Familia ya Lupembe na familia ya Kibayasi wa Mt. Prospet, Illinois, USA inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Dylan Agnellus Kibayasi Kilichotokea tarehe 9/9/2009 saa sita ya mchana katika Lutheran Children’s Hospital, Parkridge, Illinois, USA baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Marehemu mtoto Dylan Agnelus Kibayasi alizaliwa tahere 26/06/2009 katika Hospitali ya Northwest Community, Arlington Heights, Illinois, USA.
Msiba upo nyumbani kwa Mr. and Mrs. Mwakilasa kwenye anwani ifuatayo:
1633 W. Thome Ave,
apt # 504,
Chicago,
IL 60660 (773-253-5350)
Memorial service na mazishi vitafanyika Jumamosi tahere 12/09/2009 saa saba mchana (visitation) katika Nelson Funeral Home,
5149 North Ashland Ave,
Chicago,
Illinois.
Baada ya mazishi tutakutana nyumbani kwa Mr. and Mrs. Kaijage at,
20600 Promethian Way,
Olympia Fields,
Illinois 60461.
Account maalum ya michango ya hayati
Dylan A. Kibayasi, imefunguliwa.
Bank Name: Baxter credit UnionBank
Address: Vernon, Illinois
Account Name: Martha Lupembe
Bank Routing Number: 271992400
Account Number: 17500004065256
Kwa habari zaidi wasiliana na:
Twilumba Lupembe (224) 623 1244
William Mwakilasa (773) 744 8743
Joyce Jones (815) 670 8090
Mr and Mrs. Kaijage (708) 767 4841
Toa Maoni Yako: