Home
Unlabelled
vodacom foundation wazindua mradi wa yatima mbagala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dont send these kids to a mine field please!
ReplyDeletehuyo mzungu ukimwambia huo ni mlima kilimanjaro atakupa ela ya kuupanda
ReplyDeletevodacom imekuwa ikiisaidia jamii kila mara. Kuna uwezekano makapuni mengine yanafanya hivi ila hatupati taarifa, lakini kwa kweli vodacom imekuwa mstari wa mbele. Hawa ndio wawekezaji wanaoijali jamii yao maana jamii ndio wateja. Wawekezaji wa nyanja zingine kama madini wanatakiwa kuiga mfano huu!
ReplyDeleteGo voda go!!
Mdau wa Juu
humo uchochoroni waangalie wasijelipuliwa na mabomu yaliojificha!
ReplyDeleteI would like to congratulate Vodacom Foundation for the huge humanitarian effort they're contributing to Tanzania as a whole. They have managed to diversify their humanitarian portfolio to cover all areas of the community that really do need a helping hand. It seems like everywhere you turn, if help is needed, vodacom are there with a helping hand. Congratulations Mwamvita Makamba on the exceptional work that you are doing. Congrats to vodacome for giving back to the community, people will say you ahve ulterior motives, but atleast the people who really need help, get it.
ReplyDeleteMdau T-Dot
kaka michuzi natoka nje ya mada. kuna hii habari nimeisoma kwenye blog ya TMZ kuwa Jessica Biel na Isabel Lucas wataenda kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa kwanza mwakani. naweka hii link yenye maelezo zaidi..sijui kama wizara yetu ya utalii ina hizi habari..
ReplyDeletehttp://www.tmz.com/2009/09/24/broadback-mountain-biel-to-mount-kilimanjaro
Swali la kimbeya and apology - is Mwamvita Makamba the daughter of Lt Col Makamba?
ReplyDeletehivi ni kwa nini hata kama hoja ni ya muhimu sana kina mashaka huwa hawachangiagi maoni?? lakini wao hutoa hoja zao ndeeefu na wadau tunachangia kwa wingi au mnajiona nyie ni watu flani bora sana acheni hizo kama ni hivyo msiwe mnatoa hoja zenu humu then msubiri wadau watoe maoni
ReplyDeleteMifugo gani wametolewa?
ReplyDeletemdau wala hilo sio swali la kimbea ni kutaka kufahamu tu ni kweli kabisaa mwamvita makamba ni binti wa luteni yusuph makamba na wanafanana pia
ReplyDeleteMWAMVITA WEYE MBONA WAPIGA PICHA MBALI ATI, MIE NTAKA KUJUA KAMA UMEOLEWA AU BADO YAKHE.
ReplyDelete