anko nanihii leo kapata heshima kubwa kwa kutembelewa na profesa joseph mbele kutoka katika chuo kikuu cha St. Olaf College katika jimbo la minnesota, marekani. profesa pia anaendeleza libeneke lake kupitia:
Kesho Jumamosi Profesa atakuwa Grand Hotel Magomeni MwembeChai kuendesha warsha ya Utamaduni na Utandawazi kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 10 jioni.
Taarifa zaidi nenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kilichobakia tu hapo ni Professor na yeye akuwekee mkonoz halafu mfunge ndoa! Can you imagine itakuwaje at the same time Prof aweke mkno kama wewe. Nadhani hiyo siyo tabia ya kiungwana kuwawekea watu wazima konoz.

    ReplyDelete
  2. Prof. Habari yako? Naona hapo umesahau kuchana nywele leo au? Michuzi hebu mpeleke Prof. kwa Bitebo

    ReplyDelete
  3. Michu naona upo na Profesa J

    Swaum njema

    Mdau Davey

    ReplyDelete
  4. Je na huyu bwana ni profesa kama maprofesa wetu weeeengi kina profesa vulata,profesa ndumilakuwili,profesa kababayee(mazingaombwe)profesa maji marefu bila kumsahau dokta remmy ongala

    ReplyDelete
  5. PROFFESOR JAY ORIGINAL. LINI UTATOA SINGLE NYINGINE?

    ReplyDelete
  6. Michuzi..,ushauri wa bure anza kuhudhuria gym.

    ReplyDelete
  7. HUYU NI PROFESSOR WA USOMI SI WA JUJU, UNAFUNDISHA ENGLISH AMESOMA DEGREE ZA LUGHA NI MSOMI KWELI SI MCHEZO

    ReplyDelete
  8. kwa kweli maprofesa wengi wako wako tu utadhani hata hawajaonja darasa wengine wachafuchafu walevi kupindukia nywele kuchana ndo kama hivyo kifupi hawajipendi nafikiri kitabu pia kianawachanganya hadi wanasahau kujiluv

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...