo na lipstic ndo kama hivyo ili tu kuendelea kumchizisha mzee mzima tofauti na protokol inavyosema unapokuwa first lady au kiongozi! hiyo ndo Francophone! Tunajionea mambo huku tiliko ya hawa majamaa wanajichubua kama Wacongo hata Wanaume!

    ReplyDelete
  2. Mtumee ....huyu mama wa Kwanza wa camerron au ni a drag Queen?

    Jamani hata kama ni ku add glama jamani ziz iz tuu mach , dah ... her big hair do , mkorogo plus hizo bling bling ...dah utadhani akina Aretha Franklyn enzi za 80's loh!

    ReplyDelete
  3. MICHELLE:"barry,honey....what is that on your sister's head?I've seen all them weaves in all them beautyshop. But that weave....is a lot!!!!"
    OBAMA:Yeah poor fella....he spends a lot his government's money on that....

    ReplyDelete
  4. ooh my gudiness, hizo nywele, pango.. hata hivyo sishangai wakameruni wanapenda sana minywela ndo kawaida yao nishawaona wengi. watanzania tupo bombo.

    ReplyDelete
  5. Mhh Hapa kuna kazi kwelie kweli maana sijui ni Beyonce wanna be au vipi!!!

    ReplyDelete
  6. FIRST LADY WA CAMEROON JIFUNZE KUPIGA PAMBA SIMPLE KAMA MRS OBAMA

    ReplyDelete
  7. nasi twaja tu mbioni 'kwenda na wakati'! waafrika tunapenda sana 'kwenda na wakati' kwa kuchubua ngozi, wigi kama hizo, suti za ulaya, nk lakini hatuko tayari 'kwenda na wakati' kwa kuiga akili na utendaji wa ulaya!!

    ReplyDelete
  8. huyo mama wa cameroon mbona ana soni hivyo? bado bikira nini?

    ReplyDelete
  9. Sasa hivi baridi imeanza huku kaskazini, jamani. Huyo Primadonna wa Camaeroun naon kaweka wigi la baridi......

    ReplyDelete
  10. Waulize Cameroonians watakwambia. Rais Biya ni mtumiaji sana wa bangi. Haonekani kwa wananchi hadi kipindi cha uchaguzi kikifika. Unategemea nini. Unafikiri bangi inaweza ikamfanya aware kujua mkewe kavaaje. Mwenzenu hilo bangi linamzengua na anamuona mai wife wake ni chuma.Wacha we!!!

    Cameroon ufusadi siyo dhambi. Ndiyo maana Biya anadumu

    ReplyDelete
  11. KAMA FIRST LADY MPASUO UKO HIVYO, MADADA WENGINE WAKOJE HUKO?.......UUUUUUUUUWI!!!!

    ReplyDelete
  12. jamani mama wa kwanza wa cameroun ndio pozi la picha au alikua anajaribu kumnengulia mama obama?????

    ReplyDelete
  13. Huyo paul biya ni mke wake wa pili na inasemekana mke wa kwanza alikuwa mwenye busara na mtulivu na akawa anamshauri apumzike urais,inasemekana mwenyewe ndio kamtungua shaba kisa anataka aachie urais na kampata huyu changu kwa makuu mzee biya anataka kuwa prezidaa mpaka kufa sasa kazi ipo cameroon.

    ReplyDelete
  14. yaani huyo anony wa hapo juu aliyetoa kichekesho cha michelle na barack kachekesha kweli. lakini this is way too much jamani. hizo nywele , ka uchafu

    ReplyDelete
  15. mhhh nimesisimka lloh utadhani zile hadithi za binti chura za zamani...ni nini hiko wajameni loh???? kweli kila mtu ana sifa yake....hapo ukute presidaa hasikii haoni kwa my queen

    ReplyDelete
  16. Sio wakameruni tu, ukienda vyuo vya ulaya wazungu wanawashnagaa wadada wa kiafrika kwa ma-extensuion na mawig wanyoweka kichwani, huwa wanajiuliza sana, kwanini??? mara nyingi kumekuwa na mzungumzo na mabishano underground juu ya tabia ya sisi wafrika kuongeza manywele artificial kichwani

    ReplyDelete
  17. Joulize huyu mama atakua fisadi kisi gani anaana mtawala mumewe kiasigani na maraha ana ponda kiasi gani, najiuliza hizo trip za shoppi huko Paris zitakua ngapi kw amwaka ..maraha maraha tuu!

