((((RSVP))))
"Répondez s'il vous plaît", a
French phrase that translates to "please respond" or "respond if you'd please" and word for word means "respond if it pleases you"
It is with this meaning that invitation cards and similar documents are often marked with "RSVP." It is often considered rude to not reply to an RSVP request whether confirming attendance or declining. Official Launch of
Club RSVP(formerly Much More Club)!
The Hottest Music!
Featuring International Guest Dj's,
Sexy Classy Personalised Service All Night,
Exotic Cocktails&ShooterZ!
9pm- 4am!
Experience VIP style clubbing !
Dar will Never Sleep Again!...
(((Cover: 15K)))

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Asante sana kwani if i tell you how much that word troubled me in the past utashangaa.I tried to ask friends nikawa napewa maneno ya kiingereza ambayo cudn't even make sense!never nu ni french word thanx alot na kila la kheri.

    ReplyDelete
  2. BWANA MICHUZI NAOMBA UNIRUSHIE HILI SWALI KWA WADAU WA KISWAHILI NADHANI SIKO PEKE YANGU TUNAOKOSEA HILI SWALA ,HIVI MKE WA MJOMBA UNAMUITA SHANGAZI AU MAMA MDOGO AU TUKIGEUZA SWALI MUME WA SHANGAZI UNAMUITA MJOMBA AU BABA MDOGO.AND SO FORTH MUME WA MAMA MDOGO NA MKE WA BABA MDOGO. MSAADA TAFADHALI

    ReplyDelete
  3. Limekusumbua siku nyingi kwanini usigoggle tu ukaona maana yake? Acheni uvivu kungojea kila kitu mtafuniwe....just one click ungepata jibu.

    ReplyDelete
  4. TAFSIRI HUWA INA UHUSIANO MKUBWA NA TAMADUNI. KUNA MANENO HATA UFANYEJE UWEZI KUYATAFASARI LABDA UELEZEE MAANA YAKE.MAPUNGUFU YA TAFASARI MAKUU NI KAMA IFUATAVYO .

    TRANSILATION BY DEFINITION{KWA MAANA} AND BY CONVECTION { KWA MBADILIKO LUGHA} MFANO NENO BABA KWA MAANA( BY DEFINITION) NI NI MZANI WA KIUME. BY CONVECTION NI FATHER. VILE VILE KWA MAANA NI MALE PARENT.

    TATIZO LINATOKEA PALE AMBAPO CONVECTION INATUMIKA NA KUZIKA MAANA.

    HITIMISHO
    MAANA YA NENO NI MUHIMU ZAIDI KULIKO MBADILIKO WA LUGHA WA NENO.
    SWALI JEE NINI MAANA YA POLE KWA KIINGEREZA??

    ReplyDelete
  5. wewe mdau wa sep 26 02;33 am... inahusu?what if the idea of serching kwenye google ddn occur in my mind?maneno ya uvivu, unini yanatoka wapi?i was jus showing appreciations, i never nu the meaning of the word b4 so what!,kama maisha yako magumu don't take out on other people.
    Mijitu mingine cjui ikoje!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...