Wadau tunaomba kujua…je shule hii iko wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. Sielewi lengo la mdau ni kutaka kujua au kufurhisha genge sababu ya jina.

    Kama ni kujua basi mdau acha uvivu. Unge tafuta kwenye mtandao ungejua iko wapi. Hata hivyo nimegoogle kwa niaba yako ponyeza hapa en.wikipedia.org/wiki/List_of_schools_in_Kenya

    In short Usenge High School is in the Nyanza Province of Kenya.

    ReplyDelete
  2. hii lazima itakuwa kenya hii, ah ahaha sijui wanasomea fani gani hawa watoto keh!

    ReplyDelete
  3. iko bukoba

    ReplyDelete
  4. hii ipo tukuyu mbeya au mwakareli

    ReplyDelete
  5. hiii ndiga ishaonekana mitaa ya wachaga ,same

    ReplyDelete
  6. anko nanihii taratibu kaka, hii mambo iko kwa baba moi

    ReplyDelete
  7. habari wadau wa blog hii...hii shule ya Usenge High School ipo Nyanza Province, Kenya.

    ni shule nzuri sana kwa kufaulu wana.funzi

    ReplyDelete
  8. yani hiyo ni shule ambayo inahusika na hayo mambo nini ? kaaazi kweli kweli:)

    ReplyDelete
  9. hiyo shule ("usenge" high school) iko katika wilaya ya bondo, mkoani nyanza, nchini kenya.

    kwani unashida hilo jina la kijaluo? hebu jaribu kuwaulize wenyeji wa visiwa vya samoa, maana ya neno "nyaturi" au "dalasini" au "morogoro" au "ubungo" au "chefuchefu" (kichefuchefu).

    amini usiamini, watakuzaba kwa makofi, ngumi, mateke na vikapu tele vya matusi.

    usisahau kuchunguza majina au maneno fulani ya kijapani ambayo yana maana ya kuaibisha, kuchukiza na yenye matusi kwenye lugha ya kiswahili.

    baadhi ya wanafaunzi wa kitanzania wanasomea katika chuo kikuu cha k_ _ _ m_ _ _ (university), na wengine kwenye k_ _ _ m_ _ _ gakuen univerity. (kyushu).

    one person's passion is another person's poison.

    ReplyDelete
  10. Hili basi inawezekana liko Tokyo. Majina kama hayo ni ya kawaida kabisa. Cha muhimu usimpeleke mwanao katika shule hiyo

    ReplyDelete
  11. HIyo shule iko Bondo Kenya

    ReplyDelete
  12. nafikiri siyo bongo hii.

    ReplyDelete
  13. Shule hiyo ipo Kenya, nimecheki kwenye list of schools zilizopo Kenya kwa kupitia wikipedia fungua hapa

    http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_schools_in_Kenya

    Na nenda kwenye list of High Schools, then nenda kwenye herufi H utakutana na USENGE HIGH SCHOOL katika mji wa BONDO inapatikana. Lakini hii niliyoiona ni USENGE BOYS HIGH SCHOOL

    MAKULILO, Jr.
    www.makulilo.blogspot.com
    San Diego, CA

    ReplyDelete
  14. NI SHULE KATIKA BONDO, NCHINI KENYA. MBONA KUNA MAJINA MENGI TU HATA TANZANIA AMBAYO SI YA KUTAJA KABISA. NI MATUSI, MFANO "KUNDUCHI", SIYO TUSI????

    LAKINI KENYA NAO WANATUMIA MAJINA KAMA VILE HAWAKIJUI KISWAHILI.

    KUNA KAMBI YA WAKIMBIZI INAITWA "KAKUMA" KULEKULE KENYA.

    ReplyDelete
  15. jamani inategemea na nchi.kwa mfano kinyarwanda usenge ni kusali

    ReplyDelete
  16. bora hiyo skuli siku moja regina mwalekwa wa redio one wakati anatangaza matangazo ya vifo alishikwa na kigugumizi cha ghafla akaamua kusoma kwa sauti ya chini habari ziwafikie fulani mboro na ukoo wote wa mboro popote walipo jamani wachaga majina mengine tungeyabadilsha ati mtoto wa kike mara anaitwa mamboro bora mie manka poleni sana kina mamboro wengine wamebadili badala ya ukoo wa mboro wanatumia mbowe
    miss michuzi

    ReplyDelete
  17. Ni kweli hii shule ipo kule Kenya. Wanafundisha kwelikweli and they're doing great!