    ReplyDelete
  18. Unapokuwa Raisi Umetulia na una personality ni muhimu kuchagua mke mwenye personality inayoeleweka Jamnai. Sasa huyu raisi na mke wake wanaonekana watu wawili tofauti. kwakweli. Huyu mama anaonekana ni kicheche yaani unaweza kutumia pesa nyingi kuvaa nk lakini ukaonekana Cheap! TACKY! yaani, sidhani kama ana REPRESENT Wakina mama wa kiafrika, Hata kidogo! Lakini ni half mzungu na muafrika. kwahiyo uwenda anachanganya na katika kuvaa pia!

    ReplyDelete
  19. kama sisi wabongo tunajiona tuna tabia za kibantu basi kwa wanaotoka west wao ndio wamepitiliza kwa ushamba na u-gold-digger.Usithubutu umuone mdada wa ki-cameroon ulaya kisha ujitie unamjua au kumsabahi kisa mweusi mwenzio UTAJUTA NA ATAKUTIA HASARA KWA JINSI ATAKAVYOTAKA KUKUEGEMEA.kwa kifupi tabia zote zile mbaya mbaya ambazo mtu mweusi anajulikana anazo nje ya afrika kama KUONGEA KWA SAUTI YA JUU PASI SABABU,KUJISIFU OVYO,KUTAHAMAKI BILA SABABU HASWA YA MSINGI,UJUAJI,ROHO MBAYA NA CHUKI PLUS WIVU.wenzetu hawa wao ndio wanazo haswa kutuzidi sisi wa-east nahisi itakuwa kwavile tuna kajimchanganyiko ka utamaduni au ustaarabu.SIJAWAHI KUWAONA WATU WABISHI KAMA WA-WEST AFRICA NIGERIA,CAMEROUN,GHANA NAFUU KIDOGO.ZILE TABIA ZOOTE MBAYA AMBAZO BONGO ZINAONEKANA ZA KISWAZI BASI HAWA JAMAA NDIO WANAZO HASWA ZIMEWAVAA,TIZAMA MOVIES ZA KINAIGERIA UTANIELEWA

    ReplyDelete
  20. Unaesema wazungu wanatushangaa na miwigi yetu, hujaenda saloon ulaya ukakuta wazungu wakike wakishonewa mawigi?

    Kila mtu ana amri yakufanya apendacho, mbaya kuua au kutembea uchi, ufisadi nakadhalika lakini mtu akitumia mali yake mbona poa tu ili mradi hawaudhi watu.

    ReplyDelete
  21. kikwete kanuna mmechonga sana eti oo mbona kanuna,hakuna jema kwenu.

    ReplyDelete
  22. watu hawafanani kila mtu ameumbwa kivyake.kwenye mkutano wawabunge wote wamevaa suti lakini mmoja amevaa kaptula(pensi) uoni kama watuhawafanani.ndivyo alivyoumbwa kunya anye michele akinya chantel kaharisha.yeye michele amevaa pensi wanagunia chinichini yeye ni mwanamitindo au.

    ReplyDelete
  23. I'm sorry but that is not a flattering picture of the First Lady of Cameroon. She looks like a doll! They could have chosen a better photo, or re-took it!

    ReplyDelete
  24. Mbogela Jackson, umegonga ikulu. Nilikuwa na rafiki wa ki-denmark; alikuwa akiniuliza kwanini wanawake wa kiafrika wanavaa manywele bandia; sikuwa na jibu la kumpa. mwishowe nikamwambia kwamba
    "not everyone wants to be an african".
    Akanielewa na hakuniuliza tena.

