mtangazaji machachari wa clouds 88.4FM Gea Habib Chavda a.k.a VIP akikupa vitu laivu toka CCM Kirumba Mwanza leo mchana kwenye Fiesta 2009 jijini humo
Baby Madaha akicheza na kuimba jukwaani wakati wa Fiesta la Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Joe Makini akikamua ndani ya tamasha la fiesta one love 2009,mbele ya wakazi wa mwanza ambao walifurika kwa wingi uwanja wa CCM Kirumba leo mchana

Chid Benzi kutoka kundi Familia akiimba mbele ya umati mkubwa wadau wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa maelfu kuwashuhudia wasanii wa kizazi katika uwanja wa ccm kirumba leo.

kwa picha na habari zaidi za Fiesta 2009 Mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kwa mtoto wangu wa kike najitahidi sana asiwe mtu wa fashion ya nguo kwenye picha hapo juu.

    ReplyDelete
  2. Anon wa kwanza hapo juu hizo ni nguo za club. Most likely bintiyo hatazivaa mchana kweupe kama mwanamuziki, lakini siku akienda night club anaweza akazivaa.

    ReplyDelete
  3. CHAVDA? NI MUHINDI HUYO DADA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...