ASSALAM ALEIKUM MR. MICHUZI LEO NAKUULIZA WEWE NA WADAU WOTE SWALI LANGU LA KIZUSHI. NAOMBA USINIWEKE KAPUNI.
UNAJUA KUNA MAMBO AMBAYO CLAUDS FM ( POWER BREAK FAST) HUWA WANASEMA, WATU WANASEMA, LABDA VIJANA HUONGEZA CHUMVI LAKINI JANA NIMETHIBITSHA MWENYEWE KWAMBA AMRI ZA BAADHI YA VIONGOZI WETU NI KAMA NGUVU YA SODA YAANI HAMNA FOLLOW UP KABISA.
KWA MFANO, SASA HIVI BIASHARA ZA KUTANDIKA MITAANI ZIMERUDI KAMA KAWA, SASA NAJIULIZA NI KWANI NINI MAMBO YANAKUA HIVI???
KWA MFANO KARIAKOO SOKONI ILE PARKING YA SOKONI SASA HIVI HAKUNA TENA BIASHARA KAMA KAWAIDA, NDUGU ZANGU CHINGA WAMEPANGA NYANYA CHUNGU, NA BIDHAA NYINGINE KAMA ZAMANI..NA KULE UHINDINI NAKO NDO KABISA!!!
MAENEO YA ZANAKI AMBAKO WAUZA NYANYA NA PILIPILI WALOFUKUZWA MWAKA JUZI LEO WAMERUDI KWA KASI YA AJABU. UKITAKA KUINGIA DUKANI INAKUA TAABU MANAAKE VITUNGUU NA MADODOKI MABICHI MPAKA MLANGONI SASA NAJIULIZA NINI MAANA YA MABADILIKO HAYA???
AU NDO MAMBO YA ELEKSHENI YA UCHANGUZI MWAKANI??
KILA KITU RUKSA???
NAWAKILISHA
MZEE WA BUNJU
Hawa jamaa wa PB ya Clouds wako bomba kama si juu, kwa mfano suala la Rais kupokea maoni ya wadau wa nchi hii yaani wananchi niklilisikia wana PB wakiongeelea wiki uhusu rais waa wapi sijuina rais Obana just wiki iliyopita, leo kuna "implementaion" kwa kweli clouds mnafanya kazi Honereni. sitaancha kuwasikiliza kila Asubuhi ila jioni ile ya caputaiiin mizaha siku hizi imezidi
ReplyDeleteChalli.
We mzee wa Bunju hebu jaribu kufanya kitu kinachoitwa "logic thinking".
ReplyDeleteHao wauza nyanya ni raia wenye haki zote kama ulivyo wewe mimi na wengine.
Sasa wakale wapi na familia zao?
Bora wauze nyanya au wajiingize katika matukio ya kihalifu?
Nenda wewe basi kawafukuze kama hukukiona cha mtema kuni...
Hata kama unaosha kinywa chako ndio hivyo?Hovyoooooo....
KWANZA HII NI AIBU KUBWA SANA INASHANGAZA HUYU MKUU WA MKOA BWANA LUKUVI NI NINI ANAFANYA KAJAA MANENO TU,UCHAFU MTUPU UMEJAA KILA MAHALI ,HAWAONI MAJIJI YA WENZETU???? KWELI TANZANIA BADO BADO KWELI KWELI , HATA KWA KUPITA WATU HAKUNA KILA SEHEMU NI UCHAFU WATU WANAUZA KILA KITU PEMBEZONI MWA NYUMBA,TANZANIA TUBADILIKE HIZI KURA WANAZOHITAJI CCM SI KWA NJIA HII,NI AIBU KWA TAIFA HILI
ReplyDeletemdau huoni tupo karibu na 2010
ReplyDeletebubu
MDAU MICHUZI NAOMBA UTUPATIE NAMBA YA CLOUDS POWER BRAKEFAST, TUNATAMANI SANA KUTUMA SMS KILA ASUBUHI UTAKUTA KUNA MADA NZURI SANA SASA HATUJUI NAMBA YAO, UTUWEKEE KWENYE BLOG YAKO KAKA MICHUZI.
ReplyDeleteWADAU
Watu wamepata kura kwa fedha yao, au hujui? Wako bisy kuji-refund na kuchuma nyingine za kununulia kura uchaguzi ujao. Kazi ya kukimbizana na machinga, kero za wananchi nk hayalipi bw!
ReplyDeletesiku zote uchaguzi ukikaribia hakuna utawala wa kisheria kwani viongozi huogopa wapiga kura,nawasilisha mdau hapa usa
ReplyDeleteHao hao unaoita walala hoi ndio wainua nchi watu kama wewe wanaoposti vitu kama hivi michuzi akivifunika kapuni sitamlaumu. Kwani wahindi wenye maduka ni baba zako? unataka walala hoi wakale wapi? police ? waacheni wauze biashara zao popote hata ikiwezekana nje ya ikulu. Viongozi wetu ni walala hoi kimawazo kuliko hao wauza biashara maana at least mawazo yao yamechangamka kujitafutia mkate wa kila siku na Mungu awabariki. Na nyie mnaojifanya mna pesa za kujenga vijiduka fanyeni hivyo lakini kala mara serekali ikitoa viwanja vya biashara wanagawana wao wenyewe au kuwapa watu kama wewe wenye pesa za kujenga vibanda. Kama mtu hata hela ya kununulia mwavuli ili mchicha usinyauke ataweza kujenga kibanda au ni kuwataakia ubaya?.
ReplyDeleteNa wale police wanaokwenda kutimua hao watu na kuwapokonya biashara zao Mungu anajua cha kuwafanya maana si haki na wote tunajua. Please usiulize tena swali la kizushi ambalo halina maendeleo unless unajitolea kuwajengea wauzaji barabarani mahali pa kuuzia, au kama unagombea ubunge ili uwe tapeli kama wengine including Kikwete.
Hilo ndio tatizo la watanzania, hatakama viongozi wetu hawafai ndio watu wauze nyanya barabarani? ua nawe uunauza vitunguu? mji lazma uwe msafi na mpangilio sasa toka wamepanga nyanya hamna hata sehemu yakupitisha mguu hizo nyanya zao utanunua wewe peke yako? we hao viongozi wanaokukera tafuta pakusemea haina uhusiano na nyanya barabarani
ReplyDelete