    ReplyDelete
  25. Hawa kina obama nao inatakiwa wawe wanakataa kupiga picha ma machafuchafu kama haya.

    ReplyDelete
  26. huyu alikuwa anarembua akidhania president obama anampenda yeye kwasababu yeye "mweupe mchubuko" na atachukua nafasi ya michelle obama.

    ReplyDelete
  27. Huyu Big haif niliona kapiga picha na Paris HIlton , halafu kachekelea ,utadhani haku weza dream kukutana na Paris

    ReplyDelete
  28. Wewe anony wa Thu Oct 01, 06:26:00PM
    unayesema wanawake wa kizungu ulaya wanaenda saloon kushonewa mawigi.
    Wale wanakuwa ni vibibi vizee vinavyonyofoka nywele, au wagonjwa wa kansa wanaopatiwa matibabu ya "chemotherapy".
    Nimekaa Ulaya miaka 17 sasa sijawahi kuona sista duu wa kizungu kavaa wigi au nywele zozote bandia, isipokuwa siku ya Halloween.

    ReplyDelete
  29. huyu mwenzetu kadata idiot idiot, mama obama ebu mpeleke schoool kidogo, anakaa kam gangaria mchafu mtupu

    ReplyDelete
  30. huyu mama kama kinyago vile jinsi alivyoweka pozi

    ReplyDelete
  31. UTASHANGAA HUYO MAMA KATUMIA PESA KIBAO KWENDA KUPIGA PICHA NA OBAMA HAO MAFIRST LADY WENU WA AFRICA HAMNA KABISA UTAZANI KACHALA LA KIHINDI.MDAU MONEY.

    ReplyDelete
  32. ti umekaa miaka 17 hujaona sister do wa kizungu wanava weave .
    Wewe mbeba box huwezi ona utaonaje na wakatu unarudi nyumbani umechoka na mke wako kibonge wa kizung ambaye ana real hair since hajui kuvaa na kujitengeneza.

    Angalia models na actresses wanavyo piga ma wigs na hizo extention kibao tuu, wazungu wapo wana weka hzo fake hair, fake teeth, fake nails, fake fake hair colour fake boobs, wakiw awana hela wan fake vitu kibao'
    Hao wazungu wako wasio na hela hawawezi afford kufake vitu since ina cost sana na wao wengi wanazo hair ndefu.

    ReplyDelete
  33. ti umekaa miaka 17 hujaona sister do wa kizungu wanava weave. Wewe mbeba box huwezi ona utaonaje na wakati unarudi nyumbani umechoka na mke wako kibonge wa kizungu ambaye ana real hair since hajui kuvaa na kujitengeneza.

    Kwanza sibebi box, nafundisha nafundisha Aachen University of Technology. Mke wangu ni kibonge (if indeed size 14 is kibonge); lakini siyo kibonge wa kizungu, bali ni m-shangani kutoka mozambique. Hana nywele bandia wala meno "fake" kama wewe kwa sababu kama ulivyosema kuwa yeye siyo model wala sito actress.

    Hongera dada nakutakia kila la kheri katika kazi yako ya u-model na u-actress.

    ReplyDelete
  34. she is cute

    ReplyDelete
  35. Huko ujerumani tena Aachen Uwii huwezi kuona asilimia kubwa ya wamarekani weupe wanaongeza nywele,wanavaa wigi wanabadilisha rangi ya nywele zao za asili hata mtu hakumbuki rangi yake ya nywele nilitaka kushangaa hiyo miaka 17 ni ya wapi, usiseme bila kujua wajerumani wako nyuma katika masuala ya urembo kwa hiyo who ever commented is right hujui masuala la urembo period endelea kufundisha IT and yes size 14 ni kibonge kiaina

    ReplyDelete
  36. Kati ya hawa kwenye hii page nani anapendeza na ana hadhi yakuwa first lady?

    http://saharanvibe.blogspot.com/2007/05/african-first-ladies.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...