    ReplyDelete
  18. nasiki ni shule mpya ya mapadri kinachozaminiwa na wamarekani

    ReplyDelete
  19. kifupi huko kenya japo wanaongea kiswahili hawatumii neno hilo kama tunavyolitumia sisi, wao hutumia "SHOGA" au "USHOGA" maneno ambayo na sisi tumeshayaiga sasa.
    nakumbuka miaka ya nyuma wakati wa likizo nilienda mombasa kutembelea jamaa zetu kule, nilienda na album langu wakawa wanananiuliza huyu nani? huyu nani? nikiwajibu huyu shoga yangu,
    huyu naye shoga yangu, nikikusudia marafiki zangu wa kike, nilikuwa natolewa mimacho hiyo, wanashangaa waliona mtoto keshaharibika! mpaka akatokea mtu akatuweka sawa tukaelewana ilikuwa kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  20. Sio maandishi tu! Lazima pia tusikilize matamshi sanifu ya wananchi wenyewe!

    ReplyDelete
  21. Hata ZAMBIA wana majina ya hivyo.Watu wengine wanaitwa Musenge.Lakini sina hakika kuwa High School ya huko ina jina hilo.

    ReplyDelete
  22. KUNDU CHI .. Kibororoni. high scool nii tofauti

    ReplyDelete
  23. jamani hii ni lugha tu, mbona hata tanzania ktk kabila moja ukitamka neno linasikika ni la aibu kutamkwa ktk lugha ya kabila jingine!! kwa mfano ukimwambia msukuma CHUNYA ukimaanisha pale mbeya,yeye anaelewa anapaswa arudishe nyuma ile ngozi nayofunika dhakari kwa wasio tahiriwa. na ukienda mbeya ukasema KINYERO ukiwa umetokea musoma unamaanisha kitoweo,basi mnyakyusa atakuelewa unamaanisha makadi(njia ya haja kubwa). sasa sioni cha ajabu hapa,pia neno MSIMBE kwa watu fulani linamaanisha KAHABA! kwa muhaya neno NYEGELA lina manisha karibu,wakati neno hilo ktk kabila fulani linamaanisha mbegu za kiume, jina MUHINA nilakawaida tanga lakini ktk kabila fulani linamaanisha clitoris.
    kwa hivyo tusishangae sana maana hata ktk tanzania kunasemu unaweza ukitajwa jina lako watu wanatizama chini kwa aibu na wanakosa amani kabisa!mfano mzuri ni wimbo fulani wa kofi olomide.....inauma, mchezaji MUTOMBO, kabumbu=uke n.k

    ReplyDelete
  24. Wadau msishangae sana kuna sehemu nyingine INAITWA KA-KU-MA nchini Kenya(Kakuma)
    Tunaomba mdau atupe maneno aliyotutajia yana maana gani?
    KICHEFUCHEFU, NYATURI, MOROGORO, DALASINI ,UBUNGO

    ReplyDelete
  25. Yaani mbele ni 'Usenge High School' na nyuma kwenye mapepe kuna 'God Listens'.

    Hatari lakini salama.

    ReplyDelete
  26. lol! ati kuna chuo kikuu kimoja huko nchini ujapani kinacho julikana - K_MAMOTO UNIVERSITY.

    ReplyDelete
  27. anyone hapo juu. same hakuna wachagga
    same ipo upareni. na upareni hakuna mtaa wa wachagga. kwa masaada tutani,
    wapare wapo kuanzia hedaru hadi mwanga. na maeneo yote kuzunguka pare hills.wachagga wapo kuanzia rombo,moshi,hadi wilaya ya hai, na maeneo yote ya kuzunguka mlima kilimanjaro. vinginevyo ningekushauri uwe mtalii utembelee maeneo ya kaskaz ili uyaelewe vizuri.

    ReplyDelete
  28. anyone hapo juu. for your inf same ipo upareni haipo uchaggani. na same hakuna shule ina yoitwa usenge. ngoja ni nikueleweshe vizuri maana inaonekana wewe ni mbumbumbu wa jiografia. Wachagga wapo ktk wilaya tatu yaani moshi,hai na rombo. na maeneo yote yanayozunguka mlima kilimanjaro. ilhali wapare wapo wilaya za same mwanga na maeneo yote kuzunguka pare hills. upoooo?

