anko nanihii akiwa vekesheni jijini london mwaka 1990. enzi hizo usipofika hapo trafagal square kupiga picha na njiwa ilikuwaga nongwa. sijui sasa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. juzi juzi nilifika hapo duh njiwa wale hakuna tena........

    ReplyDelete
  2. Halooo Bro Michu,

    Mimi ni mdau wa blogu ya jamii na nina ka swali ka kizushi, hivi kwenye kadi za mialiko lile neno RSVP lina maana ipi? watupie wadau

    ReplyDelete
  3. OT: Hii kali ya mwaka...nimeona wanawake kutoka kwa watani wetu wa jadi walikua wanaomba asylum ati wanaogopa wakirudishwa kwao watatahiriwa....teh teh etehhh

    "Two Kenyan women are facing deportation from Australia after their asylum applications were rejected, despite risks that they may suffer forced genital mutilation if they are sent home."

    Read the whole story here Kenyan women refused refugee

    ReplyDelete
  4. Asalaleee kaka kweli uko juu LONDON mwaka 1990?nafikiri VISA ulikuwa hugongewi BONGO possibly ilikuwa ukifika HEATHROW ndo wanakugongea entry VISA sikuwezi sasa si ungebaki tu LONDON UNGEJIBABUA ukapata MAKARATASI ya kwa BIBI mambo yoote yangekuwa mswano.au waosha vichwa wengine mnasemaje?kuliko ulivyorudi huko BONGO kwa mafisadi kila kukicha tunawasikia wao tuuu.sio ishu kaka kama uliamua kurudi BONGO yote kheri.kazi njema kaka!!!
    Mdau-UKEREWE

    ReplyDelete
  5. Michu,
    kama ulivyoona 2007 meya wa London katia mkwala sasa hakuna tena njiwa wa kupiga nao picha, sababu ya njiwa huleta uchafuzi na magonjwa!
    Mdau
    Kariakoo.

    ReplyDelete
  6. ha ha haaa uuwii nilikwendaga hapo kupiga picha na kushika hao njiwa kuonyesha msisitizo nikawa nimevalia na suti kabisaa jamani ushamba ni mzigo acheni tu hata wewe michuzi hapo ulikuwa bado ni mporipori kwa sana tuu watajuaje uko london wakati umatumbini njiwa akikuona tu analala mbele manake wanajua watakula manati jamani maendeleo tele siku hizi watu wanaexposure tulikuwaga kama kina kunta kinte
    miss michuzi

    ReplyDelete
  7. Joke Of The Day:

    Politics...

    A little boy goes to his dad and asks, "What is politics?" Dad says, "Well son, let me try to explain it this way: Im the breadwinner of the family, so lets call me capitalism.

    Your Mom, shes the administrator of the money, so well call her the Government.

    Were here to take care of your needs, so well call you the people.

    The nanny, well consider her the Working Class.

    And your baby brother, well call him the Future.

    Now, think about that and see if that makes sense,"

    So the little boy goes off to bed thinking about what dad had said. Later that night, he hears his baby brother crying, so he gets up to check on him.

    He finds that the baby has severely soiled his diaper. So the little boy goes to his parents room and finds his mother sound asleep.

    Not wanting to wake her, he goes to the nannys room. Finding the door locked, he peeks in the keyhole and sees his father in bed with the nanny.

    He gives up and goes back to bed. The next morning, the little boy says to his father, "Dad, I thin k I Understand the concept of politics now."

    The father says, "Good son, tell me in your own words what you think politics is all about."

    The little boy replies, "Well, while Capitalism is screwing the Working Class, the Government is sound asleep, the People are being ignored and the Future is in deep shit."

    ReplyDelete
  8. Hapo naona mambo yalikuwa dukinaa!:-)

    ReplyDelete
  9. RSVP-RESPONDE SIL VOUS PLAIT hata kama hapo hujui tena basi tutakudadavulia

    ReplyDelete
  10. matanzania ulikuwa wewe tu.1990

    ReplyDelete
  11. Michuzi ulikuwa unaweka Kibwenzi cha Nguvu.

    ReplyDelete
  12. Kaka Michuzi vekesheni hukuanza juzi una historia! hao wanaokumbia wewe fisadi wajue umetoka mbali!

    ReplyDelete
  13. * Maana ya RSVP = Rice and Stew Very Plent

    * Wanaoshangaa Michu kuwepo London miaka ya jana tu yaani 1990?
    Hao ni watoto. Mbona wengi tulishakuwepo kwenye 80"s?? ama kweli kipofu akiona mbuzi atadhani tembo haha!

