Vodacom Miss Tanzania 2009 Beauty Pagenty is here. Fans will have to pay 100,000/- each to watch this year`s eventy set for Ocotber 2 (Friday) at the Mlimani City Hall in Dar.
There would be only 700 VIP tickets for sale at 100,000/- each. The fee will include a sit down buffet dinner. There would be 1,500 standard tickets which would be sold at 50,000/- each. get Tickets are out there early so that fans can have plenty of time to purchase them in advance.
We don`t want anyone to miss out on what we believe will be the event of the year.
Please contact early if you want to book.,0767 333221
or Selling points
1.Steers city centre
2.Zizzou Fashion-Victoria & Sinza
3.Shear Illusion-Mliman City & Millenium Tower
4.Baraka Garden behind CRDB Azikiwe Branch
5.Hadeez Fast Food-City Centre
6.Brand House Azikiwe Street
7.Miss Tanzania Office-Mkwepu Street
8.Mwasu Fashions

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mashaka anatumia muda mwingi sana kutuandikia sijui tunasoma jamani,TSH 100,000 kuang'alia Miss Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Duu! Gharama ya kuona vichupi sio mchezo.

    ReplyDelete
  3. hio 100.000 sh uswahilini napata miss mzuri tena wa kuoa kabisa na anawazidi hadi hao ma-miss wenu mliowatengeneza

    ReplyDelete
  4. kwa mtaji huu mtawatia kiburi cha bure hao mamiss wakirudi uswazi watuache maboyfriendo zao kwa kujiona kuwa kutizamwa tu 100,000 je kunaniliu si ndio itakubidi mtu uongeze sifuri kwenye hio laki 1

    ReplyDelete
  5. MICHUZI WEWE MNAFIKI NA MUOGA NIMETUMA MAONI YANGU JUU YA SWALA HILO HUJATOA HUFAI KUWA MWANDISHI WA HABARI WA KARNE HII YA 21, USIOGOPE SI WEWE NI SISI TUNASEMA HUWEZI KUKOSA ULAJI WAKO KWA KUTUNDIKA MAONI YETU MTUMWA HAUWAWI, WACHA HIZO ZA ZAMANI ZA KUFUNIKA MAWAZO YA WENGINE NA KUYAONA YENU NDO SAHIHI TU, AU NDO HAKUNA UHURU WA KUTOWA MAONI HUKO BONGO, ACHA UOGA WA KONDOO, BASI HAKUKUWA NA HOJA AU MAANA YA WEWE KUANZISHA BLOG YA JAMII, TUNDIKA MANI YA WATU YASOMWE, ILIMRADI MTU ANAANDIKA NDANI YA MAANDILI YA KIBINADAMU HATUKANI MTU.

    ReplyDelete
  6. Kwa hesabu za haraka haraka wakiuza ticket zote watapata zaidi ya shilingi mia moja na hamsini milini 150,000,000 then bado sponsors watawalipa na kutoa zawadi kwa washindi...si mchezo hapo ndio maana urembo uko juu kuliko soccer bongo kumbe siri ni hii...UNALIPA!

    ReplyDelete
  7. ehh 100.000! lo bora nikawanunulie hao watoto wanaokaa chini ya jiwe madawati! not this year anyway

    ReplyDelete
  8. Kuna mdau ametoa maoni ya maana sana kwamba badala ya kutoa laki moja kwenda kuchungulia vichupi ni bora kuzitoa kusaidia kuwatafutia madawati watoto wanaokaa chini ya jiwe. Wazo makini sana hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...