sehemu ya hiyo barabara mpya inayokatiza jangwani kupitia kigogo, mburahati, mabibo na hatimaye ubungo maziwa katika ujenzi leo. barabara hii, ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami, ni mojawapo ya mikakati ya kupunguza msogamano na foleni kwenye barabara ya ngama ya morogoro rodi ambayo magari yote hutumia kwa sasa.
mdau akikatiza jangwani kunakojengwa barabara mpya karibu na klabu ya yanga
sehemu za shule ya loyola tayari tambarare
sehemu za mabibo
sehemu ya barabara mpya jangwani





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. lakini sasa ikinyesha mvua si matope tuu jamani...kwani lami hawajawahi kusikia???

    ReplyDelete
  2. Afadhali,iwe barabara kweli basi!good idea.

    ReplyDelete
  3. Wakandarasi wa waweke alama za tahadari has kwa sababu kuna nguzo za umeme kwenye eno la barabara ambazo hazijasogezwa; na katika madaraja hasa lile baada ya kupita shule ya loyola ukiwa unaelekea kigogo. Kazi nzuri sasn hii baraba ikikamilika

    ReplyDelete
  4. huyu anon wa kwanza inaonekana anapenda kuongea tu bila point yoyote! Kwani haujasoma hapo mwanzo kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami? Barabara bado inajengwa, huwezi ukamwaga tu lami bila kutengeneza chini vizuri. Watu wengine wajinga kweli!!!!

    ReplyDelete
  5. THIS IS GOOD START. DAR NEEDS MORE ROADS. I HOPE SEE MORE ROADS IN DAR IN A NEAR FUTURE.

    CONGRATS

    ReplyDelete
  6. Excellent ! This is a good start ! Now, we need to speed up tackling our problems with deeds, not merely words !

    ReplyDelete
  7. This is good idea.kwa sasa serikali inabidi hiongeze fungu la fedha zaidi ili hi barabara enjengwe (two ways) mbili zenakwenda na mbili zinarundi

    ReplyDelete
  8. Hii barabara itafika mpaka external au inaishia ubungo maziwa tuuu? na je vipi barabara ya kigogo - tabata dampo nayo inajengwa lini?

    ReplyDelete
  9. mwanzo mzuri hiyo barabara ingekuwa vizuri ingejengwa kwa njia tatu au mbili na kujenga kituo kikubwa cha mabasi kama ubungo hapo jangwani.tunapongeza vitu vifanywe kwa nia ya uzalendo si kutafutia kura ,thanx

    ReplyDelete
  10. So watu wamelipwa mapesa ya nyumba zao zitakazobomolewa?

    ReplyDelete
  11. hapo piga hua. baada ya kumaliza ujenzi wa barabara. eneo lote lilobaki la jangwani hapo wa jenge (puplic park)sun city dar.kama ya sauzi(anko michuzi)au vipi?

    ReplyDelete
  12. afadhali angalau

    but more roads more vehicles in dar

    kazi lwelikweli

    dar is my fav place nikozaliwa,but now sipendi ata kwenda toka nihame kwa foleni za kifo wal'hai

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...