Sanamu ya mkono ambao unazunguka kwa nguvu ya kupulizwa na upepo.Ubunifu wa aina hii katika sehemu za maji unapendeza sana.
Mdau K.Mmbando

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyu mbunifu angeweka sanamu yenye kidole kati ....

    ReplyDelete
  2. Mbona mkono kama huo unaonekana pale stockholm sweden karibu na Gamla stan au bustani ya king miaka mingi sasa au ndio kwanza umeuona ?

    Mr bash

    ReplyDelete
  3. Ndo kwanza nimeuona , nikaona nishee na jamii. kuna shida yoyote ?

    ReplyDelete
  4. huyo jamaa wa pili ni mshamba anayetaka asionekane kama ni mshamba, kama huna hoja waache wasiofahamu wafahamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...