    ReplyDelete
  14. hivi nyie wababa mnaobishana kuhusu michuzi hamkai kimya? huyo ni japhet sanga enzi za in, from na just recently!

    ReplyDelete
  15. wewe anon:sep 25,04:32:00PM

    UNAONEKANA UNAVYOKUWA NA KIJICHO! heti unajifagilia ulikuwapo London toka miaka 80"s??.
    hata kama ulikuwapo miaka ya 60"s?? sisi tunaye mjadili hapa ni Mungwana Michuzi sio wewe,Usijiingize hapa kwa unafiki,
    MICHUZI OYEEEEEEE!!!OYEEEE!!!!!Blog ya Jamii!!OYEEEEEEEEE!!!!!!
    wakuja ziiiii!!

    ReplyDelete
  16. Kitururu pia ilikuwa mambo dangachee au mambo valuvalu hahahahaaaaaaaa! kweli siku hazigandi

    ReplyDelete
  17. Huyo anonymous anayejifanya mtu mzima wa 80's, atakuwa MTU MZIMA OVYO.Hata tafsiri ya s'il vous plait haijui.Punguza hashuo....

    ReplyDelete
  18. UNAMPYA BABU NIMEKUTUMIA YA WACHEZAJI WA TWANGA PEPETA WANA MATUMBO KAMA MIMBA ZA MBUZI UKUTOA...SASA HAPA UNATAKA TUSEME NINI KWAMBA ULIKUWA LONDON>>>OVYO.

    ReplyDelete
  19. Anony Fri Sep 25, 05:06:00 PM kwanini wasema wakuja ziiii? Shauri yako watutukana wengi.

    ReplyDelete
  20. Michuzi acha kamba hapa sio vekeshi ni ulipopelekwa kusomea kiinglishi kozi kwi kwi kwi ndio manaa ungenge unatema kama yai

    ReplyDelete
  21. Mkuu wa wilaya isitangazwa nakumbuka RTD na magazeti machache yalitangaza hiyo vakesheni ilikuwa ya mafunzo yaliyofadhiliwa na Reuters na mlichaguliwa wewe na Mama Edda Sanga wa RTD, kutuwakilisha.

    ReplyDelete
  22. Wewe uliotoa wazo la Mr.Michuzi ya kuwa angebaki hapa UK na kujibabua kikimbizi nachotaka kukwambia sio watu wote wana mawazo ya kipuuzi kama yako sawa!Kama wewe yalikushinda na kuamua kujibatua ni wewe OK! Au unamwona Michuzi ni mpuuzi mwenzio, Kalagabaho!

    Nawewe uliyesema sijui watu wameanza kuingia UK toka 80s lazima utakuwa ni masikini wa mawazo kwanza ngoja nikuulize ushanunua shuka mara ngapi toka ufike UK au kwa mwaka unabadilisha mswaki mara ngapi. Jiangalie jitafakari atutaki maoni ya kipuuzi umu, alafu We Michuzi wapuuzi kama hawa maoni yao unayaweka ya nini? Achana nao mtu wangu. Big up brother.

    ReplyDelete
  23. RSVP, Tumia computa yako kuokoa muda wako na wa wengine. Kuna search engines nyingi tu jamani moja wapo ikiwa Google, why not use it!? Fanya hivyo kwa maswali mengine yafananayo na hili. Nimekupa nafasi ya kuonja furaha ya kundua mwenyewe. Shukrani!

    ReplyDelete
  24. JAMANI HUYO SI MICHUZI MBONA MNALOPOKA TU

    ReplyDelete
  25. annoy wa sept 26 12:20:00am NAKUJIBU...UMEONGEA PUMBA TUPU SASA UNASHANGAA NINI MTU KUJIBABUA UK?SHWAINI WE NGEDERE KASORO MKIA PUMBAFU KABISAA.MUACHE KAKA MICHUZI AENDELEZE LIBENEKE LAKE LA BLOGU.MICHUZI OYEE KAZI NJEMA KAKA!!
    mdau -ukerewe kwa mara nyingine tena!!!

    ReplyDelete
  26. Hao njiwa wanaitwa SQUAB. Wakati wa Vita kuu za Dunia, walikuwa hawaonekani hapo Ulaya maana waliliwa karibu wote!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...