Home
Unlabelled
TBL yaipiga jeki kamati ya usalama barabarani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
we maneno mbegu, huo ni msaada wa tangazo la kilevi? umaskini mbaya manake usalama barabarani na pombe wapi na wapi.
ReplyDeleteTBL acheni kufunika macho watu kwa kujifanya nyinyi mnasaidia kuimarisha usalama barabarani. Kama kweli muko serious katika hili acheni kutengeneza ulevi ambao mara nyingi umehsishwa kuwa ndicho chazo cha ajali.
ReplyDeleteHivi James KOmbe anaweza kukimbia huyu na li kitambi hilo kweli????AIBUUUUUU tupu mwanausalama kuwa na li kitambi dizaini hii.mmmmh tutafika tuu.
ReplyDeleteSticker 4000 kwa magari milioni 1
ReplyDeleteHIVI MIMI SIJAELEWA VZR AU? INA MAANA KAMA ILIVYOKUWA STIKA YA ZAIN MWAKA JANA NDIO MWAKA HUU ZINABANDIKWA ZA TBL(TANGAZO LA POMBE)? KAMA NDO HIVO KOMBE UNATUTAKA LAWAMA KUZINUNUA HIZO, PLS TUKO TAYARI KULIPA HATA BEI GANI LAKINI SIO KUITANGAZA POMBE..KAMA KUNA NJIA MBADALA SAWA YA STIKA NA SIO YA TBL. HATUNUNUI KUBANDIKA KNY MAGARI YETU HATA SIKU 1
ReplyDeleteMimi huwa nashangaa hata kwenye tule tu jacket tunatoreflect mwanga usiku wanausalama huvaa juu ya uniform zao tumebeba matangazo ya CELTEL hii ni sawa kweli
ReplyDelete