Home
Unlabelled
warembo wa vodacom miss TZ 2009 watalii moshi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa huyo dada kukumbatia mzungu wa watu ndio nini warembo bwana kwa kupenda kushoboka mzungu amjui wala ninia yeye anataka konozzzzzzzzzzzzzii au ndio mjomba wanaiga staili yako? najua utanibania tu hila ujumbe utakuwa umefika
ReplyDeletemdau maboksini
Ndo maana wazungu hao walishingwa kufika kilele cha kilimanjaro!!!distraction...distraction...
ReplyDeleteWarembo wetu wanavyopenda wazungu...hapo wanawatolea mimate tu...eheheee
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atupe muongozo na kutupa nguvu na mitihani ya ulimwengu. Awape waja wake imani na awaepushe na vishawishi vya dunia. Inshallah haya yatapita na Mfungu ujao panapo uhai hawa vijana (walio waisilamu) watafunga mwezi wa Ramadhani na kujisitiri miili yao na kutotangaza pombe na atatupa uwezo mimi na kaka Lundenga twende japo Umrah. Ameeen!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atupe muongozo na kutupa nguvu na mitihani ya ulimwengu. Awape waja wake imani na awaepushe na vishawishi vya dunia. Inshallah haya yatapita na Mfungu ujao panapo uhai hawa vijana (walio waisilamu) watafunga mwezi wa Ramadhani na kujisitiri miili yao na kutotangaza pombe na atatupa uwezo mimi na kaka Lundenga twende japo Umrah. Ameeen!
ReplyDeletehao wazungu mbona watakoma kwani naona hao warembo kweli wamewangangania! si unajua tena akishe kuwa mzungu basi hata kama ni maskini watajitahidi mpaka wawapate but thats africans girls, enjoy while u can hata kama hantashimnda but it seems you are having a great time girls.
ReplyDeletekuna mzungu mmoja aliniuliza hivi kwanini wanawake tz wanaonekana so nice kwa wazungu ni kweli they are alwayz nice hivi au wanapretend kwa wageni,nikakosa cha kusema
ReplyDeletemsiwalaumu kushobokea watasha, wamezichoka za kina lundenga wanataka za kizungu sasa!! pia wana ndoto za kurushwa mamtoni. mi nashobokewa na wazungu na ninawakaza kwelikweli.
ReplyDeletemkosa ATL, USA
hivi huyo dada aliyemganda mzungu wa wawatU. Ingekua mtanzania mwenzake angefanya hivyo???
ReplyDeletemwenzenu alimwandikia e-mail, atasema mie ndio nilikung'ang'ania mkono. sasa nyie wenzangu na mie mtabaki na wajumbe na 'marafiki' wa miss tanzania tu wakati mwenzenu huyoooo...
ReplyDelete