Uscuta 2009 exhibition and workshop at
Arusha National Natural History Museum Tanzania
this Dec 2009.
Kutakuwa na onyesho la sanaa za ufundi pale Makumbusho Arusha tarehe 13 mpaka 17 dec.Tarehe 14 ni workshop na washiriki wanatakiwa kutuma maombi yao kwenye hii email
Cha msingi ni kuandika jina anuwani na namba ya simu.
Mdau kutoka Sweden
K.Mmbando

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...