Home
Unlabelled
anko akiwa ana kwa ana na kinje leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
people need to leave kinje alone..this is way too far now!
ReplyDeleteyani kuna mijitu mingine kazi yao kuwazushia wenzao balaa tu mara flani kafa mara kapata ajali acheni hizo hivi mnadhani uvumi wa dizaini hiyo ni sifa upuuzi tu
ReplyDeletekinje jamani umekuwa mkubwa.... saa tuko shaban robert pale tulidate kwa muda hahahaha mie niko ulaya siku hizi niko fresh antegemea na wewe uko fresh.
ReplyDeletemdau, ILLINOIS
KINJE SIKUJUI ILA NAONA MAENDELEO YAKO YANAWANYIMA WATU RAHA SANA, !! THEY SIMPLY DONT WANT TO LEAVE YOU ALONE MKUU..PEOPLE ARE WISHING YOU BAD-LUCK, AND THEY ARE EVEN WISHING YOU DEATH MAN!! WHAT THE HELL IS GOING ON?? ENDELEA KUPAMBANA, KUJIBIIDISHA, NA WALA USIOGOPE NA WALA USIKOSE RAHA, WEWE FANYA MAVITUS HIVYOO HIVYOO NDO DAWA YA WENYE WIVU, USIRUDI NYUMBA KABISAAAAA...ILA MAMBO YA WANAWAKE BWANA WACHANA NAYO SASA UCHAKUA MTU MZIMA NDUGU, ZAIDI YA HAYO NAKUTAKIA HERI NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU, UZIDI KUCHANUA KA UA WARIDI MKUU..ALL THE BEST DUDE..
ReplyDeletemichuzi unayeyusha issue,
ReplyDeletempige picha ya kwenye mguu tuone.
mbona umepiga picha nusu?
uncle nanii, mpige picha kwenye miguoo apandishe suruali tuone kuwa kweli hakupatwa na janga lolote
ReplyDeleteacha kutupiga changa la macho
We Michuzi acha kujiharibia kwa kumtetea Kinje. Picha zote mbili mumemshikiria katikati kuonyesha kuwa hawezi kusimama peke yake labda kaumia. Na hicho kicheko ni cha kutengeneza maana nahisi hicho kicheko kimebanwa na maumivu fulani. Kuna agenda gani Mkuu?
ReplyDeletehuyu kinje ndio nani?
ReplyDeleteana wadhifa au nafasi gani katika maisha ya watanzania?
hebu nipe afya ya Polycarp au Sheikh Simba tafadhali...........
MH THE GUY DOES NOT LOOK OK AT ALL!PHEW! THAT EXPRESSON ON HIS FACE IS HE CRYING OR YELLING FOR PAINS? ALAFU BRO MICHU WHAT ARE YOU UP TO?? PLEASE STEP ASIDE THIS DOESNT SUITE YOU CAREER! "MIND YOU BIRDS OF SAME FEATHERS DO FLY TOGETHER"
ReplyDeleteMICHUZI SAMAHANI BUT YOU GOTTA POST THIS COMMENT IAM CONCERNED WHY KINJE IS TOO WHITE LIKE MICHAEL JACKSON? IS HE ALBINO OR WHAT? IF YES WHY HE HAS NOT GOT PROBLEMS OF WITCH CRAFT? HE LOOKS LIKE ALBINO TO ME HAHAHAHAH!!BE CAREFUL MY BRO KINJE TANZANIA KILLS ALBINOS IN A MARGIN NUMBERS AND HEART BEAT. from bishote of Wichita KS
ReplyDeleteHuyu bwana sasa wamenyang'anywa tenda pale ubungo itabidi ategemee kuchapisha namba za magari, ambazo nazo zitachukuliwa tu! Baba yake eti mkomunisti! wapi na wapi jamani, sie walalahoi tunaita MAFISADI! Na JK anakula nao sahani moja mpaka kieleweke!
ReplyDeletelooool we michuzi uongo wa nini si juzi tu mmemaliza mfungo? sasa uongo wa nini kumbe jamaa kalambwa risasi ya tako na mguu na mkewe na alilazwa aga khan kisa mambo yetu yaleeeee ya kubanjuka nje ya ndoa kwa wingi na totoz za nguvu haya wee endelea kumfichia siri wakati alimanusura angeresti in pisi ukibana hii meseji hayaaa usipoibana hayaaa ukiitoa hayaaa
ReplyDeleteUkitazama maisha ya watoto ambao baba zao walikuwa serikalini kwa muda si haba ukiondoa watoto wa Nyerere. Raisi aliyekuwa akipita barabarani na kuona watu wanavyoishi kimoyomoyo anajiambia " Mzigo Wangu Ule " Lakini siyo sasa. Tena kaka Michuzi picha za hawa watu ulitakiwa usiziweke kipindi kama hiki ambacho zimebaki siku chache tu kumkumbuka mzee wetu Nyerere mpenda haki kwa wote, maisha sawa siyo watu watajilikie pesa za walala hoi kuendesha magari ya kifahari.