    ReplyDelete
  29. Kuna mtu maarufu kule japani

    Kengo Kuma & Associates

    http://www.kkaa.co.jp/E/main.htm

    ReplyDelete
  30. Mimi naishi Matombo, ila mzaliwa wa Kigoma tukikutana na jamaa toka kwetu tunatombooka ndani ya Matombo, hata Raisi Kikwete alikuja kututembelea Matombo

    ReplyDelete
  31. 1.Anonymous sunday 18 October 2009 9.00AM na wengineo mbona wachaga wako Mbeya na Tukuyu na Kyela na Kijitonyama (Littlerivermeat kwa kienglish)pale chaga bite na dodoma na kwingine kwingi tu!Nimewaona mwenyewe wapo kweli mangi!Hata pale singida nilipita walikwepo na kule kigoma walikwepo!

    2.Na kule Unguja siyo moja mengi tu kuna Makunduchi.

    ReplyDelete
  32. mbona kuna salamu ya kichagga wanasema NAMTOMBE(nantombe)! kwa wahaya ukitaka kusema mpeleke mgeni akalale wanasema MFWIRE MGENI akalale!ukituma salamu kwenda kule ng'onyi meru mluo ataziba masikio maana hilo ni tusi linalo azia na K. kwa wakurya ukisema MSAGANE inamaanisha yule msichana ambaye haja keketwa,wakati kwa kiswahili inamaanisha muingiliane kimwili watu wa jinsia moja ya kike!MAHUNENKO ni jina la mtu wakati sehemu fulani inamaanisha UTOKO(uchafu wa sehemu za uzazi)

    ReplyDelete
  33. Jamani haya ni majina tu na msiyatafsiri ile ieleweke tofauti. Kule Arusha kuna nyumba moja ina wapangaji wanne na mmoja wa wapangaji ana mfanyakazi wake wa ndani anaitwa MBULA. Basi huyo mama anapenda sana kutuma kwa hiyo kila saa anamwita MBULA MBULA MBULA basi ukiwa hapo unatamani uondoke au ujifungie ndani. Sasa huyo mama kaambiwa immediately huyo dada abadilishe jina au la atapewa notice ya kuhama. Kibaya zaidi na watoto nao wameanza kuita hilo jina.
    Hilo jina maana yake kwa kichaga ni uchi wa mwanamke.
    Mama mwenye nyumba na wapangaji wawili ni wachaga. Kazi kweeeli kweeeli

    ReplyDelete
  34. Lugha za watu zinatofautiana sana, mfano tulienda kwenye mkutano Zimbabwe wakati wa introduction Chairman akajitambulisha anaitwa Tafila, msaidizi wake akajitambulisha anitwa Mukundu... kimoyomoyo wabongo tuliokuwepo tulikua tunavunjika mbavu kimyakimya.

    ReplyDelete
  35. Mimi nilisomea Usenge High School...inapatikana mkoa wa Nyanza-Kenya..Hapa Kenya na hata labda hapo TZ si kila jina linatokana na kiswahili..na unaposikia majina kama Usenge(jina la kijaluo) au Kakuma zina maana tofauti kabisa na jinsi tunavyoyatafsiri kwa kiswahili. Nimekuwa nikisikia wa TZ wakitumia neno shoga kumaanisha rafiki.Nilishtuka mara ya kwanza kusikia neno hilo likitumiwa hivyo na nikajiuliza mbona hawa ndugu zetu Watanzania wapole wanatumiwa neno kubwa hivyo bila kushtuka.
    Anyway nimeangukia hi blog kwa kibahati na kitu cha kunifurahisha ni kuona our school bus ikituwakilisha hapo bongo...Ahsante kwa mwenye hii blog..keep up the good work!!

    Ziggy

    ReplyDelete
  36. UWIIII! Mbavu sina! LOL! Lakini nadhani waJapani na majina yao yanatia fola zaidi. Kuna ule mji maarufu wa K-moto, na ile jina maarufu, T-K-Chi!

    ReplyDelete
  37. bora upate elimu haijalishi ni jina gani la shule education baba

    ReplyDelete
  38. Huyo Mkenya aliyesomea hapo ameondoa utata, maana wa TZ tumeiona dili kweli, duh. Lakini mimi kwa sababu ya jina lenyewe siwezi kumpeleka mwanangu maana utawaambia watu mwanao anasoma shule gani?

    ReplyDelete
  39. Duh nimecheka sana. Mi nilishangaa 2010 nikiwa Kisumu Kenya naenda Busia njiani kuna miji midogo inaitwa Usenge, Sidindi. Alafu 2011 nikiwa Voi kuna daladala inatoka Voi kwenda Mbololo. Na kuna duka la vitabu Nairobi linaitwa Jamba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...