Daily News sports reporter Abdallah Msuya is all smiles with his bride Hadija Mpimbiluka during a reception of their wedding held yesterday in Dar after exchanging their marriage vows a day earlier in Korogwe, Tanga. (Photo by Mroki Mroki.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongera sana vijana, tunawatakia kilalaheri katika ndoa yenu.
    Tumeambiwa kuwa ndoa ni nusu ya dini, kwahiyo ni vyema ndani ya maisha yenu mkamuweka mungu mbele.

    ReplyDelete
  2. they are so cute. may God bless your marriage.

    ReplyDelete
  3. former ijmc(sjmc)memberOctober 05, 2009

    hahahaha! abdallah umewowaaa! hongera sana kaka,mungu akuzidishie ukae na mkeo salama na upendo na amani idumu ndani ya ndoa yenu.Martina o

    ReplyDelete
  4. hongera sana. Kijana umefanana na Piddy! ( puffy daddy)

    ni macho yangu tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  5. mmependeza sana tunaomba na ndoa yenu imependeze hivyo hivyo Mungu awabarika sana kwani yeye ndiye muanzilishi wa ndoa ya adamu na hawa

    ReplyDelete
  6. Dullah unasoma comment hizi? Hongera sana Bro,Kila la heri maisha mema.Mim Sam,mdogo wake Shaban ''Allen'' namalizia book hapa Turkey,naomba mail au namba yako..i'll call then.blesses

    ReplyDelete
  7. Ha, ha, ha, Msuya. Kila la heri kaka yangu. Natumaini umemfuata Owen na wengine wa Rm 26 K'nyama, enzi hizo watafuata. Nakutakia maisha mema mtu wangu na Mwenyezi Mungu awabariki mpate watoto kama mchanga wa bahari. Tumetoka mbali mtu wangu!!!. Natumaini utanikumbuka, nilikuwa jirani yako next door K'nyama hostel. Prof from California.

    ReplyDelete
  8. MMEPENDEZA KWELI , NDIO LAKINI KAKA UMEZIDISHA AU WAMEKUZIDISHIA MAKE UP. MH.. TOO MUCH WANJA, LIPSTICK MWANANGU!NA HIYO ANGLE FACE, CJUI PODA MMMMMM.TAKE CARE.

    ReplyDelete
  9. Jamani mmependeza ila nashangaa, kwani waislamu huwa hatuna mavazi yetu ya harusi??Maana haya majina ni ya kiislamu na hata mambo ya hina ni urembo wa kiislamu.Mbona tunazidi kupotea???

    ReplyDelete
  10. hakuna kitu kama mavazi ya Kiislamu. kwa taarifa yako Waislamu wapo mpaka Eastern Europe ambapo kuna baridi na vazi kama kanzu haulifai kabisa.

    ReplyDelete
  11. ebwana dula nimekusoma mzeiya kumbe ushaweka kitu ndani hongera sana kaka , nakutakia mafaniko mema katika ndoa yako! Sasa tunasubiria ya Michael Mwakibete , owen , lusajo mwakabuku na denis lucas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...