ReplyDeleteHivi na yeye Nyerere angeamua akombe kila kitu kwa familia yake hivi hawa wakina KInje wangepata kitu. Watanzania mnatikiwa kufiria sana UCHAGUZI MWAKANI.
Baba wa Taifa alisema nanukuhu " Watanzania wasipopata kiongozi bora kutoka CCM atayejari maslahi ya Watanzania basi watamtafuta kupitia chama kingine".
Watanzania mnakubali kuliangamiza taifa kwa sinia la pilau na pombe ya usiku mmoja na nyie watanzania mlikuo nje mmeshatoa matongotongo ya macho lakini leo kweli mnakaa na kuanzisha matawi ya CCM ulaya.
Kweli watu wazima mnakubali kabisa kufumbazwa na vijipesa ambavyo havitakaa milele na kuacha kizazi cha Tanzania kinaangamia na kuwa maskini milele kweli.
Inaniuma sana TAZAMA PICHA KWA MICHUZIJR uone maisha yaliyo ya watanzania wengi na kuona tofauti ilivyo. INAUMA MNO KAMA TUKIUNGANA NA KUWA NA NIA MOJA KABISA YA KUTAKA KUPATA KIONGOZI BORA TUTAWEZA KAMA ATATOKA CCM AMA CHAMA KINGINE.
Mzee Nyerere alisema tupate kiongozi anayejua shida za Watanzania na CCM si chama cha matajiri lakini tazama sasa baada ya kifo chake kila mwizi anajiweka CCM. Uozo mtupu tunapoelekea pabaya ndugu Watanzania.
Kaaeni kwa AMANI.
jamani shaba alilopigwa ni kunyang'anywa tenda ya UBUNGO BUS TERMINAL SIO RISASI.
ReplyDeleteKIJANA KINJE MIMI NAKUFAGILIA NILIONA JUMBA LAKO ... AISEE HONGERA UNAJUA KUTAFUTA NA KUTUMIA
Kinje ni yupi?
ReplyDeletehuyo bishote ndiyo nani naona kama anaandika ushuzi humu, anachafua hali ya hewa na waosha vinywa mko kimya tu
ReplyDeleteeeehh kinje jino limeotaaa!!! alipigwaga ngumi huyo na nanihiii enzi za shaaban robert hadi jino liling'okaaaa.... hehheheh ubishoo wote uliisha siku hiyoo!!!!
ReplyDeleteYeah naungana na maadili ya baadhi ya wadau kuhusu hii topic...mie kwa bahati mzuri sana(mbaya) siwatilii maanani watu kama hao i still give respect to Mwalimu Nyerere angalie mfano wa kiongozi bora watoto wake they are looking as really Tanzanian people hawamelemeti kwa mafuta ya wizi thus why even now most of world politicians and wise people still remember Tanzania because of Nyerere mtu aliyekuwa akipita barabarani anaona uchuvu walio nao watanzania anasema "huu ni mzigo wangu" nimenukuru maneno ya mdau hapo juu yameningia sana moyoni....hao waliobaki(ahasante c.c.m.) eti kinje anajua kuzitafuta...???? mtafutaji unaanzia kuuza mama mtilie kipandani unapanda mpaka unakuwa na hoteli kama Kempsik huyu ndiye mtafutaji kama kina bill Gates from 0-billions) the rest wapambe wa chama tawala...hao watu hamna aja ya kuwaweka hapa they are meaning less to our society..mheshimiwa ukitaka comments yangu itoe lakini hata usipoitoa hayo ni maoni yangu salamu za bongo
ReplyDeleteMdau wa Rock city(Nyamanoro juu)
michuzi unajiharibia kakangu
ReplyDeletekinje kashutiwa kweli
sasa ona imebidi ubadilishe post nzima.asubuhi ulisema umemuona hana tatizo sasa hivi unasema kinje mwenyewe ndio amekanusha
Kinje kambilimbi mmemleta huku kuja kusemwa ovyo tu na watu. Mnusuru kasemwa sana. Inaonekana hana sudi nzuri kwenye jamii.
ReplyDeleteYaani kweli uzushi noma.
ReplyDeleteUS Blogger, wacha nitafute la kumzushia mshikaji wangu US Blogger original aliyemtoa kamasi Mashaka.
Sasa huyo nicas ndio nani? ni dactari wake kinje au bodigadi manake ukiwa na hela za kifisadi lazima uwe na wasaidizi na walinzi pi.
ReplyDeleteMIMI NAMTETEA MICHUZI YEYE HANA KOSA LOLOTE ....YEYE YUPO KIMASLAH ZAIDI KAAMBIWA...WEE MICHUZI NJOO HAPA..PIGA HIZI PICHA KISHA ANDIKA HIVI...KWENYE BLOG YAKO..SHIKA HII BAHASHA UKAFUNGULIE MBELE YA SAFARI....
ReplyDelete